jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,908
- 15,013
Ok huyo tuseme alikuwa ametekwa sii imani potofu.Nimewahi kusikia similar story a lot of time. Nadhani sijajua either ni utekaji unaotokana na Imani potofu, au ni uchawi kweli
jee hao wezi tena Vipande vya watu vimeshida nasilaa makoti wote zaidi ya wanne wachanganyikiwe kwa wakati mmoja.
Ingekuwa mmoja tungesema labda alikuwa na matatizo ya akili.
Na huko kanda ya ziwa hawakopeshi kwa wizi raia na mapanga walikuwa wanaanza kuwashughulikia ila polisi wakawahi