Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
- #601
Ntashusha hapa ingawa ungeanza wewe kuelezea huo uchawi unaoufahamu sio stori.Mkuu lete hiyo mifano ili tujifunze.
Ntashusha hapa ingawa ungeanza wewe kuelezea huo uchawi unaoufahamu sio stori.Mkuu lete hiyo mifano ili tujifunze.
Tuliuliza hapa Kuna vita vya wababe kwanini wasiutumie Marekani vs Iran, Israel vs Iran, Russia vs Ukraine, Israel-Palestine / Gaza wote hawa wanatumia vifaa vya kijeshi vilivyotengenezwa na sayansi. Je ni kwanini wasiutumie kwenye hivi vita basi especially hawa viongozi wapigwe?Kaka, kaka , kaka.
Najua humu jukwaani majority ni EDUCATED.
Nikuweke wazi uchawi upo na unafanya KAZI..
Enchantment zipo na hata Kuna Mataifa yameweka department vyuo vikuu kuchunguza na kutafiti Uchawi
Kaa ukijua uchawi ni TAASISI inayo Fanya KAZI zake kwa SIRI
KUNA SIKU UTAKUJA KUKANUSHA IYO KAULI YAKO TUPO HAPA.
Dah, hili sakata halina ye mambo ya maji maji ya kenjikitile.Kaka sio Siri Mimi NAOGOPA SANA SANAAAAAA kumgusa mtu beganii asije sema IMEPOTEA nikazua TAHARUKII
Aise pole sana. Shida watu wengi ni watu wa kuamini zaidi kile wanachokisikia bila kutafakari kwa kina.Bwana mdogo yule alinikoromea kiasi cha kushangaza....
shida ni nini nikaogopa sana.
Ndipo nikakumbuka habari za KUIBWA kwa NYETIII😁😊
Ni vyema tu mkuu wewe ndio ukaeleza maana ukizingatia ndio muanzishili wa uzi na ambaye umezunguka sehemu nyingi kutafuta uhalisia wa hili jambo hivyo una mengi ya sisi kujifunza juu ya uhalisia wa hili jambo.Ntashusha hapa ingawa ungeanza wewe kuelezea huo uchawi unaoufahamu sio stori.
Mkuu kama uliwahi kusikia kuhusu ile program ya CIA iliyokuwa ikiitwa project stargate ambapo walikuwa wakifanyia utafiti "remote viewing" kwa zaidi ya miaka 20 ila mwishoni wakaja kusitisha, basi sababu za kusitisha huo utafiti nadhani pia zinaweza kujibu kwanini hata kama uchawi upo kweli ila hauwezi kutumika kwenye masuala ya kijeshi ukilinganisha na sayansi.Tuliuliza hapa Kuna vita vya wababe kwanini wasiutumie Marekani vs Iran, Israel vs Iran, Russia vs Ukraine, Israel-Palestine / Gaza wote hawa wanatumia vifaa vya kijeshi vilivyotengenezwa na sayansi. Je ni kwanini wasiutumie kwenye hivi vita basi especially hawa viongozi wapigwe?
Kwanini wasiutumie kushusha baadhi ya nchi kama marekani kiuchumi?
Unaweza kuelezea uchawi kinagaubaga sio za huko mtaani ?
Kaka ndege salamaleko 😁Dah, hili sakata halina ye mambo ya maji maji ya kenjikitile.
Unajua kwanini waliachana na hiyo program? Watu walikuwa wanaguess and they decided to focus on technology. Researchers walifanya such a research mtu yupo huko mbali anaambiwa taja vitu unavyohisi vipo karibu, it did not work.Mkuu kama uliwahi kusikia kuhusu ile program ya CIA iliyokuwa ikiitwa project stargate ambapo walikuwa wakifanyia utafiti "remote viewing" kwa zaidi ya miaka 20 ila mwishoni wakaja kusitisha, basi sababu za kusitisha huo utafiti nadhani pia zinaweza kujibu kwanini hata kama uchawi upo kweli ila hauwezi kutumika kwenye masuala ya kijeshi ukilinganisha na sayansi.
Tuelezee mkuu ilikuaje na effect yake ipo je?Sio kushuhudia tu bali kushiriki kabisa kwenye hizo mbanga, mambo mengine yaache kama yalivyo wala usitake kuyajua.
Usitukane wala kudharau usiyoyajua
Kipi kiliwavutia hadi wakaamua kufanyia utafiti remote viewing(kufanyia utafitia sio kuanza kutumia tu moja kwa moja) na kipi kiliweza kuwafanya waweze kutumia hadi miaka 20 kwenye huo utafiti hali ya kuwa matokeo ni ku guess tu? Walikuwa wanalenga wapate matokeo gani kwenye huo utafiti maana walikuwepo wanasayansi pia?Unajua kwanini waliachana na hiyo program? Watu walikuwa wanaguess and they decided to focus on technology. Researchers walifanya such a research mtu yupo huko mbali anaambiwa taja vitu unavyohisi vipo karibu, it did not work.
Jeshi na serekali zinatumia technology sio Imani kufanya mambo. Imagine Dunia Yetu Leo watu wasingejiongeza wangebaki na Imani za kishirikina unadhani ni mambo mangapi tungebakia kusema ni uchawi au supernatural?
Kadri siku zinavyoenda ndio watu wanafunguka na kujua mambo mengi hayapo kama tulivyodhani kipindi Cha kale. Huu ujinga kuna civilization za mbele zitaachana nao, especially Dunia ya watu wanaoendelea kuwa educated.
Kuna watu wamezunguka Tanzania kutaka kujua ukweli wa hayo mambo ila wameshia kupata masimulizi tu au kukutana na imani pototu tu, pengine hawaku bahatika japo kushuhudia hayo matukio au kushiriki ili kujua ukweli wake.Sio kushuhudia tu bali kushiriki kabisa kwenye hizo mbanga, mambo mengine yaache kama yalivyo wala usitake kuyajua.
Usitukane wala kudharau usiyoyajua
Safi kaka, uko poa?Kaka ndege salamaleko 😁
Yes I doCan you believe in something without verifying it?
Bado haufunguki mkuu unaishia kwenye kutoa hitimisho tu la huo uchunguzi wako, binafsi nilitegemea utaeleza japo matukio mawili matatu ambayo ulikutana nayo yaliyobeba sura ya uchawi ila wewe uliweza kugundua ni tricks zake au ukweli wa hayo mambo tofauti na ilivyodhaniwa kwa kuhusishwa na uchawi.
Kwa sababu mkuu hata wenye kuamini uchawi pia wanatambua kuwa kuna waganga matapeli, na kuna watu washazunguka sana kwa waganga hadi wamekata tamaa bila mafanikio na wapo ambao wameona kufanikiwa shida zao.
Vitisho unaweza kutusaidia facts hapa?Kwenye uchawi na ushirikina, hapa hadi uingie ndani kunako ndio utajua.
Vinginevyo, bora kuwa kimya tU
Hayo unayoyaeleza hata waganga wenyewe hueleza aina hiyo ya utapeli kwamba kuna waganga matepeli na hufanya hivi na vile kama ulivyoeleza, binafsi sijawahi kukutana na hayo mambo zaidi ya kuishia kuyasikia tu naweza pia nikakuwekea video za waganga kabisa wakielezea na kuonyesha aina hiyo ya utapeli jinsi hao waganga matapeli wanavyofanya.NAMSAIDIA KUJIBU HILI SWALI LAKO
WAGANGA WANATUMIA CHEMISTRY MATERIALS KUTAPELI WATU
uchawi Ni chemistry ya kawaida kabisa mganga ANAAMUA kukuchezea trick za kawaida game ambazowewe uliye na ufahamu mdogo utaishia kuamini Ni nguvu za miujiza.kwa mfano Kuna elements za kemiaambazo ukizichanganya zinatoa products ambazo Zina rangi tofauti tofauti,au Kuna elementsukizichanganya na acid Moto unalipuka so mtu asiye na uelewa akifanyiwa na mganga wa kienyejiataamini ule ni uchawi.Ukichukua kemikali ya sodium ukaitumbukiza kwenye maji moto unalipuka.
Ukienda kwa mganga wakienyeji akakuambia kachote maji nje mwenyewe akachukua hicho kidonge cha sodium akachukua yalemaji akayaombea maneno ya kishirikina akatumbukiza hicho kidonge utalipuka moto mkubwa basi atakuambia unabahati umewahi mapema ulitupiwa jini nimelizima.Kuna kemikali inaitwa potassium permanganate ina rangi ya zambarau mganga atampa kukuuliyemleta pumba anachanganya na hiyo kemikali iko kama chumvi chumvi mwisho anakuambiakamchinje huyu kuku uliyemleta.Baada ya muda anapasua utumbo ule utumbo wote utakuwa na rangi yazambarau ya ile kemikali atakuambia unaona hii sumu yote ilikuwa ni uchawi umetumiwa umeiingiakwenye kuku.
Ukichukua kemikali ya Ammonium hydroxide ukachanganya na kemikali ya copper sulphate unapatarangi ya bluu iliyokolea sana hapo mganga atakuchanganyia kama dawa kisha atakupiga fix za ajabukwamba umerogwa na sababu ujui utaamini kile unachokionaMganga wa kienyeji anachukua kemikali ya Sodium panganete kisha anaichanganya na Grycelinhapo moto wa ajabu unatokea. Yeye anakudanganya ni jini ndio limeleta moto kumbe ni Kemia tu.
TAZAMA HII POST UTAMUONA MGANGA MAARUFU MANYANYAU ANAVYOFANYA UTAPELI KWA KUTUMIA CHEMISTRY MATERIALS TU
Habari wadau.
Leo tujifunze moto wa maajabu ambao waganga wengi wanautumia kutapeli watu wakijifanya moto huo umeletwa na nguvu zao za uganga.
Waganga wanachukua pottassium permanganate sababu wateja wao hawaijui wanawadanganya ni dawa ya mizizi ya kiuganga.. kisha wanainyunyuzia na Grycerin.. hapo baada ya muda ni lazima mlipuko utokee.. hapo waganga wanajifanya mlipuko huo umetokana na uchawi ama nguvu zao za kiuganga.
Nimekumbuka mechi ya Simba vs Orlando pirates CAF shirikisho..simba walifanya dawa ya moto uwanjani ili wapate ushindi. Bila kujua Kumbe walipewa practical ya...
- MKATA KIU
- Replies: 21
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Hayo unayoyaeleza hata waganga wenyewe hueleza aina hiyo ya utapeli kwamba kuna waganga matepeli na hufanya hivi na vile kama ulivyoeleza, binafsi sijawahi kukutana na hayo mambo zaidi ya kuishia kuyasikia tu naweza pia nikakuwekea video za waganga kabisa wakielezea na kuonyesha aina hiyo ya utapeli jinsi hao waganga matapeli wanavyofanya.
Video umeikata mkuu sasa hapo mtu ataelewa nini? Lakini nakumbuka hii video alikuwa akionyesha jinsi waganga matapeli wanavyofanya kutapeli watu.Tazama hii video, je huyu mganga maarufu , Dr manyau nyau hapa kwenye video anafundisha utapeli ama ? Ama anasemaje ??