Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

1. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja katika ya neno Uchawi na vitendo vyenyewe vya uchawi, unaweza kutoa jina lolote, hii point yako ni redundant (hili ni somo la lugha kidato cha kwanza). Hata utafiti ukifanyika haitabadilisha chochote, pia kuna tafiti nyingi kuhusu uchawi zimefanyika.

2. Sidhani kama wewe una authority yoyote kwenye ulimwengu wa uchawi hadi uweze kusema uchawi upo ila nafasi yake ni ndogo katika jamii. Hii labda ungesema ni theory yako binafsi tu ila sio kama unavyojionyesha hapa kwamba wewe ndiye unajua ukweli wa haya mambo na wengine wameaminishwa vibaya au wamedanywa kwa sababu ukweli ni kwamba hata wewe mwenyewe huna uthibitisho wowote.

3. Watu hawaaminishwi tu, wanaamini wenyewe. Hii lugha wakati mwingine sio sahihi kwa sababu inawaondolea waamini/ waumini walio watu wazima uwezo wao binafsi wa kufanya maamuzi binafsi( inawaondolea agency)

4. Ni kweli kuna element ya biashara na maslahi binafsi katika uchawi kama ilivyo katika Imani nyingine zote lakini hiyo ni sehemu tu ya maelezo ila masuala ya imani kwa binadamu yapo hata kabla ya kuingizwa maslahi ya biashara. 1990s nilishuhudia MAPADRI Wakatoliki ambao hawapewi pesa wala kunufaika na chochote wakiwa wanapita kwenye baadhi ya nyumba za watu waliokuwa wanadaiwa ni wachawi na kuchoma na kuangamiza kinachodaiwa ni uchawi. Maslahi binafsi/faida za kipesa na mali kwa wachawi na viongozi wa dini yanaelezea sehemu ndogo tu kwa nini Imani za uchawi zipo katika jamii.

5. Mwisho, kwenye nyuzi kadhaa ni kama niliona ukiwa na mtazamo wa atheist au ni kwamba huwa unapinga tu Abrahamic religions za Ukristo na Uislamu lakini wewe ni muamini dini za asili kama Yericko Nyerere? Kwa sababu itakuwa ni kituko au contradiction usiamini uwepo wa mungu/miungu halafu uamini uwepo wa uchawi na majini.
Na hilo ndio tatizo linaonekana wazi kwamba mnachokifanya ni kutetea msimamo kwamba kwa sababu ni atheist hivyo lazima upinge na mambo mengine yote ambayo hayana uthibitisho wa kisayansi.

Na ndio maana hata hili la uchawi mimi nasema ukweli kwamba kikwazo ni uthibitisho wa kisayansi, hakuna maelezo yeyote yasio ya kisayansi ambayo yatamaliza huu utata wala ushahidi binafsi ambao hauna vigezo vya kisayansi.

Inajulikana atheists wengi hawaamini katika supernatural na sababu kubwa ni kutokuwepo ushahidi wa kisayansi, wale atheists wenye kuamini vitu ambavyo ni katika supernatura huwa ni kutokana na personal experience kitu ambacho kwenye hii mada ya uchawi inaonekana ni uzushi tu au ukosefu wa uelewa wa mambo wenye kusababishwa na kutokuwa na elimu.
 
Mimi nilikuwa siamini hayo mambo ila uchawi upo wakuu.
 
Sijasema mm mchawi.
Sasa
Juma Jakali Sabina (DOB: 27 Februari 1980)
Kama hujadanganya

Hii ni muhtasari mfupi

### 1. Destiny Number (Expression Number) – Nambari ya Hatima
Nambari: 9
Hii inaonyesha maisha yako yamepangwa kuwa ya kutoa, kuwasaidia wengine, na huruma kubwa. Wewe ni humanitarian — unaweza kuwa na talanta ya kuwasaidia watu, kufundisha, au kushughulikia masuala ya jamii.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kujitoa sana hadi unajisahau mwenyewe (self-sacrifice).
  • Hasira au chuki inaweza kukusanya ndani na kukuletea maumivu ya moyo au magonjwa.
  • Wakati mwingine unahisi “ulimwengu unakutumia” na unapata uchovu mkubwa au hisia ya kutokuwa na maana.
  • Hatari ya kutoa zaidi kuliko kupokea, hivyo kuishia na uhaba wa fedha au mahusiano yenye sumu.

### 2. Life Path Number (Destiny Number kutoka tarehe ya kuzaliwa) – Njia ya Maisha
Nambari: 9 (27 + 2 + 1980 = 2009 → 2+0+0+9 = 11 → 1+1 = 2? Wait, hesabu sahihi: 27=9, 2=2, 1980=18=9; 9+2+9=20 → 2+0=2? No — standard: full addition 2+7+0+2+1+9+8+0 = 29 → 2+9=11 → 1+1=2? Let's correct properly:
Standard Life Path: Feb 27, 1980 → 2 + 27 + 1980.
2 (mwezi) + 27 (siku: 2+7=9) + 1980 (1+9+8+0=18 → 1+8=9).
Jumla: 2 + 9 + 9 = 20 → 2+0 = 2.
Life Path Number: 2

Maana
: Maisha yako yanahusu ushirikiano, amani, na hisia. Unaweza kuwa mpatanishi mzuri, msaidizi, na mwenye huruma.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kuwa na hofu ya kutoa maamuzi peke yako au kuwa na wasiwasi mkubwa.
  • Unachukua maumivu ya wengine sana hadi unajiumiza.
  • Hatari ya kutumiwa na watu wenye nia mbaya au kushindwa kusema “hapana”.
Kuwa makini
- Mahusiano yanaweza kuwa na migogoro ya kujitetea au kujiona dhaifu.

### 3. Soul Urge Number (Heart’s Desire) – Matamanio ya Moyo
Nambari: 7 (vowels: U A A I A I A → hesabu: U=3, A=1×5, I=9×2 → jumla inareduce kuwa 7).
Maana: Moyo wako unataka amani ya ndani, maarifa, na maisha ya kiroho. Unapenda kujifunza, kutafakari, na kuwa peke yako wakati mwingine.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kujitenga sana na watu (isolation) na kuwa na shida ya kuwa karibu na wengine.
  • Wasiwasi na mashaka mengi yanakusumbua, wakati mwingine unahisi “hakuna anayenielewa”.
  • Hatari ya kujificha hisia au kuwa na shida ya kuamini watu, hivyo mahusiano yanapata matatizo makubwa.

### 4. Personality Number – Jinsi Watu Wanavyokuona
Nambari: 5 (consonants kutoka jina: J M J K L S B N → hesabu inareduce kuwa 5).
Maana: Watu wanakutazama kama mtu wa uhuru, mchangamfu, na anayependa mabadiliko. Unaonekana mwerevu na mwenye mvuto.
Changamoto na negative impact:
  • Unaweza kuonekana kama mtu asiyetegemewa au anayebadilika-badilika sana (restless).
  • Watu wanaweza kukushuku kuwa huna mpango au unapenda starehe kupita kiasi.
  • Hatari ya kujihusisha na mambo mengi bila kumaliza, hivyo kushindwa kujenga maisha thabiti.

### Muhtasari wa Changamoto Kubwa katika Maisha Yake (Negative Impact)
  • Nambari 9 na 2 zinachanganya: Unataka kuwasaidia wote lakini unaogopa migogoro, hivyo unaweza kujitoa sana hadi unajiumiza.
  • Soul Urge 7 inakufanya utafute amani ya ndani lakini inaweza kukufanya ujisikie peke yako na wasiwasi.
  • Personality 5 inakupa mvuto lakini inaweza kukufanya uonekane asiyetegemewa.
  • Changamoto kuu: Kujenga mipaka (kusema hapana), kujenga imani katika mahusiano, na kuepuka kujitolea kupita kiasi au kujitenga. Unaweza kupata matatizo ya fedha, mahusiano yenye sumu, na hisia ya kutokuwa na maana kama hutafuta usawa.

Hii ni muhtasari mfupi kukuhusu.
Hahah! Kwamba jina lina-determine jinsi ulivyo na utakayokuja kua 🤔

Sawa, ngoja nimwite mwanangu jina JOHN DAVISON ROCKEFELER.
Au ALBERT EINSTEIN,
Au MUHAMMAD,
Au JESUS, halafu tuone itakuwaje, coz mbona kuku-prove wrong ni easy tu. As simple as that!!

Mambo yangekuwa easy hivyo kwamba jina ndo wewe na litaamua utakua vipi, basi mbona karib wote tungekuwa na majina "mazito mazito" na maisha yetu yangekuwa kama hao wazito wazito.

Wazazi wangeforce kuwaita watoto wao ELON R. MUSK. (hata wakike wangepewa tu hilo hilo)
Bongo hii leo karib toto wote wangeitwa jina la Mohammed G. Dewji.

Like I said, matapeli ni watu smart mno, wanakuvuta ili wakupige. Na watatumia mbinu nyingi iwe ni za Kiimani, n.k au whatever ili ujae kwenye 18 zao, upigwe.

Hata viongozi wa kiimani nao washaona watishe watu kw stor za uchawi ili wawapate kirahisi. Park at your own risk.
 
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.

Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).

Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?

Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.

Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Mleta mada ingekuwa vizuri ukaelezea hayo uliyokutana nayo huko ulikoenda, maana humu kumeelezwa hadi utapeli wa waganga, magonjwa ya akili, mambo ya placebo effect n.k

Sasa wewe unasema ulikutana na masimulizi tu ina maana hukuwahi hata kukutana waganga ili kujua undani wake ukoje kama ni kweli matapeli na utapeli wao ukoje? Au ni njia ipi ulikuwa unatumia ili kupata huo uhalisia wa mambo? Au ulikuwa unatafuta uhalisia wa mambo kupitia masimulizi tu ya watu?
 
Hahah! Kwamba jina lina-determine jinsi ulivyo na utakayokuja kua 🤔

Sawa, ngoja nimwite mwanangu jina JOHN DAVISON ROCKEFELER.
Au ALBERT EINSTEIN,
Au MUHAMMAD,
Au JESUS, halafu tuone itakuwaje, coz mbona kuku-prove wrong ni easy tu. As simple as that!!

Mambo yangekuwa easy hivyo kwamba jina ndo wewe na litaamua utakua vipi, basi mbona karib wote tungekuwa na majina "mazito mazito" na maisha yetu yangekuwa kama hao wazito wazito.

Wazazi wangeforce kuwaita watoto wao ELON R. MUSK. (hata wakike wangepewa tu hilo hilo)
Bongo hii leo karib toto wote wangeitwa jina la Mohammed G. Dewji.

Like I said, matapeli ni watu smart mno, wanakuvuta ili wakupige. Na watatumia mbinu nyingi iwe ni za Kiimani, n.k au whatever ili ujae kwenye 18 zao, upigwe.

Hata viongozi wa kiimani nao washaona watishe watu kw stor za uchawi ili wawapate kirahisi. Park at your own risk.
Unaakili ww?
Utamwitaje na jina lanbaba liwe sio lako ni la elon
 
Mleta mada ingekuwa vizuri ukaelezea hayo uliyokutana nayo huko ulikoenda, maana humu kumeelezwa hadi utapeli wa waganga, magonjwa ya akili, mambo ya placebo effect n.k

Sasa wewe unasema ulikutana na masimulizi tu ina maana hukuwahi hata kukutana waganga ili kujua undani wake ukoje kama ni kweli matapeli na utapeli wao ukoje? Au ni njia ipi ulikuwa unatumia ili kupata huo uhalisia wa mambo? Au ulikuwa unatafuta uhalisia wa mambo kupitia masimulizi tu ya watu?
Mkuu nadhani ukiingia huko ndani ndani hao wanaojiita waganga wa jadi fanya research kitaalam utaona. This guys wanatumia on trick, ujanja wao ni wewe uwaamini tu. Kwenye tembeatembea zangu nimepita huko ingawa hao waganga wanaosemekan ni wataalamu nimeishia kuona ni upuuzi na kelele nyingi tu.

Uchawi ni dhahania, hamna ukweli kuhusu ufanyaji kazi wake. Kuna watu wanaopractice na wanavifaa kweli lakin hamna ukweli wowote.

Naomba niulize kitu kimoja, je ni nani aliyefundisha watu kuwa ukichukua malimau na sindano plus nyuzi unaweza kumdhuru mtu in a supernatural way kwa kusema maneno fulani?

Mbona wakina Samia hawapigwi vimbola si tarehe 29 Kuna watu walipigwa chuma hatupo nao tena, hao wachawi mbona hawakupiga kazi?

Mbona marekani haji kuchukua hiyo technology amdhuru adui yake Iran vita iishe wanaendelea kupigana physically?
 
Unaakili ww?
Utamwitaje na jina lanbaba liwe sio lako ni la elon
Mkuu, au haujui kwamba jina la mtu linaweza kuwa lolote tu as long as halikiuki sheria na maadili ya jamii husika?

Au unadhani kwamba jina ni lazma liwe la mzazi?
Au hujui pia mtu anaweza kubadilisha jina na likatambulika kisheria?

Pia it seems that haujui km jina ni just utambulisho tu ili tutambuane basi, ila halitaamua mtu atakuwa vipi?

👇🏽
Basi tufanye yote niliyotaja hapo juu hauyajui..
Sawa nitafanya hivi, nabadilisha jina langu kisheria na linakuwa ROCKEFELLER,
kisha mwanangu nampa jina la JOHN DAVISON.

👆🏽
Okay, hapo vipi 😎 au unataka kusema haiwezekani?
 
Mkuu, au haujui kwamba jina la mtu linaweza kuwa lolote tu na likatambulika kisheria?
Au unadhani kwamba jina ni lazma liwe la mzazi?
Au hujui pia mtu anaweza kubadilisha jina na likatambulika kisheria?

Pia it seems that haujui km jina ni just utambulisho tu ili tutambuane basi, ila haliamua mtu atakuwa vipi?

👇🏽
Basi tufanye yote niliyotaja hapo juu hauyajui.
Sawa nitafanya hivi, nabadilisha jina langu kisheria na linakuwa ROCKEFELLER, kisha mwanangu nampa jina la JOHN DAVISON.
👆🏽
Okay, hapo vipi 😎 au unataka kusema haiwezekani?
Majina yana nguvu za roho watu wametoa majina hata bila kuelewa soma biblia soma Alivyozaliwa na kupewa kina Yohana mbatizaji
 
Majina yana nguvu za roho watu wametoa majina hata bila kuelewa soma biblia soma Alivyozaliwa na kupewa kina Yohana mbatizaji
Jina it's nothing but utambulisho tu, halina uwezo wa kuamua mtu atakuwa vipi.

Ukibisha, fanya kama nilivyokwambia umpe mwanao jina ALBERT EINSTEIN, BRUCE LEE, mpe jina la THOMAS EDSON, ROBERT OPPENHEIMER,
BARACK OBAMA, JULIUS CAESAR,
MAYER AMSCHEL ROTHSCHILD,
MOURICE HILLEMAN, MIKE ADENUGA, n.k.

Halafu uje utupe mrejesho.
Kama kweli jina lina maana ya kuamua destiny ya mtu.

Ukibisha zaidi, fatilia watu wa karne hii ya 21 wanaoitwa jina JESUS au MUHAMMAD, kisha ulete mrejesho hapa.
Au unataka kusema hawapo wenye majina hayo?
 
Mkuu nadhani ukiingia huko ndani ndani hao wanaojiita waganga wa jadi fanya research kitaalam utaona. This guys wanatumia on trick, ujanja wao ni wewe uwaamini tu. Kwenye tembeatembea zangu nimepita huko ingawa hao waganga wanaosemekan ni wataalamu nimeishia kuona ni upuuzi na kelele nyingi tu.

Uchawi ni dhahania, hamna ukweli kuhusu ufanyaji kazi wake. Kuna watu wanaopractice na wanavifaa kweli lakin hamna ukweli wowote.

Naomba niulize kitu kimoja, je ni nani aliyefundisha watu kuwa ukichukua malimau na sindano plus nyuzi unaweza kumdhuru mtu in a supernatural way kwa kusema maneno fulani?

Mbona wakina Samia hawapigwi vimbola si tarehe 29 Kuna watu walipigwa chuma hatupo nao tena, hao wachawi mbona hawakupiga kazi?

Mbona marekani haji kuchukua hiyo technology amdhuru adui yake Iran vita iishe wanaendelea kupigana physically?
Bado haufunguki mkuu unaishia kwenye kutoa hitimisho tu la huo uchunguzi wako, binafsi nilitegemea utaeleza japo matukio mawili matatu ambayo ulikutana nayo yaliyobeba sura ya uchawi ila wewe uliweza kugundua ni tricks zake au ukweli wa hayo mambo tofauti na ilivyodhaniwa kwa kuhusishwa na uchawi.

Kwa sababu mkuu hata wenye kuamini uchawi pia wanatambua kuwa kuna waganga matapeli, na kuna watu washazunguka sana kwa waganga hadi wamekata tamaa bila mafanikio na wapo ambao wameona kufanikiwa shida zao.
 
Tatizo la mada kama hizi huwa tunatafuta mshindi yani kati ya wanaosema uchawi upo na wenyeckusema hakuna uchawi ni nani mshindi, lakini kama tungekuwa tunajadiliana kutafuta uhalisia au ukweli yangekuwa majadiliano mazuri sana.
 
Sijaona tukio lolote supernatural, huwa nahisi ni ujinga na hofu za watu. Sasa nifunguke vipi zaidi ya hapo? Zaidi ya kusema uchawi unakuwa defined na Wana jamii na kuelezewa kwa namna fulani(madai mengi yanaamini miujiza hutokea), sijawahi kushuhudia zaidi ya kuwanasa matapeli.

Phenomenon nyingi watu wanaposhindwa kueleza huterm kama uchawi ingawa sijawahi kubaki dai bila ushahidi wa kiyakinifu. Ukisema kitu kipo kielezee pia huwezi kusema wewe ni mtaalamu hujui how something works?
 
Tatizo la mada kama hizi huwa tunatafuta mshindi yani kati ya wanaosema uchawi upo na wenyeckusema hakuna uchawi ni nani mshindi, lakini kama tungekuwa tunajadiliana kutafuta uhalisia au ukweli yangekuwa majadiliano mazuri sana.
Utajihisi kushindwa always incase huna ushahidi na huwezi kuelezea kitu kikaeleweka kwa watu.

Kina min -me Infropreneur Kiranga Yoda huwa wanauliza maswali ambayo logically yanatafuta proof, na information za kutosha kuhusu mambo ya Imani. Nime observe watu wengi wanakwepa haya maswali mno na kubaki na msimamo wewe amini tu, na vitisho badala ya maelezo ya kutosha.
 
Nafikiri wanaona labda hautujui imani zipoje au hatukuwahi kuwa watu wa imani kabisa
 
Mkuu, au haujui kwamba jina la mtu linaweza kuwa lolote tu as long as halikiuki sheria na maadili ya jamii husika?

Au unadhani kwamba jina ni lazma liwe la mzazi?
Au hujui pia mtu anaweza kubadilisha jina na likatambulika kisheria?

Pia it seems that haujui km jina ni just utambulisho tu ili tutambuane basi, ila halitaamua mtu atakuwa vipi?

👇🏽
Basi tufanye yote niliyotaja hapo juu hauyajui..
Sawa nitafanya hivi, nabadilisha jina langu kisheria na linakuwa ROCKEFELLER,
kisha mwanangu nampa jina la JOHN DAVISON.

👆🏽
Okay, hapo vipi 😎 au unataka kusema haiwezekani?
Jina ni utambulisho tu same to how we give things names so as we can know them and communicate. Maana ya "Kishkwambi" ni nini jina lime ibuka juzi tu.

Nadhani jamaa anatakiwa ajifunze linguistics vizuri aelewe mfumo wa lugha na majina hutoka wapi.
 
Back
Top Bottom