Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Ndiyo, ni dhahiri ulikuwa hujui. Sabb ungejua wala usingekomalia kwamba majina ya mwisho ya mtoto ni lazma yawe ubin wa baba.

yes majina watapewa utotoni.

point yako ya majina nimekuzima imeisha, umehamia nyingine. Hahahah!

Hiyo hiyo point yako ya date of birth pia nayo nakuprove wrong,

👇🏽
ifanyike experiment, watoto watano (5) waliozaliwa siku moja kisha wapewe majina yanayofanana mpaka ubin. Wote wote watano (5) wapewe full name liwe MAYER AMSCHEL ROTHSCHILD.

Je, unataka kutuaminisha kwamba date of birth na majina yatadetermine watakua vip, au watakuwa akina nani? 🤔

Si umesema jina linaumba, sasa je hao watakuwa kama MAYER AMSCHEL ROTHSCHILD?

Horoscope ni utapeli, jina na DOB haviamui hatma ya mtu.
Wewe ni ...... hata hujanielewa
 
Hamna mtu aliyepinga, lakini kwa upande wangu nadhani na wadau wengine hatakubaliani kwa stori tu. Wewe ndiye unayejua uje uelezee na ukiulizwa swali sio unazunguka kujitetea na kuprove you are right. No one needs to know if you are right or no what we need ni kufahm ukweli wa yanayosemwa.

Ukisema Kuna majini, vibwengo na vitu vingine elezea na pengine onesha mfano ili dai lako liwe la kweli.
Sasa kama unakubali kuwa imani ya uchawi imejenga mizizi kwenye jamii katika maisha yao ya kila siku basi ndio maana mimi nikataka wewe ambaye umezunguka kote huko kutafuta uhalisia basi ndio ungeelezea uhalisia wa mambo ulivyo kutokana na experience yako ya kuzunguka huko na kukutana na hizo imani, sasa cha ajabu unasema umezunguka kote huko halafu et umekutana na masimulizi tu tena unafananisha na issue ya kuibiwa nyeti na kusema ndio imani za uchawi zilizopo kwenye jamii.

Kwa sababu ukisema ni masimulizi tu tafsiri yake ni kwamba hakuna wenye kujihusisha na hayo mambo kwenye maisha ya kila siku isipokuwa ni story tu ambazo watu wanasimuliana basi kama kuibiwa nyeti na ndio maana mmekuwa mkirudia kusema tunatishana.

Sasa inawezekana ikawa sisi tunashindwa kutoa maelezo yenye kueleweka au nyie ndio hamna nia ya kutaka kuelewa ndio maana mara mtasema uchawi ni masimulizi hakuna aliyewahi kushuhudia kila mtu kasikia tu, mara mtasema ni placebo effect, mara ni tricks tu, mara magonjwa ya akili, mara ni vitu ambavyo hatuvielewi tu ila sio uchawi.
 
Ukitaka kujua masuala ya chuma ulete ni upuuzi, yaani target yao inasemekana ni kupata pesa kimiujiza kupitia biashara yako, mahali kama bank ndio pesa zipo lakini pesa za bank ili utoe au uweke lazima ziwe verified na program ya computer ambayo sidhani kama computer hudanganya zaidi ya kufuata maelekezo yake. Sasa huo wizi wa kimiujiza sijawahi kusikia bank hata siku moja wameibiwa kupitia mtindo huu ukweli ni kwamba huu ni mchezo kama michezo mingine na hamna miujiza ya wizi wa pesa
Wewe hiyo chuma ulete unaisikia tu hauelewi hauna hata maelezeo kujua inafanywa vp(bila kujali kama chuma ulete ni kweli) ila unaenda kuipinga kisa tu haujasikia madai ya chuma ulete bank.
 
Tuletee uthibitisho wa benki iliyowahi kuibiwa kupitia chuma ulete, au biashara kubwa ambazo zinaendeshwa kisomi. Sifahamu na pia kwa sasa nadhani ni hofu ya watu kwenye jamii.
 
Sasa kama unakubali kuwa imani ya uchawi imejenga mizizi kwenye jamii katika maisha yao ya kila siku basi ndio maana mimi nikataka wewe ambaye umezunguka kote huko kutafuta uhalisia basi ndio ungeelezea uhalisia wa mambo ulivyo kutokana na experience yako ya kuzunguka huko na kukutana na hizo imani, sasa cha ajabu unasema umezunguka kote huko halafu et umekutana na masimulizi tu tena unafananisha na issue ya kuibiwa nyeti na kusema ndio imani za uchawi zilizopo kwenye jamii.

Kwa sababu ukisema ni masimulizi tu tafsiri yake ni kwamba hakuna wenye kujihusisha na hayo mambo kwenye maisha ya kila siku isipokuwa ni story tu ambazo watu wanasimuliana basi kama kuibiwa nyeti na ndio maana mmekuwa mkirudia kusema tunatishana.

Sasa inawezekana ikawa sisi tunashindwa kutoa maelezo yenye kueleweka au nyie ndio hamna nia ya kutaka kuelewa ndio maana mara mtasema uchawi ni masimulizi hakuna aliyewahi kushuhudia kila mtu kasikia tu, mara mtasema ni placebo effect, mara ni tricks tu, mara magonjwa ya akili, mara ni vitu ambavyo hatuvielewi tu ila sio uchawi.
Tatizo mnataka watu tuamini au tukubaliane na nyinyi kitu ambacho kwa mtu anayetumia logic haiwezekani. Hakimu mahakamani huwa hakimbilii upande mmoja na kushikilia huko lazima apime two sides na kutafuta ukweli.

Sasa kama mimi namfahamu uchawi ni Imani potofu za kwenye jamii. Hazina uthibitisho halisi unataka nielezee nini tena ndio nilicho kuona siwezi kurukia kueleza nisiyo ya fahamu kwa lengo la kufurahisha watu.

Toa maelezo yaliyonyooka huo uchawi uliona wapi, ni tukio gani na je hicho kitu root yake ni uchawi maana kuna matukio ya kawaida mtasema ni uchawi kwasababu ya kutokujua kitu. Hivi ndivyo tutaelewan sio uzunguke kuattack watu alafu unatoa weak points kwaajili ya kujitetea.

Hadi sasa my main point ni matukio mengi yanayoitwa uchawi ni tafsiri ya kutoelewa chanzo halisi si kama tunavyodhani. Mkuu ungetoa uchambuzi wako alafu ntakuja na mifano kadhaa kwenye jamii ukichunguza utagundua hamna uchawi kuna reason nyuma yake.
 
Tuletee uthibitisho wa benki iliyowahi kuibiwa kupitia chuma ulete, au biashara kubwa ambazo zinaendeshwa kisomi. Sifahamu na pia kwa sasa nadhani ni hofu ya watu kwenye jamii.
Sijawahi kusikia bank ikidai imeibiwa kwa chuma ulete ila wewe unaniambia nikuletee utbibitisho wa bank kuibiwa kwa chuma ulete!

Haya mkuu umeshinda.
 
Tatizo mnataka watu tuamini au tukubaliane na nyinyi kitu ambacho kwa mtu anayetumia logic haiwezekani. Hakimu mahakamani huwa hakimbilii upande mmoja na kushikilia huko lazima apime two sides na kutafuta ukweli.

Sasa kama mimi namfahamu uchawi ni Imani potofu za kwenye jamii. Hazina uthibitisho halisi unataka nielezee nini tena ndio nilicho kuona siwezi kurukia kueleza nisiyo ya fahamu kwa lengo la kufurahisha watu.

Toa maelezo yaliyonyooka huo uchawi uliona wapi, ni tukio gani na je hicho kitu root yake ni uchawi maana kuna matukio ya kawaida mtasema ni uchawi kwasababu ya kutokujua kitu. Hivi ndivyo tutaelewan sio uzunguke kuattack watu alafu unatoa weak points kwaajili ya kujitetea.

Hadi sasa my main point ni matukio mengi yanayoitwa uchawi ni tafsiri ya kutoelewa chanzo halisi si kama tunavyodhani. Mkuu ungetoa uchambuzi wako alafu ntakuja na mifano kadhaa kwenye jamii ukichunguza utagundua hamna uchawi kuna reason nyuma yake.
Hakuna hata wenye kuwalazimisha kukubali uchawi hapa wenyewe ndio mmeleta mada halafu watu wakichangia kutokana na experience zao mnaona mnalazimishwa kukubali uchawi, mnaita watu wajinga wengine mnasema wazi mnatamani hata kurusha ngumi tungekuwa karibu.

Sasa kama mnaona sie michango yetu inataka tuwafanye nyie mkubali uchawi basi ndio maana hatuwezi kuelewana maana wenzetu kumbe mnapambana ili msiaminishwe hizo imani.

Cha kufanya wewe njoo na hiyo mifano ya kwenye jamii na uelezee reason nyuma yake maana ndio kitu ambacho nilitaka ili tujifunze.
 
min -me Yoda mbona huyu mdau anajitetea sana?

Hivi haya ndio maelezo wadau wengine wanayo request ama ndio hii tunasema logic over conspiracy.
 
Muelewe tu mkuu, wabongo wengi hawajazoea mijadala na midahalo migumu kama hii inayotanguliza facts mbele. Hata hivyo hapa JF watu wanajitahidi kuwa na uvumilivu, mdahalo kama huu ukiupeleka mtaani mfano bar au kwenye kijiwe cha kahawa utaleta mtafaruku mkubwa sana na kutoelewana. Mtaani nje ya JF watu wengi wanaopiga story za uchawi, mapepo, majini n.k Mimi huwa hata huwa sibishani nao mara nyingi, nawasikiliza tu then naishia kuwapuuza.
 
Mzee Yoda, unasimama upande upi wa uchawi upo au haupo?
 
Anayeamini uchawi muacheni, sababu ni ujinga wake ndio unamtuma hivyo... ila akisababisha taharuki au madhara kwa jamii lazima ashughulikiwe,.. tena ashughulikiwe vikali bila huruma!
Halafu cha ajabu wakishughulikiwa huwa uchawi hausaidii.
The way watu wanavyouelezea uchawi ulivyo, kama ingekuwa ni kweli basi hata serikali ingewaogopa.

Wenzetu hizi imani potofu baada ya kuzigundua ni uongo, wameamua kuwafundisha watu ili wasije wakadanganywa.

Pia faida nyingine waliyobaki nayo wenzetu walioendelea ni kutumia hizi kama idea za ki entertainment tu (stori za masimulizi, movies, etc.)
 
Hakuna uchawi mkuu
Kaka, kaka , kaka.

Najua humu jukwaani majority ni EDUCATED.

Nikuweke wazi uchawi upo na unafanya KAZI..

Enchantment zipo na hata Kuna Mataifa yameweka department vyuo vikuu kuchunguza na kutafiti Uchawi

Kaa ukijua uchawi ni TAASISI inayo Fanya KAZI zake kwa SIRI

KUNA SIKU UTAKUJA KUKANUSHA IYO KAULI YAKO TUPO HAPA.
 
Muelewe tu mkuu, wabongo wengi hawajazoea mijadala na midahalo migumu kama hii inayotanguliza facts mbele. Hata hivyo hapa JF watu wanajitahidi kuwa na uvumilivu, mdahalo kama huu ukiupeleka mtaani mfano bar au kwenye kijiwe cha kahawa utaleta mtafaruku mkubwa sana na kutoelewana. Mtaani nje ya JF watu wengi wanaopiga story za uchawi, mapepo, majini n.k Mimi huwa hata huwa sibishani nao mara nyingi, nawasikiliza tu then naishia kuwapuuza.
Uzuri mmoja JF kweli watu wengi ni waelewa. JF ni tofauti na social media kama Facebook. Huwa napenda sana mijadala ya humu na baadhi ya wachangiaji wanaofikiria nje ya box. Ingawa Kuna vilaza wenye point hafifu, they don't think out if box.
 
Back
Top Bottom