Hiyo Miasma ilikua inaongelea kwamba ,harufu mbaya ni chanzo cha ugonjwa , hata Figo zikifeli ni harufu mbaya😁na baadhi ya magonjwa yalikuwa yanasambazwa kwa hewa, hawakujua chanzo chake au njia ipi hasa ya hewa ila waliona watu wakizidi kuambukizwa kwa kuvuta hewa, hivyo sio kila kinachosemwa kiwe na uongo moja kwa moja huenda uchawi upo ila njia ya kuwasilisha ili ueleweke ndio kuna changamoto
hadi zako ziibiwe ndio utaelewaBongo watu Wana IQ fupi mno na watu wazima wanaamini hii michezo.
Uchawi kwa tafsiri yako ni nini.Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.
Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).
Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?
Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.
Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Toka zamani binadamu alijaribu kgundua jinsi mwili wa binadamu,dunia na ulimwengu mzima unavyofanya kazi, hivyo uchawi ni aina moja ya mawazo kwenye jamii ku guess nini kinaendelea kwenye dunia, ila approach zinakuwa tofauti kadri karne zinavyoenda kwa sasa mathematic approach ndio inatumika sanaDini ipo je? Imani za kishirikina zipo je na zinasambaa aje?
Watu wanajifunza kutokana na interaction that's why.
Unapoona fisi mwenye hirizi na plate namba ameuawa na vikosi vya polisi mkoani Simiyu huwa unaelewa nini?Unaweza kuthibitisha tukio ambalo Lina onesha uwepo wa uchawi zaidi ya stori.
Tuletee uthibitisho wa hizo habari hapa sio stori.Unapoona fisi mwenye hirizi na plate namba ameuawa na vikosi vya polisi mkoani Simiyu huwa unaelewa nini?
Unapoona ITV mtu aliyekufa miaka mingi ameonekana tena mkoani Kigoma huwa unaelewa nini kwenye kichwa chako? Ebu ingia you tube ujifunze zaidi. Nyie wazaliwa wa Kinondoni ni much know sana.
Hizi tunaweza kusema ni matumizi mabaya ya elimu hyo kwa ku exploit weakness za mtu ambazo hata sasa zinafanyika watu wanatumia psychology evaluation ku exploit watu, pia na watu ambao hawana elimu vizuri na wakitaka kujifanya wanajuaHiyo Miasma ilikua inaongelea kwamba ,harufu mbaya ni chanzo cha ugonjwa , hata Figo zikifeli ni harufu mbaya😁
Tuje kwenye issue ya ukimwi tena, watu walijua ni ugonjwa wa kulogwa na wengine walileteana ugomvi mkubwa sana , na waganga wa kienyeji walitumia kama sababu ya kuwa ni fulani kakuloga
Je kama uchawi upo kwa nini haukutambua issue ya ukimwi?
Unapoona fisi mwenye hirizi na plate namba ameuawa na vikosi vya polisi mkoani Simiyu huwa unaelewa nini?Hakuna uchawi ni stories za kijinga tu , na hilo la kupotea kwa nyeti limebumburuka kwa sababu fahamu za watu wengi kwa sasa zimeamka sana, hebu fikiri akipindi cha nyuma hakuna elimu kubwa kwa watu ni jinsi gani walivyokuwa wanajidanganya🤔
Kitu usichokijua watafiti wa wanyama pori , huwavisha wanyama hereni masikioni, au mkanda shingoni na Mark nyingine tu , kama kuweka alama , ili kufuatilia mienendo ya mnyama huyoUnapoona fisi mwenye hirizi na plate namba ameuawa na vikosi vya polisi mkoani Simiyu huwa unaelewa nini?
Unapoona ITV mtu aliyekufa miaka mingi ameonekana tena mkoani Kigoma huwa unaelewa nini kwenye kichwa chako? Ebu ingia you tube ujifunze zaidi. Nyie wazaliwa wa Kinondoni ni much know sana.
Nyie ni much know sana ndio maana watu huwapuuza tu. Fisi mwenye hirizi na plate namba anayefanyiwa utafiti polisi watamuwinda kumuuwa?Kitu usichokijua watafiti wa wanyama pori , huwavisha wanyama hereni masikioni, au mkanda shingoni kama kuweka alama , ili kufuatilia mienendo ya mnyama huyo
Wengine wanafanya hivyo ili kuweka alama kwa wanyama ambao wamepatiwa kinga za magonjwa au chanjo fulani
Sio fisi tu ukitalii utaona mpaka kwa chui , nyati na wengine wengi.
Nimeishi maporini, Tanzania hata lami hakuna miaka ya 96 huko , watu walikua wana kuta fisi ana hereni masikioni wanadai ni fisi wa kichawi , kumbe ni wageni kutoka nnje wanaweka alama zao tu kufanya tafiti kwa wanyamaNyie ni much know sana ndio maana watu huwapuuza tu. Fisi mwenye hirizi na plate namba anayefanyiwa utafiti polisi watamuwinda kumuuwa?
Wewe unaamini uwepo wa uchawi?Kama unaamini Mungu na unasema hakuna uchawi una matatizo ya akili.
Nijisomee vitu havimake logical sense bro?Jisomeee
Na mara nyingi watu wakishindwa kuelezea jambo either kisayansi ndio huamini haya masuala ya uchawi.Nimeishi maporini, Tanzania hata lami hakuna miaka ya 96 huko , watu walikua wana kuta fisi ana hereni masikioni wanadai ni fisi wa kichawi , kumbe ni wageni kutoka nnje wanaweka alama zao tu kufanya tafiti kwa wanyama
Hakuna cha u much know, uchawi ni blabla za kijinga tu , naweza kupa mifano 1000 ya mambo yaliyokuwa yana aminiwa ni uchawi ikaja bainika ni kitu kingine
Kweli na curiosity ndio imepelekea haya yote.Toka zamani binadamu alijaribu kgundua jinsi mwili wa binadamu,dunia na ulimwengu mzima unavyofanya kazi, hivyo uchawi ni aina moja ya mawazo kwenye jamii ku guess nini kinaendelea kwenye dunia, ila approach zinakuwa tofauti kadri karne zinavyoenda kwa sasa mathematic approach ndio inatumika sana
Na huwa wanalazimsha mpaka kufikia hatua ya kukasirika sasa sijui kwaniniNa mara nyingi watu wakishindwa kuelezea jambo either kisayansi ndio huamini haya masuala ya uchawi.
I think such people think in a spectrum of believes and they have too low non boosted IQ which results to ignorance and disagreeing on other side/opposite side.Na huwa wanalazimsha mpaka kufikia hatua ya kukasirika sasa sijui kwanini