Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Hiyo ni imani kaka. Hujafanya kuchunguza uthibitishe kama kweli wasio chepuka wanamatatizo wote au la. Ila nafikiri wapo wasio na matatizo ila wameamua tamaa zao zote wazimalize kwa mwanamke mmoja! Ni bora kuwa mbunifu kilasiku kweny tendo ili kukidhi haja yako na kuenjoy mwanamke wako kuliko kumtaka wa nnje.. Nnje wapo wengi hutomaliza haja hiyo.
 
[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]kumbe?

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ukweli hapa,wanaume wasiochepuka wapo,sema wewe ndio huwezi
 
Ungeweka vizuri mwanaume kuridhika na mwanamke mmoja.

Sijawahi muona kwa watu wote ninaowafahamu kuanzia baba zangu, kaka zangu , rafiki zangu n.k.

Huenda wakawepo wachache, ila amini nakwambia ukiona hivyo jua kuna shida mahala.
 
Kuna wanaume wakichanganya k tu basi ataandamwa na mikosi lukuki ikiwemo kufilisika, kupoteza deals ama kazi, biashara kukwama nk, hivyo mtu wa hivi akishajijua nyota yake inachafuliwa kutokana na umalaya anajituliza tulii, ila mpaka ukambahatishe sasa🤔🤔,, mwanaume wangu yupo kundi hili
 
Labda Kama hana hela,mgonjwa au hana nguvu za kiume
 
NDIYO. ASIYE NA HELA
 

Shukulu Mungu upate mume alietulia, mpole, hana malafiki nje, mtu wa ibada utayafulahia sana maisha mamy.
 
Mimi nimeacha kuchepuka lakini kitu nimeshindwa kuacha ni nyeto aisee.

Nitakaza weeee labda miezi miwili ila sasa nikiwa naoga najikuta tu najisemea ngoja leo nipige kwa mara mwisho lakini waaapi.

Ila nyeto tamu jamani tuacheni masikhara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kuchepuka ni kupoteza muda? How?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…