Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Ungeweka vizuri mwanaume kuridhika na mwanamke mmoja.

Sijawahi muona kwa watu wote ninaowafahamu kuanzia baba zangu, kaka zangu , rafiki zangu n.k.

Huenda wakawepo wachache, ila amini nakwambia ukiona hivyo jua kuna shida mahala.
Hahah sawa nakuelewa ndugu yangu, ni kitu ambacho nadra sana kwenye kizazi hiki ila wapo. Inawezekana hawapo kwenye ukoo wako ila kwenye ukoo mwingine wapo na ni wanaume lijali hakuna tatizo lolote. Sababu za kutochekupa sio lazima awe anatatizo, nadhani nimejaribu kuelezea zingine kwenye mada. Kuna kukua na kufikia level hiyo ya kumpenda mke wako na watoto wako na Mungu wako na malengo yako kiasi cha kutoona haja ya kuwa na mchepuko wakati unaweza mtumia mke wako halali kupata zaidi starehe zote. Ni kiwango cha juu cha kupevuka hiko pia. And trust me, mwanaume aliefikia level hiyo huwa YUKO UNIQUE SANA. he earns respect from everybody. [emoji120]
 
Kuna wanaume wakichanganya k tu basi ataandamwa na mikosi lukuki ikiwemo kufilisika, kupoteza deals ama kazi, biashara kukwama nk, hivyo mtu wa hivi akishajijua nyota yake inachafuliwa kutokana na umalaya anajituliza tulii, ila mpaka ukambahatishe sasa[emoji848][emoji848],, mwanaume wangu yupo kundi hili

Huyo kakumudu na kafanikiwa kukupumbaza, endelea kujitekenya.
 
Uko sawa kuna muda unafika unatulia na unajua kwa nini unatulia?

Ni kwa sababu ukizeeka hata nguvu hupungua.

Umesema kizazi hili ndo kina shida, si kweli ukirejea zamani mababu zetu walikuwa na wake hata zaidi wa watano.

Bado ni mulemule tu, kutokuridhika na mmoja.
 
Wana upungufu wa nguvu za kiume
Ndivyo unavyoamini mkuu?

Wengi hamuelewi majukumu ya mwanaume hasa anapoamua kuwa Baba wa familia,nimekuwa na rafiki zangu ambao wanaendekeza huu umwamba ila kila wakati jasho lao hulitumia kwa maumivu makali sana mf:yupo mmoja siku hiyo anaogopa kupokea simu ananiambia niipokee mimi nidanganye amesahau simu kisa anayepiga ni ma.laya wake aliyemuahidi kumlipia kodi miezi 6 Tabata (yeye mwenyewe anaishi chumba na sebule Tegeta na familia) acha mizinga ya saloon etc na maendeleo hana.

Ukitoa kuogopa dhambi ya uzinzi kutulia na mwanamke mmoja kuna manufaa sana (wachache wamefanikiwa kuyajua),kwanza unakuwa huru mimi simu zangu muda wowote mahali popote mke wangu anashika passwords zote anazijua wakati mwengine nikiwa mbali hutoa yeye maelezo,kufanya sex iliyo safi na kwa uhuru,salama na ya furaha,wakati fulani bado mgeni kwenye ndoa mke wangu alipojifungua first born wetu nikaiga kutoka nje nilikutana na ex ujinga ujinga nikajaa,hofu hofu nimevaa mipira nikiwaza gharama nilizotumia mpaka kukamilisha hiyo mission nikaona ni ujinga,ukishakuwa na watoto wawili+ (though ninao wawili bado nitaongeza Mungu akipenda najiona niko aged 50) najua ndoto zao nimezibeba mimi kutumia pesa 100K pasi na manufaa siioni faida yake zaidi nitawaza niifanyie nini kwa kesho yao au bora waitumie wao kuvaa kula ada etc.

Kuwa muaminifu kwenye ndoa hukupa amani ya maisha,muda wote nyumba inatamalaki furaha mke anacheka watoto wanafurahi hakuna hisia mbaya dhidi yako watoto wanaijua ratiba ya Baba yao kurudi nyumbani ni furaha sana unaingia home watoto wanakufurahia na wanakupa taarifa siku yao ilivyoisha najua hata siku sipo wataukumbuka uwepo wangu (ukiwa mzinzi haya yote utayafanya muda gani wakati ukirudi wamelala?)
 
Khan Hivi unapata wapi nguvu & muda wa Kuandika maneno mengi hivyo?!
 
Nyie mnajifanya kuandika maneno lukuki ndo wazinzi na wachepukaji wakubwa.
 
Kuna wanaume wakichanganya k tu basi ataandamwa na mikosi lukuki ikiwemo kufilisika, kupoteza deals ama kazi, biashara kukwama nk, hivyo mtu wa hivi akishajijua nyota yake inachafuliwa kutokana na umalaya anajituliza tulii, ila mpaka ukambahatishe sasa[emoji848][emoji848],, mwanaume wangu yupo kundi hili
Hata mimi imenitokea sana hiyo,nikianza tu kuchanganya mademu hela zinapukutika nafukuzwa kazi,miradi yote inasimama.
Imenibidi sasa hivi nijikaze niwe mpole
 
Afadhali umethibitisha hapa, chakufanya chagua ke mmoja wa kudumu nae asiwe mwingi km hajataka kutulia na wewe pekee piga chini,
 
Ndivyo unavyoamini mkuu?

Wengi hamuelewi majukumu ya mwanaume hasa anapoamua kuwa Baba wa familia,nimekuwa na rafiki zangu ambao wanaendekeza huu umwamba ila kila wakati jasho lao hulitumia kwa maumivu makali sana mf:yupo mmoja siku hiyo anaogopa kupokea simu ananiambia niipokee mimi nidanganye amesahau simu kisa anayepiga ni ma.laya wake aliyemuahidi kumlipia kodi miezi 6 Tabata (yeye mwenyewe anaishi chumba na sebule Tegeta na familia) acha mizinga ya saloon etc na maendeleo hana.

Ukitoa kuogopa dhambi ya uzinzi kutulia na mwanamke mmoja kuna manufaa sana (wachache wamefanikiwa kuyajua),kwanza unakuwa huru mimi simu zangu muda wowote mahali popote mke wangu anashika passwords zote anazijua wakati mwengine nikiwa mbali hutoa yeye maelezo,kufanya sex iliyo safi na kwa uhuru,salama na ya furaha,wakati fulani bado mgeni kwenye ndoa mke wangu alipojifungua first born wetu nikaiga kutoka nje nilikutana na ex ujinga ujinga nikajaa,hofu hofu nimevaa mipira nikiwaza gharama nilizotumia mpaka kukamilisha hiyo mission nikaona ni ujinga,ukishakuwa na watoto wawili+ (though ninao wawili bado nitaongeza Mungu akipenda najiona niko aged 50) najua ndoto zao nimezibeba mimi kutumia pesa 100K pasi na manufaa siioni faida yake zaidi nitawaza niifanyie nini kwa kesho yao au bora waitumie wao kuvaa kula ada etc.

Kuwa muaminifu kwenye ndoa hukupa amani ya maisha,muda wote nyumba inatamalaki furaha mke anacheka watoto wanafurahi hakuna hisia mbaya dhidi yako watoto wanaijua ratiba ya Baba yao kurudi nyumbani ni furaha sana unaingia home watoto wanakufurahia na wanakupa taarifa siku yao ilivyoisha najua hata siku sipo wataukumbuka uwepo wangu (ukiwa mzinzi haya yote utayafanya muda gani wakati ukirudi wamelala?)
Leo hii ukiongea ukweli utaambiwa mnafiki, unakelele, mzushi ila unge support uongo na uovu wa kuchepuka utaonekana unaongea point sana [emoji23]
 
Watu wanaishi kwa kukariri,hii dunia ya sasa ktk mambo yahusuyo familia siyo ya kwenda nayo speed....ndoa nyingi sana zimeingia kwenye matatizo sugu kutokana na kasumba hii ya kuchepuka,mwezi miezi miwili au mwaka unakuta ndoa imejaa tuhuma kila mmoja anamlalamikia mwenzake siyo muaminifu.

Mwanaume unachepuka unaleta maradhi sugu mwanamke anastukia chezo naye anachepuka anakuletea mimba ya hawara mwishowe majuto,mimi nikimuona mtu anashadadia haya mambo hudhani hajakomaa kiakili.

Na huo ndo ukweli!
 
Back
Top Bottom