Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Kaka , nakuunga mkono sana kaka...
Wewe ni mwanaume kweli...
 
Hii mada iliibuka sehemu ya kazi jana, 99% ya wanaume waliokuwwpo pale walikiri wamechepuka.

Huwa nasema, at some point in life, mwanaume lazima atapiga puchu, mwanaume ataanguka katika uzinzi.

Cheating is a choice though, unaamua sasa nacheat, Ila kuna internal factors katika hili.

Huwa nawaambia wanawake, usimnyime mume wako.
 
Baba yako asinge chepuka usinge zaliwa.

Wasio chepuka ni WALOKOLE PEKE YAO.
 
Hujawahi kuwa mwanaume ww kaaa kwa kutulia hujui raha ya kuzichakata papuchi tofauti tofauti......
 
Khaa kwa hiyo mumeo mambo yakimuendea alijojo unajua kachapa nje!!?
 
Mwenyezi Mungu akuhifadhi
 
Mada yako nimeipenda na nipo hapa 100% nikisema wapo wanaume waaminifu. Jaman usiusemee moyo pamoja na mapungufu ya kibinadamu namshukuru Mungu sana mume wangu kwa hili kasalimika na nazidi kumwomba Mungu azidi kumuhifadhi.
Akiwaza majukumu yake, familia yake bado haoni sababu ya kuchepuka.
Wanaume waaminifu wapo na namshukuru Mungu mume nilienae ni miongoni mwa waaminifu
 
Wapo bwana ingawa mimi simo.

Nimemshuhudia jamaa mmoja hivi. Wallaahi mpaka namuonea wivu kwa alivyo natamani kuwa kama yeye.

Mungu amuongoze yule kijana. Ni ustadh kisha ni mtu wa karate..

Hajawahi kuzini tangu ameoa mpaka sasa miaka 15 imepita
 
Wapo bwana ingawa mimi simo.

Nimemshuhudia jamaa mmoja hivi. Wallaahi mpaka namuonea wivu kwa alivyo natamani kuwa kama yeye.

Mungu amuongoze yule kijana. Ni ustadh kisha ni mtu wa karate..

Hajawahi kuzini tangu ameoa mpaka sasa miaka 15 imepita
Kwa nia yako tu na ukamwomba Allah kwa yakini hili ni jepesi.
 
Ke wenyewe tunafika bei hata km umeoa....lazima tule nae sambamba huyo kimdada.

hasa km kim- dada chenyewe kinajishebedua shebedua....
Kwani nini bana....

lazima tujue yaliyoko ndani......tuipigize hiyo hata kuhonga nitahonga tu kwani sh.ngapi?????

Akilemaa tuu!! Kosa!!! ana nyang'anywa kabisaaaa harudi!! Tuone!!
 
Niombee Noelia maana napenda Wanawake Mimi Acha kabisa.Yaani mashine ipo hai hai muda wote.Naweza kumshughulikia wife usiku mzima,lkn kesho yake akikatiza mdada mrembo mashine inadinda kisawasawa, natamani kuacha kabisa tabia hii lkn nashindwa.Maombi yako muhimu sana.
 
Mimi nimeacha kuchepuka lakini kitu nimeshindwa kuacha ni nyeto aisee.

Nitakaza weeee labda miezi miwili ila sasa nikiwa naoga najikuta tu najisemea ngoja leo nipige kwa mara mwisho lakini waaapi.

Ila nyeto tamu jamani tuacheni masikhara.
Nyeto nilifanikiwa kuiacha ila Mbunye kuiacha ndo muziki.
 
[emoji23][emoji23]hatari tupu
 
Achana na ile kitu mkuu.
Yaani kuna hisia fulani zinazochanganyika na maswali kichwani unapomuona demu mpya.
Ukimuona bonge unajiuliza dah huyu sijui mbunye yake iko tofauti,ukimuona kimbaumbau unajiuliza huyu anaonekana mtundu sana,ukimuona mrefu kama twiga unasema dah huyu sijui mbunye yake itakuwa imekaaje,ukimuona mbilikimo kama tausi au dorah unasema dah huyu special case atakuwa mtamu kwa vyovyote.
Ukishajiuliza hayo maswali moyo unalipuka unamlia mingo kuhakikisha unamnasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…