Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

Bado mwamposa na miujiza yake ila yule anajua kula na hawa wenye nchi mie hua nacheka enzi za mzee wa chato yani ukakope pesa trillioni 1 then ukimbiilie kanisani usemw tuombe taifa amani , amani iwepo na utulivu utueleze deni tutalilipaje na sio maombi yani tuligeuzwa wote watu wa kusoma madua as if nchi yetu imeingiwa na mashetani ukikua ni upmbavu sana naona unaelendelea bado
 
Naanza kuamini sasa wanaojiita wasomi kwenye nchi hii ndo wajinga wanaotapeliwa
Ety kikombe cha babu kinaponesha hhhhh dah wasomi uchwara wana matukio aiseee
Bado kawe sasa
 
DPP na watu wake bado wako fofofo sana… labda mpaka waagizwe na Raisi au Mwabukusi ndio waafungue mashtaka…
Kesi iko wazi- kakili mwenyewe but mpaka sasa DPP wetu yuko kimya.
Mambo mengine yanafikirisha sana na hawa watu wetu wa liwalo na liwe tonge mdomoni ndio kwanza wamepotezea…
 

Your browser is not able to display this video.
 


Your browser is not able to display this video.
 
Ni kama wmbavyo tunawaambia kuhusu Mwamposa kuwa ni tapeli, lkn hawasikii. Ipo siku Mwamposa naye ataanza kujigamba na kuwalingishia waumini wake yale mahoteli anayojenga mkoani Mbeya.
 
Watu walikuwa wanapeleka wenyewe pesa zao wakitafuta miujiza.
Waache wapigwe, walipigwa na babu wa Loliondo hawakusikia!
 
Waumini wake wanajskiajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚utumwa ... Fake P unakumbuka kiboko aliwahi fufua wafuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii kupenda miujiza ya haraka inawafanya watu kuwa misukule ya manabii feki
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nashindwa nimtukane yeye au niwatukane wafuasi wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe ilikua fake
 
wasiojulikana wadili nae huyu,....
 
Adui wa viongozi wako ni Chadema tu. The rest ni marafiki. Kwa hiyo usitegemee chochote maana hao manabii feki wanapendwa sana na ccm! Kisa tu wanawasaidia kuwafanya wananchi kuwa misukule.
 
Huyo alitakiwa kuwa mpole ila kwakuwa anataka sifa anachokifanya kwasasa ndo ile inaitwa KUNYEA KAMBI, nawatu roho inawauma kweli kwajinsi anavyotuona wabongo wote hatuna akili, mpunga ukikata ndo atajua, labda nahuko awaokote
Huyo kasha yakoroga atakipata anacho kitafuta nchi hii sio kama anavyo dhani yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…