Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

Kama nakumbuka kuna mjinga anaitwa entomology daah kuna mineno ya kijinga sana ambayo sikujua kama ntakutana na maneno kama hayo.

Mara coccidioidomycota tehehehhe
Order mantodea wee sijui manini nii acha kabisa
 
Wee ya chuo ilinitoa jasho organic1 mwaka wa kwanza na organic 2 yaani pamoja na ubabe wangu wa organic advance ila hapa nilikaaa, wengi walidisco sababu ya organic chem aseee baada ya kumaliza chuo nilikuwa nikiona majengo nasisimka
🤣🤣🤣 Pole Sana mkuu ......kikubwa uli survive tu shukuru Maulana .....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole Sana mkuu ......kikubwa uli survive tu shukuru Maulana .....
Acha tu fadha alikuwa mkaksi anafundisha hivi anaenda kugoogle paper huko harvard na wapi wapi sijui
 
C1 aisee... Pepa ina 18 printed pages ni balaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna ndugu yangu naishi naye home alirudi analia juzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Comments za wakuu zinafurahisha sanaa
 
Advanced Physics ilikuwa balaa. Ilinitesa kinoma.
Sijui nimsingizie teacher
 
Advanced Physics ilikuwa balaa. Ilinitesa kinoma.
Sijui nimsingizie teacher

Hahaha dah, Mm ilikuwa ile Organic Chemistry kila nkikaza naona mapicha picha kwangu ilikuwa bora hata nikapambane na physics kuliko yule mdudu aisee
 
Hahaha dah, Mm ilikuwa ile Organic Chemistry kila nkikaza naona mapicha picha kwangu ilikuwa bora hata nikapambane na physics kuliko yule mdudu aisee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huh haya bhana Mimi sikusoma Chemistry
 
Reaction mechanism it's all about electophile, nucleophile, polarity & electronegativity principles, ukizijua hizo ni very easy.
kweli kbs lakin kuna kisub topic nadhani aromatic hydrocarbon aisee ilikuwa balaa tupu mambo ya ketones,aldehydes na amines.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…