Je, kuna tatizo gani katika jamii yetu ya leo?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
PIC 1.jpg
Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi kwasababu kwake ku-kiss ni kitu kikubwa sana na anasubiri hadi aingie kwenye mahusiano ya kueleweka.

Benjamin ana rafiki wa kike, lakini hahisi kuwa bado ni uhusiano wa kutosha, na amechagua kungoja!

PIC 2.jpg

Hiyo ilipaswa kuwa mwisho wake, lakini Katy Perry anamuita ili ambusu. Benjamin anasita ila anakubali kumbusu Katy Perry shavuni. Mara paaap! Katy Perry anageuka na kumbusu Benjamin mdomoni bila kujali msimamo wa Benjamin kuwa hataki ku-kiss nje ya mahusiano! Majaji wengine wanafurahia kitendo hiko ila Benjamin anaonekana kutopendezwa na tukio hilo.

Kutokuelewa au kuheshimu mipaka ya watu ni jambo lisilofaa kwa jamii ya leo. Kucheka juu yake, haswa ikiwa ni kitu kinachotokea kwa mwanaume, hufanya iwe mbaya zaidi. Unyanyasaji wa kijinsia sio tatizo linapotokea kwa wanawake tu, ni tatizo linapotokea kwa wanaume pia!
 
Kate Perry ni jirani yako?
 
Najaribu kuimagine angekuwa ni binti wa miaka 19 halafu judge ni mwanaume ndio afanye hivyo.

Angefanyiwa backlashing ya hatari na wangemfanyia media mob lynching yenye canceling ndani yake.

Double standards zina apply sana kwa wanawake huko majuu.
 
Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi kwasababu kwake ku-kiss ni kitu kikubwa sana na anasubiri hadi aingie kwenye mahusiano ya kueleweka.

Benjamin ana rafiki wa kike, lakini hahisi kuwa bado ni uhusiano wa kutosha, na amechagua kungoja!

Hiyo ilipaswa kuwa mwisho wake, lakini Katy Perry anamuita ili ambusu. Benjamin anasita ila anakubali kumbusu Katy Perry shavuni. Mara paaap! Katy Perry anageuka na kumbusu Benjamin mdomoni bila kujali msimamo wa Benjamin kuwa hataki ku-kiss nje ya mahusiano! Majaji wengine wanafurahia kitendo hiko ila Benjamin anaonekana kutopendezwa na tukio hilo.

Kutokuelewa au kuheshimu mipaka ya watu ni jambo lisilofaa kwa jamii ya leo. Kucheka juu yake, haswa ikiwa ni kitu kinachotokea kwa mwanaume, hufanya iwe mbaya zaidi. Unyanyasaji wa kijinsia sio tatizo linapotokea kwa wanawake tu, ni tatizo linapotokea kwa wanaume pia!
Huyo nyaj peri nae ni pepo tu
 
Wazungu wanaheshimu balaa mipaka ya watu,watu walishangaa walipokutana Dj khaleed na tem's na dj khaleed kumuomba ruhusa tem's can hug you,tem's akamkubalia ndo jamaa likamkumbatia ila bongo sasa unakuta jitu linamkumbatia tu mtu ivyo😀😀
 
Kipindi hiyo Katty Perry anatoa ngoma ya 'last friday night', i had a mad crush on her.
Her voice ilikua fiti kinyama.
Sema nini, as time.went by nkazeeka, sasa hivi nmetulia na SEEDCO wangu, akijitahidi saana ameimba Yesu ni zaidi ya kikombe cha babu.
N aibu if a man would give up a chance to kiss her.
 
Back
Top Bottom