Je, kuna tatizo gani katika jamii yetu ya leo?

Je, kuna tatizo gani katika jamii yetu ya leo?

Sexual harassment ni kwa ajili ya wanawake tu.

Even if it was me I can't reject to have that golden chance of kissing such a beautiful lady.
 
Najaribu kuimagine angekuwa ni binti wa miaka 19 halafu judge ni mwanaume ndio afanye hivyo.

Angefanyiwa backlashing ya hatari na wangemfanyia media mob lynching yenye canceling ndani yake.

Double standards zina apply sana kwa wanawake huko majuu.
Tena judge angekua black man ndo kabisaaaaaaaaa
 
Ingekuwa mwanamke kafanyiwa hivyo basi kesho kesi ingeanza kulindimba mahakamani
Umeona wao wanatubusu busu tu bila mpangilio sisi tukifanya hivyo kesi ningekuwa dogo mkono mmoja ungekuwa kwenye kalio 😃
 
Najaribu kuimagine angekuwa ni binti wa miaka 19 halafu judge ni mwanaume ndio afanye hivyo.

Angefanyiwa backlashing ya hatari na wangemfanyia media mob lynching yenye canceling ndani yake.

Double standards zina apply sana kwa wanawake huko majuu.
Yap katy anakaribia 40 kamparamia dogo nusu ya umri wake mnyamwezi rkelly wamempa makesi huko
 
Back
Top Bottom