Je, kuna tatizo la ‘Inbreeding depression’ nchini Rwanda?

mtu chake wa kupuliza kayaman zitto junior GENTAMYCINE Count Capone hili la uwepo wa jamii ambayo ni inbreeding depression huko Rwanda mnalifahamu ?

Suala la inbreeding depression miongoni mwa waHutu, waTutsi na waTwa sijawahi kutana na ushahidi wa kuthibitisha kuwa hilo linafanyika ktk kiwango cha kuathiri jamii nzima.

Sidhani kama madai ya kusema 90% ya Warwanda wanafanana na PK ni sahihi.

Na ni kwa sababu ni kuwa Watutsi wana sifa ya Urefu, pua nyembamba mchongoko, vichwa vidogo na rangi ya ngozi kuwa nyeupe kama ya WaEthiopia au WaEritrea huku waHutu wakiwa ni wengi wao wafupi, Pua za kibantu (nimeshindwa kueleza vizuri ila tazama pua za waLuba wa Kongo), na wana rangi nyeusi kabisa.

Japokuwa kutokana na muingiliano wa muda mrefu baina ya watu hawa sifa hizo kwa kiasi fulani huenda zikaonekana kwa watu wa makabila yote ya Rwanda, ila zinabaki kuwa miongoni mwa sifa pambanuzi.

Kitakwimu inakadiriwa kuwa 85% ya watu huko Rwanda ni Wahutu, 14% ni Watutsi na Twa ni 1%. PK mwenyewe akiwa Mtutsi na sifa zake kama nilivyoonesha hapo juu hafanani na mHutu aliyekuwa Rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana.
 
Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe?

Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi karibu wote?

View attachment 2280530View attachment 2280531View attachment 2280610
Watutsi Wana vinasaba vikali sana, hata akiolewa na Mhutu watoto wanatoka na uTutsi zaidi!! Na hao Cha mtoto ukiwaangalia waHima wa Uganda au banyankole na Bakiga Hawa ni familia ya Watutsi yaani ni mule mule kama Kagame.

Then kingine 90% Rwanda ni Wahutu ambao hawafanani kabisa na Kagame coz Wana sura za kibantu tofauti na watutsi wenye sura za Kicuishites kama Somalia au Eritrea.

Burundi Ili kuua tofauti zao waliwahi Anza mpango wa Mtutsi kuoa Mhutu and vice versa Ili izaliwe kabila moja tu..... aliyeasisi huu mpango (Prince Rwagasore) alikua ni Mtutsi na alikua ndio Rais wao, ila aliuawa kinyama na Watutsi wenzake kisa tu alitaka "kuchafua" damu ya Watutsi kwa kuruhusu ndoa na Wahutu.
 
Rwanda "Wahutu" ni 85%, "watutsi" ni 15% ya Population accordingly to statistics za miaka hio.
Sasa sielewi Ni vipi 90% ya population wafanane na Kagame(Mtutsi) wkt 85% Ni wahutu.

Labda angesema % kubwa ya watu maarufu anao waona mitandaoni Labda ndio wanafanana na Kagame.
Muulize FRANCIS DA DON ameishi Rwanda muda gani halafu kwa nini aseme wanyarwanda wanafanana na Kagame mtoto wa juzi tu
 
Hizo Picha mbili za juu hao wanahusiana Kagame ana Damu ya Kifalme kama sikosei upande wa Mama.
 
Africa ni Bara lenye race tafauti,, unovyosema African race kwa muktadha wa wanyarwanda unamaana Gani??
Ndio , Africa kuna race tofauti, hasa South na North Africa, ila ‘African race’ ni race ya watu weusi generally. Hicho ndicho namaanisha. Ni kama Asia kuna watu weusi wanaishi India, ila Asian race haihusishi watu weusi.
 
Watutsi Wana vinasaba vikali sana, hata akiolewa na Mhutu watoto wanatoka na uTutsi zaidi!! Na hao Cha mtoto ukiwaangalia waHima wa Uganda au banyankole na Bakiga Hawa ni familia ya Watutsi yaani ni mule mule kama Kagame.

Then kingine 90% Rwanda ni Wahutu ambao hawafanani kabisa na Kagame coz Wana sura za kibantu tofauti na watutsi wenye sura za Kicuishites kama Somalia au Eritrea.

Burundi Ili kuua tofauti zao waliwahi Anza mpango wa Mtutsi kuoa Mhutu and vice versa Ili izaliwe kabila moja tu..... aliyeasisi huu mpango (Prince Rwagasore) alikua ni Mtutsi na alikua ndio Rais wao, ila aliuawa kinyama na Watutsi wenzake kisa tu alitaka "kuchafua" damu ya Watutsi kwa kuruhusu ndoa na Wahutu.
Jana au juzi niliona uzi wa Rwegasore kuuwawa kwa kutaka kuunganisha Burundi na Tanganyika, kumbe pia alikuwa anataka ‘kuchafua Damu’ ya akina Kagame?, duuh, hii si hatari?!
 
Yeah mkuu alioa Mhutu kama mfano.... Kila kiliwachukiza sana Watutsi chini ya Mfalme "Mwami" Mwambutsa III, wakamtungua maana waliona kizazi Chao kitafutika.

Nimeishi nao sana yaani wanaona damu Yao ni precious kuliko kitu chochote. Hata waliopo Dar hapa akitaka kuoa tu anasaka Mtutsi mwenzie popote alipo.

Ni ajabu sana
 
Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe?

Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi karibu wote?

View attachment 2280530View attachment 2280531View attachment 2280610
Wachina nao wanafnana,wakorea wanfananaa huku bongo wairaq/wambulu nao wanafanana nao wnazaliana ndugu kwa ndugu??????
 
Na wapemba hawana chogo ukitaka kuoa binti yao wanakuangalia chogo kama ipo.
 
Suala la inbreeding depression miongoni mwa waHutu, waTutsi na waTwa sijawahi kutana na ushahidi wa kuthibitisha kuwa hilo linafanyika ktk kiwango cha kuathiri jamii nzima.

Sidhani kama madai ya kusema 90% ya Warwanda wanafanana na PK ni sahihi.

Na ni kwa sababu ni kuwa Watutsi wana sifa ya Urefu, pua nyembamba mchongoko, vichwa vidogo na rangi ya ngozi kuwa nyeupe kama ya WaEthiopia au WaEritrea huku waHutu wakiwa ni wengi wao wafupi, Pua za kibantu (nimeshindwa kueleza vizuri ila tazama pua za waLuba wa Kongo), na wana rangi nyeusi kabisa.

Japokuwa kutokana na muingiliano wa muda mrefu baina ya watu hawa sifa hizo kwa kiasi fulani huenda zikaonekana kwa watu wa makabila yote ya Rwanda, ila zinabaki kuwa miongoni mwa sifa pambanuzi.

Kitakwimu inakadiriwa kuwa 85% ya watu huko Rwanda ni Wahutu, 14% ni Watutsi na Twa ni 1%. PK mwenyewe akiwa Mtutsi na sifa zake kama nilivyoonesha hapo juu hafanani na mTutsi aliyekuwa Rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana.

Juvenal alikuwa mtutsi kweli?
 
Back
Top Bottom