Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Mkuu hii chuki uliyonayo ni kama cancer, itakumaliza mwenyewe. Hebu jikite kwenye mada. Ufisadi ndani ya serikali ya CCM unafanywa na watu wote pamoja na wasio na dini. Mama angekuwa anafuata dini ange sign mkataba wa kijambazi wa bandari na kuupitisha kibabe bungeni? Angebariki wanayofanyiwa wamasai? Jikite kwenye mada. Ufisadi umefanyika na unaendelea kwenye awamu zote. usitake kusingizia kikundi cha watu fulani wakati mpaka mashehe wanasema muichague hii hii CCM.
 
Kuna mjinga anasema eti IQ ni reasoning tu😅😅huyu dogo kamaliza form six juzi kisa kasoma philosophy...Wakati hata vipaji wanapima kwa IQ ...IQ ni kipimo tu kwa umahiri na uwezo wa mtu katika jambo fulani anaweza kuwa vizuri darasani ila hajui hata kucheza basi ana IQ kubwa darasani ila kweny Mpira wakina Messi na Ronaldo.
 

Usinitoe kwenye mstari ww kafiri...

Nijikite kwenye mada,kwani mada huoni MANTIKI yake ni nini?huoni kama imegeuka uwanja wa kashfa Kwa hawa jamaa zako kukashifu uislam na waislam??

Unataka tuwaambie Nini Sasa,kwani CCM ikishika Dola watumishi waliojazana huko serikalini wanaoshiriki wizi Kwa kias kikubwa SI ni nyinyi makafiri ambao mnajiita WASOMI??

Sasa Kuna kosa Gani tukiwaambia kuwa taifa hili linakuwa maskini shauri ya wizi wenu?
 
Wagalatia wengi ni washamba ,washaanza kushtuka ...Unakuta professor anakanyaga mafuta😅😅

Teh teh teh...

Au Profesa Zima linaweweseka Kwa mwamposa linatolewa mashetani,na kupewa mchanga wa upako akamwagie sebuleni kwake,teh teh.

Hovyo kabisa waimba kwaya
 
Western christian economic system 🤡

Taifa gani linajiendesha kiuchumi kama China katika ulimwengu wa kimagharibi ?
Deng xioping alimuiga ndugu yake wa singapore aliyeenda kumtembele aliyesomea chuo uingereza

Akachukua mfumo wa hong kong ambayo ilikua chini ya uingereza akachanganya na ule wa singapore yote ni mifumo ya magharibi
 
Kafiri baba Yako na mama Yako waliokacha imani za baba zao na kufuata za muarabu.
Unakasirika Nini kafiri wakati nakuambia ukweli??

Kafiri ni neno limetokana na lugha ya kiarabu ambayo maana yake ni MTU aliekufuru...

Ni MTU ambae ameacha kusadiki uwepo wa Mungu mmoja Muumba wa mbingu na ardhi,na vyote vilivyomo...matokeo yake amekimbilia kuchukua na kuweka Imani ya kiumbe Cha Mungu na kukiita Mungu,hapo umekufuru na that's why ukaitwa kafiri..usichukie ni Haki yako hiyo,unless otherwise fuata Haki unayopaswa kuifuata.

Umeelewa kafiri?
 
Nchi hii kuna mwizi kuliko Mzee wa msoga? Ufisadi upo Tu nchini na unafanywa na watu wa dini zote.
 
Kwanza binadamu mwenye akili timamu unaweza vipi ambiwa kuwa Mungu ni yule mzungu alietundikwa msalabani na wewe ukasadiki??

How comes MTU eti ni professor anaenda kupiga magoti anaomba lile lisesere la kizungu limsadiie??

Stupid kbs
Una hasira sana kuonesha jinsi Gani dini inakuendesha mpaka unakuwa mpumbavu. Mtu akiamini ng'ombe anakuwa anakuzuia wewe kuamini unachoamini!?
 
Nchi hii kuna mwizi kuliko Mzee wa msoga? Ufisadi upo Tu nchini na unafanywa na watu wa dini zote.

Ushahidi uko wapi??

Na wale makafiri wenzako màaskofu ambao walifikia hadi hatua ya kupokea pesa za wizi wa escrow unaweza kuwaitaje??

Shenzy kabisa,hadi fedha za wizi makafiri mnakimbizia makanisani kutoa fungu la Kumi??

Afanaaaleki....
 
Ni swala la kifalsafa mkuu upande wa pili wanaambiwa kwenye kitabu chao Kuna sayansi na mavitu yote mixa mazaga zaga yote mtume alishayagundua kitambo,Kwa hiyo watu wao hawawezi kuaminishwa au kuona umuhimu wowote kuhusu elimu Dunia,na wakati wagalatia wanahubiriwa usimwache elimu asepenge Kwa hyo kimtindo wanazingatia mahubiri ya padri/pastor.pia mikoa mingi ya pwani Kuna malezi ya hovyo kuliko bara,watoto wengi wa pwani ni wahuni wanaanza kula ndumu mapema kuliko huko bara inakolimwa
 

I couldn't agree more.
 
Una hasira sana kuonesha jinsi Gani dini inakuendesha mpaka unakuwa mpumbavu. Mtu akiamini ng'ombe anakuwa anakuzuia wewe kuamini unachoamini!?
Kwa kweli unanipa hasira SANA,binadamu mwenye utashi unaambiwa vipi huyu ng'ombe ni Mungu wako na wewe ukakubali??

Au unaambiwa vipi huyu sanamu la kizungu limeveshwa kichupi na kutundikwa kwenye mlingoti kuwa ni Mungu Mkuu na wewe ukakubali??

Mnanipa hasira SANA makafiri
 
Ushahidi uko wapi??

Na wale makafiri wenzako màaskofu ambao walifikia hadi hatua ya kupokea pesa za wizi wa escrow unaweza kuwaitaje??

Shenzy kabisa,hadi fedha za wizi makafiri mnakimbizia makanisani kutoa fungu la Kumi??

Afanaaaleki....
Hivi huwa kwanini watu wa aina yako kukubali muislam mwenzako amefanya kosa ni ngumu sana. Tangu enzi za Nyerere ufisadi upo ....na unafanywa na watu wote...usitake kutuambia hapa eti waislam ndiyo watu wasafi pekee. Hata vibaka, changudoa ,mashoga wa kiislam wapo tele kama vile mafisadi serikalini....jikite kwenye mada
 
Deng xioping alimuiga ndugu yake wa singapore aliyeenda kumtembele aliyesomea chuo uingereza

Akachukua mfumo wa hong kong ambayo ilikua chini ya uingereza akachanganya na ule wa singapore yote ni mifumo ya magharibi
China inatumia economic model ya magharibi🤡. Hebu nitajie nchi moja tu ya magharibi inayotumia economic model ya China ?

Achana na habari za Singapore, Hongkong maana hiyo ni different story inayo husisha sio hizo nchi mbili pekee humo utakuta mpaka Japan, Taiwan, Russia
 
Economic system ya china ni socialism ambayo ni karl marx myahudi aliyezaliwa ujerumani alianzisha kupitia kijarida chake kinachoitwa das capitalism

Kuna mambo mengi sana hujui
 
Wakrsito hiyo asilimia 63 muitoe wapi wewe muimba kwaya??

Muislam mmoja anaruhisiwa kuoa hadi wake wanne, mgalatia mke mmoja tuh mtihan,logic ya kawaida tuh uwezo wa kuzaliana hivyo muutoe wapi?
Religion in Tanzania

Article



Talk

Language

Download PDF

Watch

Edit

Christianity is the largest religion in Tanzania, with a substantial Muslim minority. Smaller populations of Animists, practitioners of other faiths, and religiously unaffiliated people are also present.[2][1]


Christianity (61.4%)

Islam (35.2%)

No religion (1.8%)

Traditional faiths (1.4%)

Others (0.2%)

Kwa fikra zako, mwanaume mmoja akiwa na wake 4, kutakuwa na watoto wengi kuliko wanaume 4 ambao kila mmoja ana mke mmoja? Usilam zaidi upo maeneo ya pwani. Mtu mmoja anaoa wake 4, vijana wanakosa wasichama wa kuoa, wanaishia kwenye ufirauni. Na mafirauni hawazai.

Kwa ujumla upeo wako ni mdogo. Fikiria nchi kama Ethiopia, wakristo ndiyo majority, na nchi hiyo miaka yote imebakia kuwa ya pili kwa population kibwa katika Afrika baada ya Nigeria ambayo waislam wanawazidi wakristo kwa 5%. Kama hoja ya wake wengi ingekuwa inahold, basi sahizi population distribution kwa msingi wa utofauti wa dini, waislam wangekuwa tayari wanawazidi wakristo, au taratibu asilimia ya waislam ingekuwa inaongezeka zaidi kuliko ya wakristo. Na hii ni nchi ambayo wakati wa sensa unataja na dini yako.

Religion in Ethiopia consists of a number of faiths. Among these mainly Abrahamic religions, the most numerous is Christianity (Ethiopian Orthodoxy, P'ent'ay, Roman Catholic) totaling at 67.3%, followed by Islam at 31.3%. There is also a longstanding but small Ethiopian Jewish community.

Halafu nchi ikiwa na majority muslims huwa ni tatizo kubwa. Lazima ugaidi utajitokeza, maana hawakawii kutaka nchi iongozwe kwa sharia law, wakikataliwa, wanageuka kuwa magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…