Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Uslamu hauna Uhusiano na Uganga..
 
Acha kubalansi story kwa kuhusisha hija na Ukristo. Kwenye ukristo hakuna kitu kinachoitwa Hijja,wala haina nguvu yeyote! Biblia inasema;

"Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia.

Yeye aiumbaye mioyo yao wote Na kuziona kazi zao zote". Zaburi 33:14-15.

Kwenda Israel mtu anaweza kwenda km mtalilii na sio kuhiji. Mungu wetu anasikia maombi yetu popote mtu alipo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
thank u
 
,,,,,Duh, watu mnafukua mpaka inaleta hasira🤪🤪🤪
 
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu

Ni amri ya Allah
Hujajibu swali.Shule ulikuwa na hali gani?Soma swali ujibu sio unaulizwa mahindi unajibu mananasi.
 
Sasa ni yeye amedanganya au ni waislamu wenzanko ndio wamedanganya?
Maandiko waandike waislamu alafu umwambie yeye ndio kadangamya!
MH. FaizaFox, AMEKATAA HUO USHAHIDI WAKO.
sasa MOKITI,,,,, unauthibitisho mwingine?
 
Wote wezi tu

Mengine yoote uliyoongea ni mbwembwe tu
 
Sasa wale waganga waliojipanga nje ya misikiti wanauza mitishamba iitwayo suna mbona hawapo milangoni mwa makanisa hama ham entertain hayo madude?
ila kweli eeeh!!!!!
hivi ule si ndio uganga wenyewe tunaouzungumzia hapa?
eti, ni kwanini wale wauza madawa ya miti shamba wamepangana pale nje ya misikiti mikubwa hasa ya mijini?

utasikia " dawa kutoka MAKKA/ SAUDIA/ MADINA,,,,,,,,,tayari zimewasili"
NA PETE ZA MVUTO,,,,,,, UBANI MAKKA,,,,,,,,Na vitu vingi vihusuvyo MAJINI....... KWANINI VIUZWA NJE YA MISIKITI?
,,,,,,,,,,KUNA USHIRIKA GANI KATI YA HIJJA NA UGANGA NA DAWA ZA KIENYEJI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…