Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
naona umeyaita majini makata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona umeyaita majini makata
Uslamu hauna Uhusiano na Uganga..Habari Waheshimiwa wa JF.
Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.
Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.
Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.
Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.
Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?
Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
Waliokuwa wakitahadharishwa kuhusu hao majini na demons ni akina nani?Majini au demons
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamuWaliokuwa wakitahadharishwa kuhusu hao majini na demons ni akina nani?
Acha kubalansi story kwa kuhusisha hija na Ukristo. Kwenye ukristo hakuna kitu kinachoitwa Hijja,wala haina nguvu yeyote! Biblia inasema;Hulka za Binadamu waliovamiwa na Viumbe hao kutoka Katika Dini hizo ni kwamba Akienda Huko atarudi na Maajabu.
Siyo hao tu hata Wakristo wakienda Kuhiji huko Yerusalemu wanatamani Kujenga kanisa na Kuhubiri kutoa Mapepo
Dini hizi hazina msaada ki utu na Wala Kumtoa Mtu kwenye matatizo bali ni Upigaji wa Kikoloni Uliokuja. Kumbuka Bila Wakoloni usingekuwa unajua Leo Kuna Ukristo wala Uislamu.
Ni Vigumu kuwa Buddha maana Hawakukutawala wenye imani za Kibudha
Mtekwaji Ataongea ya Aliyemteka.
mmmmh,,,,,,,, imeandikwa wapi hiyo mkuu?Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu
Ni amri ya Allah
thank uAcha kubalansi story kwa kuhusisha hija na Ukristo. Kwenye ukristo hakuna kitu kinachoitwa Hijja,wala haina nguvu yeyote! Biblia inasema;
"Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia.
Yeye aiumbaye mioyo yao wote Na kuziona kazi zao zote". Zaburi 33:14-15.
Kwenda Israel mtu anaweza kwenda km mtalilii na sio kuhiji. Mungu wetu anasikia maombi yetu popote mtu alipo.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
,,,,,Duh, watu mnafukua mpaka inaleta hasira🤪🤪🤪Kwenye usomaji wa Koran Kuna kitu kinaitwa tafsir, bila tafsir au Hadith Koran ni kitabu kisichoeleweka kabisa
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Ibn Abbas ni tafsir imeelezea hiyo Aya kwamba walimjengea Suleiman synagogue (msikiti) na Kuweka masanamu ya Malaika mitume na watumishi wa Allah
Hujajibu swali.Shule ulikuwa na hali gani?Soma swali ujibu sio unaulizwa mahindi unajibu mananasi.Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu
Ni amri ya Allah
MH. FaizaFox, AMEKATAA HUO USHAHIDI WAKO.Sasa ni yeye amedanganya au ni waislamu wenzanko ndio wamedanganya?
Maandiko waandike waislamu alafu umwambie yeye ndio kadangamya!
SAWA MKUU.Hakuna uhusiano wa hija na uganga, huo uganga wao ni harakati za kusaka tonge tu ndio maana kulivyobuma wamerudia asili zao
Sasa wale waganga waliojipanga nje ya misikiti wanauza mitishamba iitwayo suna mbona hawapo milangoni mwa makanisa hama ham entertain hayo madude?Uslamu hauna Uhusiano na Uganga..
ALIKUWA BIKIRA,Wewe wa kanisa lipi?
Hivi Maryam mama'ke Yesu aliolewa ana miaka mingapi vile?
Wote wezi tuWote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?
Wajinga ndio waliwao.
Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.
Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).
Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
ila kweli eeeh!!!!!Sasa wale waganga waliojipanga nje ya misikiti wanauza mitishamba iitwayo suna mbona hawapo milangoni mwa makanisa hama ham entertain hayo madude?
Sasa amri ya Allah kayaagiza mapepo yajenge msikitini na Kuweka masanamu , Mimi najibu nini tena?Hujajibu swali.Shule ulikuwa na hali gani?Soma swali ujibu sio unaulizwa mahindi unajibu mananasi.
,,,,MAJIBU MENGINE N HATARI KWAKWELI.Wewe akili na uwezo wako umebaki wa kusukuma mavi hapo Bondeni.
Who cares.Wote wezi tu
Mengine yoote uliyoongea ni mbwembwe tu
Ni kina nani walitunga uongo na huo uongo ulikaa mda Gani mpaka Allah akaja kusema ukweli?Si kweli, Qur'an imekuja kuyakinisha na kuelezea ukweli kwa uongo uliotungwa na watu.
Mutah,,,,,,, ni jina la Mtu,,,,, nimewahi kulisikia BUKOBA.Wewe ni wa kanisa lipi?
Kitabu cha Allah ni Qur'an pekee, weka ushahidi wa hayo mnayojifundisha kanisani, unayoyaita "mutah".