Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Habari Waheshimiwa wa JF.

Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.

Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.

Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.

Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.

Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?

Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
Uslamu hauna Uhusiano na Uganga..
 
Hulka za Binadamu waliovamiwa na Viumbe hao kutoka Katika Dini hizo ni kwamba Akienda Huko atarudi na Maajabu.

Siyo hao tu hata Wakristo wakienda Kuhiji huko Yerusalemu wanatamani Kujenga kanisa na Kuhubiri kutoa Mapepo

Dini hizi hazina msaada ki utu na Wala Kumtoa Mtu kwenye matatizo bali ni Upigaji wa Kikoloni Uliokuja. Kumbuka Bila Wakoloni usingekuwa unajua Leo Kuna Ukristo wala Uislamu.

Ni Vigumu kuwa Buddha maana Hawakukutawala wenye imani za Kibudha

Mtekwaji Ataongea ya Aliyemteka.
Acha kubalansi story kwa kuhusisha hija na Ukristo. Kwenye ukristo hakuna kitu kinachoitwa Hijja,wala haina nguvu yeyote! Biblia inasema;

"Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia.

Yeye aiumbaye mioyo yao wote Na kuziona kazi zao zote". Zaburi 33:14-15.

Kwenda Israel mtu anaweza kwenda km mtalilii na sio kuhiji. Mungu wetu anasikia maombi yetu popote mtu alipo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Acha kubalansi story kwa kuhusisha hija na Ukristo. Kwenye ukristo hakuna kitu kinachoitwa Hijja,wala haina nguvu yeyote! Biblia inasema;

"Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia.

Yeye aiumbaye mioyo yao wote Na kuziona kazi zao zote". Zaburi 33:14-15.

Kwenda Israel mtu anaweza kwenda km mtalilii na sio kuhiji. Mungu wetu anasikia maombi yetu popote mtu alipo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
thank u
 
Kwenye usomaji wa Koran Kuna kitu kinaitwa tafsir, bila tafsir au Hadith Koran ni kitabu kisichoeleweka kabisa

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Ibn Abbas ni tafsir imeelezea hiyo Aya kwamba walimjengea Suleiman synagogue (msikiti) na Kuweka masanamu ya Malaika mitume na watumishi wa Allah
,,,,,Duh, watu mnafukua mpaka inaleta hasira🤪🤪🤪
 
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu

Ni amri ya Allah
Hujajibu swali.Shule ulikuwa na hali gani?Soma swali ujibu sio unaulizwa mahindi unajibu mananasi.
 
Sasa ni yeye amedanganya au ni waislamu wenzanko ndio wamedanganya?
Maandiko waandike waislamu alafu umwambie yeye ndio kadangamya!
MH. FaizaFox, AMEKATAA HUO USHAHIDI WAKO.
sasa MOKITI,,,,, unauthibitisho mwingine?
 
Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?

Wajinga ndio waliwao.

Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.


Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).

Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
Wote wezi tu

Mengine yoote uliyoongea ni mbwembwe tu
 
Sasa wale waganga waliojipanga nje ya misikiti wanauza mitishamba iitwayo suna mbona hawapo milangoni mwa makanisa hama ham entertain hayo madude?
ila kweli eeeh!!!!!
hivi ule si ndio uganga wenyewe tunaouzungumzia hapa?
eti, ni kwanini wale wauza madawa ya miti shamba wamepangana pale nje ya misikiti mikubwa hasa ya mijini?

utasikia " dawa kutoka MAKKA/ SAUDIA/ MADINA,,,,,,,,,tayari zimewasili"
NA PETE ZA MVUTO,,,,,,, UBANI MAKKA,,,,,,,,Na vitu vingi vihusuvyo MAJINI....... KWANINI VIUZWA NJE YA MISIKITI?
,,,,,,,,,,KUNA USHIRIKA GANI KATI YA HIJJA NA UGANGA NA DAWA ZA KIENYEJI?
 
Back
Top Bottom