Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Mie mwenyewe, nilidhani HIJJA ilianzishwa na Isack
uislamu umeanzishwa na muhammad 600AD,kabla hakukuwahi kuwepo din ya uislamu,wala hakuna hata kitabu au historia kuliwahi kuwepo din ya islam ,

hakuna muislamu mwenye hata kipande cha karatas kuwa kabla ya muhammad paliwahi kuwa na din ya uisamu,

historia za din kama ubudha zilizokuwepo kabla hata ya ukristo zipo, ila uislamu hakuna na hutapata

Buddhism is one of the world's largest religions and originated 2,500 years ago in India

huyo isaka,ibrahimu,yakobo wanasingiziwa hao ni wayahud kama yakobo had kuwa taifa la israel
 
mwandishi wa quran hakuwa na ufahamu

why quran iwe kwa watu wote,ili hali ni kitabu kinachodanganya,

mna kazi mnaokiamini hiki kitabu

QURAN VS BIBLE

Hivi nani aliambiwa na waisraeli awatengenezee sanamu waliabudu kuwa ni mungu wao?
BIBLIA (HARUNI)
⬇

1 Hata watu walipoona ya kuwa Musa amekawia kushuka katika mlima, wakakusanyana wakamwendea Haruni, wakamwambia, Haya! Katufanyizie miungu itakayokwenda mbele yetu, kwa maana Musa huyo aliyetutoa katika nchi ya Misri hatujui yaliyompata.
Kutoka 32:1
2 Haruni akawaambia, Zivunjeni pete za dhahabu zilizo katika masikio ya wake zenu, na wana wenu, na binti zenu, mkaniletee.
Kutoka 32:2
3 Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.
Kutoka 32:3
QURAN (NABII MUSA)
⬇

Quran 7:138.
Na tukawavusha bahari Wana wa Israili, wakafika kwa watu wanao abudu masanamu yao. Wakasema: Ewe Musa! Hebu tufanyie na sisi miungu kama hawa walivyo kuwa na miungu. Musa akasema: Hakika nyinyi ni watu msio jua kitu.

Bado napitia Quran kujikumbusha vitu vingi ,waislamu kikubwa tusitupiane mawe tutupiane hoja tu.
We poyoyo kweli kweli unailinganisha Qur'an na mkusanyiko wa vitabu (Biblia) vilivyotungwa na watu? Huwezi kuilinganisha Qur'an na Biblia hata kidogo, huwezi linganisha maneno ya Mwenyezi Mungu na manaeno ya binadam wenzio.

Ni ujuha huo.
 
quran haina msaada kwa maisha ya mwanadama,

soma biblia inakupa historia yote ya ulimwengu,qur waachie waganga wa kienyeji

Utabiri wa Biblia juu ya mambo ambayo yangetokea baadaye, unathibitisha uvuvio wa Biblia, mambo hayo yanapotokea.

Angalia mifano ifuatayo:​

A. Kuinuka na kuanguka kwa falme nne zilizotawala dunia:
Babeli, Umedi na Uajemi, Uyunani na Rumi. (Danieli 2,7,8.)
View attachment 2166431

B. Koreshi kuwa Mpiganaji ambaye angeiteka Babeli. “Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi (mtiwa mafuta) wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa. Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata kata mapingo ya chuma; nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofchwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.” Isa. 45:1-3.

C. Baada ya kuangamizwa, Babeli isingekaliwa tena. “Na Babeli, huo utukufu wa falme, uzuri wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora hapo Mungu alipoiangamiza.” “Haya! juu ya mlima usio na miti inueni bendera, wapazieni sauti zenu, wapungieni mkono, kwamba waingie katika malango ya wakuu.” (Isa. 13:19,2). “Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.” Yer. 51:37.

D. Misri kutokuwa na amri tena kati ya Mataifa. “Nami nitawarejeza Wamisri walio katika hali ya kufungwa, nami nitawarudisha hata nchi ya Pathrosi, hata nchi ya kuzaliwa kwao; na huko watakuwa ufalme duni. Utakuwa duni kuliko falme zote, wala hautajifunua tena juu ya Mataifa; nami nitawapunguza, ili wasitawale tena juu ya Mataifa.” Eze. 29:14,15. “Nami nitaikausha mito, na kuiuza nchi, na kuitia katika mikono ya watu wabaya; nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa, na watu wote walio ndani yake, kwa mkono wa wageni; mimi, BWANA, nimenena neno hili.” Eze. 30:12,13.

E. Majanga ya kushtua dunia na hofu kadiri tunavyoelekea siku za mwisho. “Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya Mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.” Lk. 21:25,26.

F. Kuporomoka kwa maadili katika siku za mwisho. “Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako na nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio saf, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.” 2 Tim. 3:1-5.

G. Unabii juu ya matukio katika maisha ya Yesu. “Akaanza kutoka Musa na manabii wote, akawaeleza katika Maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye mwenyewe.” Lk. 24:27. “Kwa maana aliwashinda Wayahudi kabisa kabisa mbele ya watu wote, akionyesha kwa maneno ya Maandiko ya kuwa Yesu ni Kristo.” Mdo. 18:28. Kwa kuwa wakati huo Agano Jipya lilikuwa halijaandikwa, ni wazi kuwa Maandiko yanayozungumziwa hapa ni Agano la Kale. Utabiri wa Agano la Kale juu ya Masihi ulikuwa dhahiri na ulitimizwa na Yesu wa Nazareti kiasi cha kumfanya Yesu mwenyewe na Apolo kuutumia kuwathibitishia Wayahudi kuwa Yesu alikuwa ndiye Masihi.

1642851703389.png

1642851745110.png

Moja kati ya uthibitisho mkuu kwamba Biblia si kitabu cha kawaida tu kilichoandikwa na watu wema, ni uwezo wake wa kubadili maisha ya watu. Inaweza kumbadilisha mtu mwovu kabisa na kumfanya kuwa Mkristo mwaminifu. Inaweza kumfanya mtu asiye mwaminifu, kutaka kurejesha alichochukua, au kusahihisha uongo aliosema. Ni uwezo gani wa ajabu ulio katika kitabu hiki unaobadilisha kiajabu matamanio na makusudi ya watu? Ni uwezo wa kufanya miujiza wa Roho wa Mungu anayefanya kazi kupitia kitabu hiki kutuonyesha Mwana–Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu.
Vitabu vya historia vya kibinadam vipo vingi sana na huwezi kuvifananisha na Qur'an. Unajidanganya tu.

Biblia inakupa solution ipi ya maisha ya kila siku? Biblia ingekupa solution za maisha yako ya kila siku ungekuwa na ushoga na mashoga kwa asilimia kubwa sana kwa wakuu na wanaoongoza makanisa hayo? Takriban wote ni mashoga. Una solution ipi hapo kama unaongozwa na Biblia?

Soma...
 
Umewahi kujiuliza kwa nini vitabu vya uganga viuzwe karibu na misikiti na sio karibu na makanisa?
Tuoneshe hilo duka na hivyo vitabu vya uganga vinavyouzwa karibu ya msikiti. Acha uongo.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Habari Waheshimiwa wa JF.

Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.

Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.

Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.

Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.

Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?

Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
Ninavyofaham mimi hakuna uhusiano WOWOTE
hata hivyo waislam wana amini kuwa, kwa mtu aliyekwenda kuhiji huku ameacha mambo yake vizuri, na maanisha ameomba msamaha kwa aliowakosea au kusahihisha makosa yake kabla ya kwenda; huwa anasamehewa makosa yake yote
Hao uliokutana nao huenda wamejiona kama wamesamehewa makosa yao basi wataweza kuombea/kuponya nk
 
Biblia inakupa solution ipi ya maisha ya kila siku? Biblia ingekupa solution za maisha yako ya kila siku ungekuwa na ushoga na mashoga kwa asilimia kubwa sana kwa wakuu na wanaoongoza makanisa hayo? Takriban wote ni mashoga. Una solution ipi hapo kama unaongozwa na Biblia?

Soma...
hizo ni tabia za watu,hata zenji kwenye uislamu 99% wanaongoza kwa ushoga
1648451447053.png

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).
 
Kwa uchache tazama tu Waislam na wasio Waislam uone maadili ya kibinadam unayapata wapi, bila kujidanganya nafsi yako.
waislam wana maadili gani ya maana

ushoga,ugaidi,n.k
ZANZIBAR: UNGUJA YATAJWA KUONGOZA KWA UKAHABA NA USHOGA

Waziri Dkt. Saada Salum Mkuya amesema #Unguja ina Wanawake 4,854 na Pemba 700 wanaofanya Biashara ya kuuza miili yao

Wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja #Zanzibar ni 3,300

Soma - https://jamii.app/UshogaUkahaba

Watu 20 wakamatwa kwa kushtumiwa ushoga Zanzibar - RFI

MAUSIA/MAADILI YA MUNGU WALIPEWA WAYAHUDI ,KUPITIA BIBLIA(AGANO LA KALE NA JIPYA)

Warumi 3

Neno: Bibilia Takatifu

Uaminifu Wa Mungu​

3 Basi kuna faida gani kuwa Myahudi? Je, kutahiriwa kuna faida yo yote? 2 Ndio, zipo faida nyingi. Kwanza, Mungu aliwaka bidhi Wayahudi maagizo yake. 3 Na hata kama baadhi yao hawaku amini,je, kutokuamini kwao kutamfanya Mungu aache kuwa mwaminifu? 4 Hata kidogo!Mungu ataendelea kuwa wa kweli hata kama kila mwan adamu atakuwa mwongo. Kama ilivyoandikwa katika Maandiko,“Wewe Mungu, uthibitishwe kuwa wahaki katika maneno yako, na mshindi katika hukumu.”
 
Biblia inakupa solution ipi ya maisha ya kila siku? Biblia ingekupa solution za maisha yako ya kila siku ungekuwa na ushoga na mashoga kwa asilimia kubwa sana kwa wakuu na wanaoongoza makanisa hayo? Takriban wote ni mashoga. Una solution ipi hapo kama unaongozwa na Biblia?

Soma...
1648452727252.png
 
Biblia inakupa solution ipi ya maisha ya kila siku?
Biblia. Kumbukumbu la Torati 18:10-11

[10]Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,

[11]wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.

Mungu alipiga marufuku wabashiri lakini Mohammad anajiita mbashiri
Alipiga marufuku kuwaomba wafu lakini maislam yanaendelea kuwaomba makaburini
1648452977260.png
 
Kwa uchache tazama tu Waislam na wasio Waislam uone maadili ya kibinadam unayapata wapi, bila kujidanganya nafsi yako.
Biblia. Mambo ya Walawi 26:1

[1]Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

1648453342176.png
 
Ninavyofaham mimi hakuna uhusiano WOWOTE
hata hivyo waislam wana amini kuwa, kwa mtu aliyekwenda kuhiji huku ameacha mambo yake vizuri, na maanisha ameomba msamaha kwa aliowakosea au kusahihisha makosa yake kabla ya kwenda; huwa anasamehewa makosa yake yote
Hao uliokutana nao huenda wamejiona kama wamesamehewa makosa yao basi wataweza kuombea/kuponya nk
1648453462279.png
 
Kwa nini mnabusu jiwe?
 
Habari Waheshimiwa wa JF.

Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.

Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.

Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.

Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.

Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?

Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
Walitaka kuwatapeli watu tu,hakuna uhusiano wowote yoyote anayekwenda hijja anatarajiwa ajipambe na "sifa za kumcha Allah" ikiwa kinyume chake hata hijja yake inatia shaka.
 
Back
Top Bottom