Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
- #101
Mie mwenyewe, nilidhani HIJJA ilianzishwa na Isackibrahimu anasingiziwa,toka nje ya box uujue ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mwenyewe, nilidhani HIJJA ilianzishwa na Isackibrahimu anasingiziwa,toka nje ya box uujue ukweli
Okay?Mk 16:16 SUV
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
uislamu umeanzishwa na muhammad 600AD,kabla hakukuwahi kuwepo din ya uislamu,wala hakuna hata kitabu au historia kuliwahi kuwepo din ya islam ,Mie mwenyewe, nilidhani HIJJA ilianzishwa na Isack
We poyoyo kweli kweli unailinganisha Qur'an na mkusanyiko wa vitabu (Biblia) vilivyotungwa na watu? Huwezi kuilinganisha Qur'an na Biblia hata kidogo, huwezi linganisha maneno ya Mwenyezi Mungu na manaeno ya binadam wenzio.mwandishi wa quran hakuwa na ufahamu
why quran iwe kwa watu wote,ili hali ni kitabu kinachodanganya,
mna kazi mnaokiamini hiki kitabu
QURAN VS BIBLE
Hivi nani aliambiwa na waisraeli awatengenezee sanamu waliabudu kuwa ni mungu wao?
BIBLIA (HARUNI)
![]()
1 Hata watu walipoona ya kuwa Musa amekawia kushuka katika mlima, wakakusanyana wakamwendea Haruni, wakamwambia, Haya! Katufanyizie miungu itakayokwenda mbele yetu, kwa maana Musa huyo aliyetutoa katika nchi ya Misri hatujui yaliyompata.
Kutoka 32:1
2 Haruni akawaambia, Zivunjeni pete za dhahabu zilizo katika masikio ya wake zenu, na wana wenu, na binti zenu, mkaniletee.
Kutoka 32:2
3 Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.
Kutoka 32:3
QURAN (NABII MUSA)
![]()
Quran 7:138.
Na tukawavusha bahari Wana wa Israili, wakafika kwa watu wanao abudu masanamu yao. Wakasema: Ewe Musa! Hebu tufanyie na sisi miungu kama hawa walivyo kuwa na miungu. Musa akasema: Hakika nyinyi ni watu msio jua kitu.
Bado napitia Quran kujikumbusha vitu vingi ,waislamu kikubwa tusitupiane mawe tutupiane hoja tu.
Vitabu vya historia vya kibinadam vipo vingi sana na huwezi kuvifananisha na Qur'an. Unajidanganya tu.quran haina msaada kwa maisha ya mwanadama,
soma biblia inakupa historia yote ya ulimwengu,qur waachie waganga wa kienyeji
Utabiri wa Biblia juu ya mambo ambayo yangetokea baadaye, unathibitisha uvuvio wa Biblia, mambo hayo yanapotokea.
Angalia mifano ifuatayo:
A. Kuinuka na kuanguka kwa falme nne zilizotawala dunia:
Babeli, Umedi na Uajemi, Uyunani na Rumi. (Danieli 2,7,8.)
View attachment 2166431
B. Koreshi kuwa Mpiganaji ambaye angeiteka Babeli. “Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi (mtiwa mafuta) wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa. Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata kata mapingo ya chuma; nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofchwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.” Isa. 45:1-3.
C. Baada ya kuangamizwa, Babeli isingekaliwa tena. “Na Babeli, huo utukufu wa falme, uzuri wa kiburi cha Wakaldayo, utakuwa kama Sodoma na Gomora hapo Mungu alipoiangamiza.” “Haya! juu ya mlima usio na miti inueni bendera, wapazieni sauti zenu, wapungieni mkono, kwamba waingie katika malango ya wakuu.” (Isa. 13:19,2). “Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.” Yer. 51:37.
D. Misri kutokuwa na amri tena kati ya Mataifa. “Nami nitawarejeza Wamisri walio katika hali ya kufungwa, nami nitawarudisha hata nchi ya Pathrosi, hata nchi ya kuzaliwa kwao; na huko watakuwa ufalme duni. Utakuwa duni kuliko falme zote, wala hautajifunua tena juu ya Mataifa; nami nitawapunguza, ili wasitawale tena juu ya Mataifa.” Eze. 29:14,15. “Nami nitaikausha mito, na kuiuza nchi, na kuitia katika mikono ya watu wabaya; nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa, na watu wote walio ndani yake, kwa mkono wa wageni; mimi, BWANA, nimenena neno hili.” Eze. 30:12,13.
E. Majanga ya kushtua dunia na hofu kadiri tunavyoelekea siku za mwisho. “Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya Mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu, na kwa kutazamia mambo yatakayoupata ulimwengu. Kwa kuwa nguvu za mbinguni zitatikisika.” Lk. 21:25,26.
F. Kuporomoka kwa maadili katika siku za mwisho. “Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako na nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio saf, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.” 2 Tim. 3:1-5.
G. Unabii juu ya matukio katika maisha ya Yesu. “Akaanza kutoka Musa na manabii wote, akawaeleza katika Maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye mwenyewe.” Lk. 24:27. “Kwa maana aliwashinda Wayahudi kabisa kabisa mbele ya watu wote, akionyesha kwa maneno ya Maandiko ya kuwa Yesu ni Kristo.” Mdo. 18:28. Kwa kuwa wakati huo Agano Jipya lilikuwa halijaandikwa, ni wazi kuwa Maandiko yanayozungumziwa hapa ni Agano la Kale. Utabiri wa Agano la Kale juu ya Masihi ulikuwa dhahiri na ulitimizwa na Yesu wa Nazareti kiasi cha kumfanya Yesu mwenyewe na Apolo kuutumia kuwathibitishia Wayahudi kuwa Yesu alikuwa ndiye Masihi.
![]()
![]()
Moja kati ya uthibitisho mkuu kwamba Biblia si kitabu cha kawaida tu kilichoandikwa na watu wema, ni uwezo wake wa kubadili maisha ya watu. Inaweza kumbadilisha mtu mwovu kabisa na kumfanya kuwa Mkristo mwaminifu. Inaweza kumfanya mtu asiye mwaminifu, kutaka kurejesha alichochukua, au kusahihisha uongo aliosema. Ni uwezo gani wa ajabu ulio katika kitabu hiki unaobadilisha kiajabu matamanio na makusudi ya watu? Ni uwezo wa kufanya miujiza wa Roho wa Mungu anayefanya kazi kupitia kitabu hiki kutuonyesha Mwana–Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu.
Kwa uchache tazama tu Waislam na wasio Waislam uone maadili ya kibinadam unayapata wapi, bila kujidanganya nafsi yako.quran haina msaada kwa binadamu, ukweli usemwe
nini kinawahamasisha wawe wanganga mala watokapo HIJJA?
Umemwelewaje?Nimeelewa vema
Tuoneshe hilo duka na hivyo vitabu vya uganga vinavyouzwa karibu ya msikiti. Acha uongo.Umewahi kujiuliza kwa nini vitabu vya uganga viuzwe karibu na misikiti na sio karibu na makanisa?
Bila tunguli?
Ninavyofaham mimi hakuna uhusiano WOWOTEHabari Waheshimiwa wa JF.
Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.
Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.
Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.
Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.
Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?
Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
hizo ni tabia za watu,hata zenji kwenye uislamu 99% wanaongoza kwa ushogaBiblia inakupa solution ipi ya maisha ya kila siku? Biblia ingekupa solution za maisha yako ya kila siku ungekuwa na ushoga na mashoga kwa asilimia kubwa sana kwa wakuu na wanaoongoza makanisa hayo? Takriban wote ni mashoga. Una solution ipi hapo kama unaongozwa na Biblia?
Soma...
waislam wana maadili gani ya maanaKwa uchache tazama tu Waislam na wasio Waislam uone maadili ya kibinadam unayapata wapi, bila kujidanganya nafsi yako.
NaulizaTuoneshe hilo duka na hivyo vitabu vya uganga vinavyouzwa karibu ya msikiti. Acha uongo.
Biblia inakupa solution ipi ya maisha ya kila siku? Biblia ingekupa solution za maisha yako ya kila siku ungekuwa na ushoga na mashoga kwa asilimia kubwa sana kwa wakuu na wanaoongoza makanisa hayo? Takriban wote ni mashoga. Una solution ipi hapo kama unaongozwa na Biblia?
Soma...
Biblia. Kumbukumbu la Torati 18:10-11Biblia inakupa solution ipi ya maisha ya kila siku?
Biblia. Mambo ya Walawi 26:1Kwa uchache tazama tu Waislam na wasio Waislam uone maadili ya kibinadam unayapata wapi, bila kujidanganya nafsi yako.
Ninavyofaham mimi hakuna uhusiano WOWOTE
hata hivyo waislam wana amini kuwa, kwa mtu aliyekwenda kuhiji huku ameacha mambo yake vizuri, na maanisha ameomba msamaha kwa aliowakosea au kusahihisha makosa yake kabla ya kwenda; huwa anasamehewa makosa yake yote
Hao uliokutana nao huenda wamejiona kama wamesamehewa makosa yao basi wataweza kuombea/kuponya nk
Kwa nini mnabusu jiwe?Ninavyofaham mimi hakuna uhusiano WOWOTE
hata hivyo waislam wana amini kuwa, kwa mtu aliyekwenda kuhiji huku ameacha mambo yake vizuri, na maanisha ameomba msamaha kwa aliowakosea au kusahihisha makosa yake kabla ya kwenda; huwa anasamehewa makosa yake yote
Hao uliokutana nao huenda wamejiona kama wamesamehewa makosa yao basi wataweza kuombea/kuponya nk
Walitaka kuwatapeli watu tu,hakuna uhusiano wowote yoyote anayekwenda hijja anatarajiwa ajipambe na "sifa za kumcha Allah" ikiwa kinyume chake hata hijja yake inatia shaka.Habari Waheshimiwa wa JF.
Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.
Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.
Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.
Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.
Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?
Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?