Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Wewe peleka porojo zako Sunday School. Waislam hawamfati ibn yoyote yule, Waislam tunaifata Qur'an. Soma aya hiyo kwenye Qur'an 43:...

34_12.gif

12. Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. 12

34_13.gif

13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru. 13

34_14.gif

14. Na tulipo mhukumia kufa, hapana aliye wajuulisha kufa kwake ila mnyama wa ardhi aliye kula fimbo yake. Na alipo anguka majini walitambua lau kuwa wangeli jua ya ghaibu wasingeli kaa katika adhabu hiyo ya kufedhehesha. 14

("Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi")

Haya maneno hapo juu yamenenwa na Mungu?? Yaani Mungu anabariki majini?
 
Narrated `Aisha:

The Prophet (ﷺ) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."Sahih al-Bukhari 4428
Duh!
aisee,,,,,,,, kumbe kiongozi alikutana na washenzi wa Khaibar wakamtendea ubaya mkubwa namna hii?
AU walikuwa wanatamani wao ndio wawe WAKUU kwa wakati ule?
Poa, nimekukubali kwa proof yako.
 
("Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi")

Haya maneno hapo juu yamenenwa na Mungu?? Yaani Mungu anabariki majini?
HII IMEKAAJE WAKUU
.......... majini walikuwako wakifanya kazi mbele yake Suleimani kwa idhini ya Mola wake Mlezi?
huyo MOLA mwenye USHIRIKA NA majini,,,,,,, ni yupi jamani?
Au kuna Typing error hapa?
 
Madame unapoteza Muda wako bure kubishana na wapuuzi
Uwa nawashangaa Sana kwa nini mnaandika MAANDIKO mtu akiya quote mnamuita mpuuzi FaizaFoxy

Bishana na maandiko yenu , yapo wazi Alie msababishia kifo Cha sumu na kukata aorta ya Muhammad huyu hapa

Narrated `Aisha:
The Prophet (ﷺ) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."Sahih al-Bukhari 4428

Quran 69:44 And if Muhammad had made up about Us some [false] saying
Quran 69:46 Then We would have cut from him the aorta.
 
FaizaFoxy
issue ya kukatwa aorta

`Aisha:

Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?

Wajinga ndio waliwao.

Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.

Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).

Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
Ibn sina hakuwa muislam ,alaf nkuulize kusoma ruqya ya kisheria ni kosa katika uislamu ,ujanja ujanja unatoka wap
 
Hakuna shida yoyote mtu kumsomea mtu Qur'an au dua zilizothibiti awe ameenda Mecca au hajaenda ,kibaya ni kufanya ushirikina
 
Ibn sina hakuwa muislam ,alaf nkuulize kusoma ruqya ya kisheria ni kosa katika uislamu ,ujanja ujanja unatoka wap
Hayo maswali yako yanuhusiano upi na hii mada?

Ibn Sina wazungu wamembadili wanamuita avicenna. Haumfahamu kijana, huyo ndiye baba wa tiba na ni Muislam, mtu aliyeihifadhi Qur'an yote akiwa na miaka 10 tu unasema hakuwa Muislam? Una akili kweli wewe? Au unatumia za kuazima? kitabu chake kimojawapo kinaitwa Kanuni za tiba. Ndicho hicho wazungu wamekitafsiri kinaitwa canon of medicine. Kinafundishia watu kanuni za tiba hadi leo hii.
 
Hayo maswali yako yanuhusiano upi na hii mada?

Ibn Sina wazungu wamembadili wanamuita avicenna. Haumfahamu kijana, huyo ndiye baba wa tiba na ni Muislam, mtu aliyeihifadhi Qur'an yote akiwa na miaka 10 tu unasema hakuwa Muislam? Una akili kweli wewe? Au unatumia za kuazima? kitabu chake kimojawapo kinaitwa Kanuni za tiba. Ndicho hicho kinatwa canon of medicine. Kinafundishia watu kauni za tiba hadi leo hii.
Ibn sina alikuwa theorist Tu na wanachuon Weng wameafiki kuritad kwake kutokana na itikadi yake ,,pengine unauelelwa finyu wa uislam ,so kila anaehifadh Qur'an n muislamu ,and the last time I checked wewe ni quraniyyun unaepinga hadith za mtume so hatuez elewan wakat una aqeeda mbovu ivo
 
Hayo maswali yako yanuhusiano upi na hii mada?

Ibn Sina wazungu wamembadili wanamuita avicenna. Haumfahamu kijana, huyo ndiye baba wa tiba na ni Muislam, mtu aliyeihifadhi Qur'an yote akiwa na miaka 10 tu unasema hakuwa Muislam? Una akili kweli wewe? Au unatumia za kuazima? kitabu chake kimojawapo kinaitwa Kanuni za tiba. Ndicho hicho kinatwa canon of medicine. Kinafundishia watu kauni za tiba hadi leo hii.
Mbona Mimi nimehifadhi Quran yote ,na Hadith kibao na tafsir za kutosha na sio muislamu ? Na wala sinampango na Uislamu?
 
FaizaFoxy
issue ya kukatwa aorta

`Aisha:
The Prophet (ﷺ) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."Sahih al-Bukhari 4428

Quran 69:44 And if Muhammad had made up about Us some [false] saying
Quran 69:46 Then We would have cut from him the aorta.
Uongo mtupu unajizulia. Ni kama vile ujitekenye mwenyewe ucheke mwenyewe.

Soma hii kisha useme...

Kutoka 4:22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

Mungu anasema hayo, nyie mnasema Yesu ndio Mungu, sasa Yesu lini alizaa?

Kizungumkuti chha Biblia hicho. Huwa hatujitungii uongo sisi.
 
Uogo mtipu unajizulia.

Uelewa wako upo chini Sana
Aya tuambie Quran. Ilizaa lini

Quran 43.4. Surely it is in the Mother Book with Us, exalted, firm, and decisive
 
Uogo mtipu unajizulia.

Embu onesha uongo upo wapi? Na kwa nini maandiko Yako yameandikwa na Allah mwenyewe unaita uongo?!

Quran 69:44 And if Muhammad had made up about Us some [false] saying
Quran 69:46 Then We would have cut from him the aorta.

`Aisha:
The Prophet (ﷺ) in his ailment in which he died, used to say, "O `Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison."Sahih al-Bukhari 4428.
 
Uelewa wako upo chini Sana
Aya tuambie Quran. Ilizaa lini

Quran 43.4. Surely it is in the Mother Book with Us, exalted, firm, and decisive
Jibu hilo, vipi hapo, nani Mungu nani mtoto wa Mungu? Umeshindwa kuelewa swali, au limekuwa gumu kwako umelikwepa kama kawaida yako?
 
Jibu Koran inawatoto wangapi?

Quran 43.4. Surely it is in the Mother Book with Us, exalted, firm, and decisive
 
Huna lolote wewe ulichphifadhi, nimekuuliza swali la ndano ya biblia juu hapo unalikwepa.

Nyingine hiyoooo:
Jeremiah 31:9, Torah
[And,] 'I am a Father to Israel, and Ephraim [is] My firstborn.'

Kwepa tena kisha useme, lini Yesu alizaa? Au baba'ke Yesu ana watoto wengine, tena kumbe Yesu siyo wa kwanza. Kizungumkuti!
Ukipatata jibu la Koran ilizaa lini mpaka iwe mama , utakuwa umepata na jibu la swali lako

Quran 43.4. Surely it is in the Mother Book with Us, exalted, firm, and decisive

Ndio maana nakwambia uelewa wako upo chini Sana au unajitia uchizi
 
Hahahahahah, kumbe hata lugha huelewi.

aam,Qur'an ndipo elimu zote uzijuazo zilipotokea, kwa ushahidi kamili.

Aya ya Biblia ipo vetry clear, usijibabaishe.

Back
Top Bottom