Mc Kaskas
Senior Member
- Dec 13, 2017
- 112
- 177
Umeandika upumbavu,kaweke mifupa ya Bibi yako ili iongozeUkweli ni kwamba raisi aliyeko hafai kuongoza hili taifa Pascal Mayalla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika upumbavu,kaweke mifupa ya Bibi yako ili iongozeUkweli ni kwamba raisi aliyeko hafai kuongoza hili taifa Pascal Mayalla
Udini mbayaHauni hao wakristo wamekufa wote 🤣🤣🤣
Huoni mkristo wa kwanza ndo aliua nchi kubaribu viwanda kweny mikoa kisa mikoa hyo inaishi waislamu
Huoni mkristo wa Kwanza aliweka mikakati ya kufelisha waislamu mpaka ulipokuja mfumo wa mamba chini ya kigoma malima
Kuna tatzo mahali. Unawaaibisha wenzioKamjibu aliykuzaa sibishani na kafiri
Weka GPA zake za chuo tuoneJakaya Kikwete hakuunga unga
Alipasua kibaha A level, Udsm pia alifaulu ingawa yasemekana alikuwa a"disco" ila walimbeba kumaliza Bachelor Degree yake ya Uchumi pale UDSM
1. Critical thinkingUmeandika upumbavu,kaweke mifupa ya Bibi yako ili iongoze
Ni kama ww tu ambavyo akili yako inaongozwa na Chuki Dhidi ya kiongozi wa Nchi1. Critical thinking
2. Reasoning
3. Logic
Sikulaumu sana maana hicho kikutokacho ni matokeo ya kile unacho feed akili yako
sio chuku, ukweeli siku zote unauma mama ni mweupe kichwani na hapo wa tz wameumiaNi kama ww tu ambavyo akili yako inaongozwa na Chuki Dhidi ya kiongozi wa Nchi
Huu uzi nimecheka sana....ila hapo kwenye mipasho umemuonea tu, mwanamke yoyote lazima awe na hulka ya mipasho angalia hata kina doroth GwajimaWanabodi,
Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.
Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina.
Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
Dini Zao
- Julius Kambarage Nyerere
- Ali Hassan Mwinyi
- Benjamin William Mkapa
- Jakaya Mrisho Kikwete
- John Pombe Magufuli
- Samia Suluhu Hassan
KImahesabu ni tatu kwa tatu!.
- Mkiristu
- Muislamu
- Mkiristu
- Muislamu
- Mkiristu
- Muislamu
Hapa kwenye Dini zao, naona kama kuna kupokezana kati ya Mkiristu na Muislamu, jee is it planned au imetokea tuu?. Kama ni planned, then anayefuata ni lazima atoke upande wa pili. If it just happened, then anaweza kufuatiwa na wa kutoka upande wowote!.
Denominations zao
Kwa Wakristu, rais akiwa Mkiristu je ni lazima awe RC?. Kwanini wote walioshika urais ni RC only?!. Is this planned or it just happened?.
- Mkiristu RC
- Muislamu
- Mkiristu RC
- Muislamu
- Mkiristu RC
- Muislamu
If it's planned ni nani anayepanga?. Hivi Wakristu wa dominions nyingine kama Lutherans, Anglicans, Wasabato, Walokole etc hawawezi?.
Kwa Waislamu, Tanzania tuna Sunni, Ismailia, Ahamadia, Answasumna, wale Mabohora, jee nao kuna siku watapata zamu?.
Uhai wao
Kwa upande wa uhai, hapa ni 3-0, (tatu bila!) Wakristu wote down, Waislamu wote up!.
- Amekufa
- Yuko Hai
- Amekufa
- Yuko Hai
- Amekufa
- Yuko Hai
Jee kuna uhusiano wa dini fulani na longevity?. Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?!.
Elimu Zao
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu?.
- Straight to University Masters Level
- Aliunga Unga ila alipata Masters
- Straight to University Masters Level
- Aliunga Unga Ila alipata Bachelor ya GPA flani!.
- Straight to University Ph.D iliotiliwa shaka humu JF, (mtia shaka just vanished into thin air!)
- Aliunga Unga to Masters!.
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.
Matumizi ya Busara
Kwanini watu wa dini fulani ndio wanaonekana na busara zaidi kuliko wa dini nyingine?. Jee kuna uhusiano wa dini ya mtu na busara?
- Busara Sana
- Busara Sana na ustaatarabu
- Hakuna Busara Ila Ustaatabu
- Muungawana, Busara, Ustaarabu
- Hakuna Busara, Uungwana wala Ustaarabu
- Busara, Uungwana, Ustaarabu Ila na Mipasho!.
Dhana ya Udikiteta
Viongozi wetu madikiteta au wenye udikiteta ni wa dini fulani tuu!. Jee kuna uhusiano wa dini na udikiteta?.
- Dikiteta
- Hakuwa Dikiteta
- Dikiteta
- Hakuwa Dikiteta
- Dikiteta
- Sio Dikiteta
NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke!
Paskali
Mkuu kimsboy , we endelea tuu kucheka sana kwasababu kucheka ni Afya, you will live long!, mashoga wa kucheka ni "ncheke ninenepe"!.Huu uzi nimecheka sana....ila hapo kwenye mipasho umemuonea tu,
Not necessarily, the biggest difference between a man and a woman is not zile organs!, it's the brain!. Women feels, men thinks. Kwenye kazi kuna kazi zinazowahitaji watu wanao feels kuliko wanaothink, hivyo ni kazi za femininity na feminism hivyo zina accommodates mipasho!.mwanamke yoyote lazima awe na hulka ya mipasho angalia hata kina doroth Gwajima
JPM hakuunga unga kwenda University?Mkuu kimsboy , we endelea tuu kucheka sana kwasababu kucheka ni Afya, you will live long!, mashoga wa kucheka ni "ncheke ninenepe"!.
JF tumemsaidia sana JK na JPM, sasa ni zamu ya kumsaidia Mama!, huko unakodhani nimemuonea tuu, ndiko kumsaidia kwenyewe.
Mtu yoyote akiwa rais, automatically ana asume dualism, yaani anakuwa na dual personality. Personally ya kwanza ni ile personality ya human being, hivyo Samia is a human being, she can speak anything as a human being. Personality ya pili ni personality ya presidential personality. Kwenye personality hii the president is a super human, she is perfect, hawezi kukosea na haulizwi na yeyote, na hata kuongea Samia kama Samia yuko huru, kuongea lolote na kutumia maneno yoyote as a human being, lakini Samia as a president, lazima aongee ki presidential, lazima atumie maneno ya ki presidential only!.
Kwenye hili, enzi za JPM, niliwahi kuuliza Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?
kiukweli tulimsaidia sana, hivyo nimeuliza Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?
Sisi watu wa msaada, tumeisha anza kumsaidia kwenye hili.
Not necessarily, the biggest difference between a man and a woman is not zile organs!, it's the brain!. Women feels, men thinks. Kwenye kazi kuna kazi zinazowahitaji watu wanao feels kuliko wanaothink, hivyo ni kazi za femininity na feminism hivyo zina accommodates mipasho!.
President is job used to be men's job that requires thinking, hivyo hata Mwanamke feminists akiukwa urais, she has to think like men!. There is no room for mipasho kwenye urais. Hili kiukweli kabisa Mama needs kusaidiwa na mimi kiukweli nimeanza kusaidia saidia!. Mofano ni hii - Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?
- Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.
P
Mtetezi wa mafisadi unahangaika sana.JPM hakuunga unga kwenda University?
Haujui kuwa alikuwa mwalimu wa sekondari kabla ya kuingia UD?
Jakaya alipasua tena digrii ya mwaka 1974, ilikuwa ni kwa top cream ya nchi. Wachache sana enzi hizo walikuwa wanapata degree.