Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Ni Kweli...lakini Ni coincidence Tu iliyotokea Kuwa Maraisi wakristo ndo walikuwa Na maono kibao Na waislam wakawa laizure fair..lakini Ni Bahati Tu iliyotokea... mtu yoyote wa Dini yoyote anaweza Kuwa laizure fair au mtu visionary.Marais wote wakristo wana uchungu kuliko wale waislam,so moja kwa moja unajua ikiwa na uchungu na kitu utahangaika ukifanikishe na katika kukifanikisha utakwamishwa.
Huyo mkristo alietaifisha shule zote za kikristo ili waislamu mmsome ndo aliharibu nchi?Hauni hao wakristo wamekufa wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huoni mkristo wa kwanza ndo aliua nchi kubaribu viwanda kweny mikoa kisa mikoa hyo inaishi waislamu
Huoni mkristo wa Kwanza aliweka mikakati ya kufelisha waislamu mpaka ulipokuja mfumo wa mamba chini ya kigoma malima
Hata ninyi kwa mwendo huu wa sasa wa kuadimika kwa ajira serikalini mtaanza kujiongeza. Mtagundua kuwa unachohitaji sana ni kumjua Mungu na maarifa kidogo ya kidunia. Ambayo hata wewe unaweza mpa mwanao akapata maendeleo na wala si lazima kushinda na Yale mavitabu ya kina Lambert, Antickson etc. Huoni hata ninyi sasa mmeshaanza kuhojiana kuhusu ubora wa hiyo elimu dunia ambayo mlikuwa mkijivunia miaka yoteHata huku mtaani wenzetu waisilam elimu dunia hawaitilii maanani
Huyo mkristo alietaifisha shule zote za kikristo ili waislamu mmsome ndo aliharibu nchi?
Wewe mayalla ni zuzu sana, kwani ujui kuwa kuna dictator mzalendo na dictator asiye mzalendoWanabodi,
Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.
Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina.
Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
Dini Zao
- Julius Kambarage Nyerere
- Ali Hassan Mwinyi
- Benjamin William Mkapa
- Jakaya Mrisho Kikwete
- John Pombe Magufuli
- Samia Suluhu Hassan
Hapa kwenye Dini zao, naona kama kuna kupokezana kati ya Mkiristu na Muislamu, jee is it planned au imetokea tuu?. Kama ni planned, then anayefuata ni lazima atoke upande wa pili. If it just happened, then anaweza kufuatiwa na wa kutoka upande wowote.
- Mkiristu
- Kiislamu
- Mkiristu
- Muislamu
- Mkiristu
- Muislamu
Denominations zao
Kwa Wakristu, rais akiwa Mkiristu je ni lazima awe RC?. Kwanini wote walioshika urais ni RC only?. Is this planned or it just happened?.
- Mkiristu RC
- Muislamu
- Mkiristu RC
- Muislamu
- Mkiristu RC
- Muislamu
If it's planned ni nani anayepanga?. Hivi Wakristu wa dominions nyingine kama Lutherans, Anglicans, Wasabato, Walokole etc hawawezi?.
Kwa Waislamu, Tanzania tuna Sunni, Issmailia Ahamadia, wale Mabohora, jee nao kuna siku watapata zamu?.
Uhai wao
Jee kuna uhusiano wa dini fulani na longevity?. Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?.
- Amekufa
- Yuko Hai
- Amekufa
- Yuko Hai
- Amekufa
- Yuko Hai
Elimu Zao
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu?.
- Straight to University Masters Level
- Aliunga Unga ila alipata Masters
- Straight to University Masters Level
- Aliunga Unga Ila alipata Bachelor ya GPA flani
- Straight to University Ph.D iliotiliwa shaka humu JF, (mtia shaka just vanished into thin air)
- Aliunga Unga to Masters
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.
Matumizi ya Busara
Kwanini watu wa dini fulani ndio wanaonekana na busara zaidi kuliko wa dini nyingine?. Jee kuna uhusiano wa dini ya mtu na busara?
- Busara Sana
- Busara Sana na ustaatarabu
- Hakuna Busara Ila Ustaatabu
- Muungawana, Busara, Ustaarabu
- Hakuna Busara, Uungwana wala Ustaarabu
- Busara, Uungwana, Ustaarabu Ila na Mipasho!.
Dhana ya Udikiteta
Viongozi wetu madikiteta au wenye udikiteta ni wa dini fulani tuu!. Jee kuna uhusiano wa dini na udikiteta?.
- Dikiteta
- Hakuwa Dikiteta
- Dikiteta
- Hakuwa Dikiteta
- Dikiteta
- Sio Dikiteta
NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti
PaskaliVoices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Wanabodi Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kukuambia sababu za jambo hilo, na huwezi kuuliza, hivyo...www.jamiiforums.com
Huyo ndiyo muasisi wa ukanjanja tzJakaya Kikwete hakuunga unga
Alipasua kibaha A level, Udsm pia alifaulu ingawa yasemekana alikuwa a"disco" ila walimbeba kumaliza Bachelor Degree yake ya Uchumi pale UDSM
Hiyo ya kubebwa sio ya junior wake? Au historia ilijirudia?Jakaya Kikwete hakuunga unga
Alipasua kibaha A level, Udsm pia alifaulu ingawa yasemekana alikuwa a"disco" ila walimbeba kumaliza Bachelor Degree yake ya Uchumi pale UDSM
Uzee umeshakuingiaWanabodi,