mtu kitu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 702
- 508
Kwa mtazamo wa harakaharaka IQ haitegemei na dini ya mtu.Wanabodi,
Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.
Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina.
Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
Dini Zao
- Julius Kambarage Nyerere
- Ali Hassan Mwinyi
- Benjamin William Mkapa
- Jakaya Mrisho Kikwete
- John Pombe Magufuli
- Samia Suluhu Hassan
Hapa kwenye Dini zao, naona kama kuna kupokezana kati ya Mkiristu na Muislamu, jee is it planned au imetokea tuu?. Kama ni planned, then anayefuata ni lazima atoke upande wa pili. If it just happened, then anaweza kufuatiwa na wa kutoka upande wowote.
- Mkiristu
- Kiislamu
- Mkiristu
- Muislamu
- Mkiristu
- Muislamu
Denominations zao
Kwa Wakristu, rais akiwa Mkiristu je ni lazima awe RC?. Kwanini wote walioshika urais ni RC only?. Is this planned or it just happened?.
- Mkiristu RC
- Muislamu
- Mkiristu RC
- Muislamu
- Mkiristu RC
- Muislamu
If it's planned ni nani anayepanga?. Hivi Wakristu wa dominions nyingine kama Lutherans, Anglicans, Wasabato, Walokole etc hawawezi?.
Kwa Waislamu, Tanzania tuna Sunni, Issmailia Ahamadia, wale Mabohora, jee nao kuna siku watapata zamu?.
Uhai wao
Jee kuna uhusiano wa dini fulani na longevity?. Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?.
- Amekufa
- Yuko Hai
- Amekufa
- Yuko Hai
- Amekufa
- Yuko Hai
Elimu Zao
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu?.
- Straight to University Masters Level
- Aliunga Unga ila alipata Masters
- Straight to University Masters Level
- Aliunga Unga Ila alipata Bachelor ya GPA flani
- Straight to University Ph.D iliotiliwa shaka humu JF, (mtia shaka just vanished into thin air)
- Aliunga Unga to Masters
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.
Matumizi ya Busara
Kwanini watu wa dini fulani ndio wanaonekana na busara zaidi kuliko wa dini nyingine?. Jee kuna uhusiano wa dini ya mtu na busara?
- Busara Sana
- Busara Sana na ustaatarabu
- Hakuna Busara Ila Ustaatabu
- Muungawana, Busara, Ustaarabu
- Hakuna Busara, Uungwana wala Ustaarabu
- Busara, Uungwana, Ustaarabu Ila na Mipasho!.
Dhana ya Udikiteta
Viongozi wetu madikiteta au wenye udikiteta ni wa dini fulani tuu!. Jee kuna uhusiano wa dini na udikiteta?.
- Dikiteta
- Hakuwa Dikiteta
- Dikiteta
- Hakuwa Dikiteta
- Dikiteta
- Sio Dikiteta
NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti
PaskaliVoices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Wanabodi Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kukuambia sababu za jambo hilo, na huwezi kuuliza, hivyo...www.jamiiforums.com
Wapo wagunduzi wa dini tofauti na Hata wasio dini pia, wa rangi na makabila / mataifa tofauti. Kuanzia zamani mpaka sasa.
Hayo mengine naendelea kusoma Kwa wadau mpaka nikijiridhisha nitakuja kukupa maoni yangu.
Nota Bene; kuhusu maraisi wa Kiislamu kuwa Sunni, nafikiri inatokana na wengi kuwa kwenye mfumo na wengi Kwa % dhidi ya Madhehebu mengine (labda zamu yao haijafika).