Historia ya kuwa ali"disco" wapi umeipata? Na ndio maana nikasema kuna "maneno" ikimaanisha sio taarifa za uhakika kuwa alimaliza kwa kubebwa na sio kwamba kubebwa kwake ni sababu ya kichwa kibovu na wapo watu huwa wanafeli sababu ya uvivu na sio uwezo kuwa mdogo
Jakaya kufaulia Kibaha ambayo ni shule ya vipaji itoshe kukujuza yeye ni _______ utajaza mwenyewe
Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.
Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina.
Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
Julius Kambarage Nyerere
Ali Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
John Pombe Magufuli
Samia Suluhu Hassan
Dini Zao
Mkiristu
Kiislamu
Mkiristu
Muislamu
Mkiristu
Muislamu
Hapa kwenye Dini zao, naona kama kuna kupokezana kati ya Mkiristu na Muislamu, jee is it planned au imetokea tuu?. Kama ni planned, then anayefuata ni lazima atoke upande wa pili. If it just happened, then anaweza kufuatiwa na wa kutoka upande wowote.
Denominations zao
Mkiristu RC
Muislamu
Mkiristu RC
Muislamu
Mkiristu RC
Muislamu
Kwa Wakristu, rais akiwa Mkiristu je ni lazima awe RC?. Kwanini wote walioshika urais ni RC only?. Is this planned or it just happened?.
If it's planned ni nani anayepanga?. Hivi Wakristu wa dominions nyingine kama Lutherans, Anglicans, Wasabato, Walokole etc hawawezi?.
Kwa Waislamu, Tanzania tuna Sunni, Issmailia Ahamadia, wale Mabohora, jee nao kuna siku watapata zamu?.
Uhai wao
Amekufa
Yuko Hai
Amekufa
Yuko Hai
Amekufa
Yuko Hai
Jee kuna uhusiano wa dini fulani na longevity?. Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?.
Elimu Zao
Straight to University Masters Level
Aliunga Unga ila alipata Masters
Straight to University Masters Level
Aliunga Unga Ila alipata Bachelor ya GPA flani
Straight to University Ph.D iliotiliwa shaka humu JF, (mtia shaka just vanished into thin air)
Aliunga Unga to Masters
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu?.
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.
Matumizi ya Busara
Busara Sana
Busara Sana na ustaatarabu
Hakuna Busara Ila Ustaatabu
Muungawana, Busara, Ustaarabu
Hakuna Busara, Uungwana wala Ustaarabu
Busara, Uungwana, Ustaarabu Ila na Mipasho!.
Kwanini watu wa dini fulani ndio wanaonekana na busara zaidi kuliko wa dini nyingine?. Jee kuna uhusiano wa dini ya mtu na busara?
Dhana ya Udikiteta
Dikiteta
Hakuwa Dikiteta
Dikiteta
Hakuwa Dikiteta
Dikiteta
Sio Dikiteta
Viongozi wetu madikiteta au wenye udikiteta ni wa dini fulani tuu!. Jee kuna uhusiano wa dini na udikiteta?.
NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti
Wanabodi Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kukuambia sababu za jambo hilo, na huwezi kuuliza, hivyo...
Marais wote wakristo wana uchungu kuliko wale waislam,so moja kwa moja unajua ikiwa na uchungu na kitu utahangaika ukifanikishe na katika kukifanikisha utakwamishwa.
Kipindi hicho shule zilikuwa chache lazima angeenda katika shule hizo na chuo hicho cha UDSM.
Jakaya hana tofauti na Makamba Junior form 4 failure-lakini anajiona mjuaji kuliko watu wote Tz.
Kanisa ninalosali halijawahi kuhubili au kuongelea imani ya mtu mwingine kama mfanyavyo nyinyi sisi tunahubili amani na upendo hayo maswala ya Ugaidi tunayaona na kuyasikia kwa macho yetu hakuna anayetudanganya
Nashindwa kuwatofautisha Nyerere na. Magufuli! Nikimrejea Mzee Mwinyi naona kabisa kama Mwalimu angekuwa hai angemfurahia sana Magufuli kuona ameshika Urais, kwa style yake ya uongozi.
Mafuli alikuwa na Busara kwa watu ambao walikuwa na Busara kwake, ukienda kumuuliza Shekhe Kishki ye atakuambua Magufuli kwake ni Best kwa kila kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.