Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Udini mbaya
 
Kwenye suala la Elimu ni kutokana na suala zima la ukoloni. Shule za Kimisionari zilikuwa nyingi na wakati ule ilikuwa bure kwa lengo la kupata wasaidizi ambao ni indigenous. Wakristo (Wakatoliki) walikuwa na nafasi kubwa sana ya kusoma Shule hizo (Seminari) Waislamu hawakubahatika hilo kutoka kwa Waarabu. Waarabu hawakuja na suala la Shule zaidi ya Madrassa tu, watu wajifunze dini na lugha kiarabu. Kwahiyo kwa sasa elimu ni kwa wote na ni suala la muda tu Rais anaweza kutoka dominion yoyote kwa upande wa Wakristo anaweza kuwa mlokole, KKT, Anglican hata msabato. Na hata Waislamu anaweza kuwa yeyote tu. Kuhusu kupokezana Mkristo na muislamu hiyo ni Planned kabisa lakini ni nyuma ya pazia ila sijajua ni Party (ccm) level au ni national level. Hapa ukimuuliza kiongozi yeyote hawezi kukubali kwamba ni planned atakwambia inatokea tu.

Observation ni nzuri na ni kweli japo hatujajua sababu ni nini, ila pia hapo kila anapoingia muislamu watendaji wa serikali huwa hawana hofu ya kufanya ufisadi, yaani huwa wanajihisi wapo huru sana kulinganisha na akiwa Mkristo huwa wapigaji wanaingiwa na uoga wa kufanya ufisadi. Nahisi Waislamu wanapenda amani na watu wote kwa ma Fundisho ya Dini yao. Au waislamu watusaidie msingi wa kuwaonea huruma wapigaji unatokana na Mafundisho ya dini? Au Labda kuna Maandiko yanayowaongoza?
 
Huu uzi nimecheka sana....ila hapo kwenye mipasho umemuonea tu, mwanamke yoyote lazima awe na hulka ya mipasho angalia hata kina doroth Gwajima
 
Huu uzi nimecheka sana....ila hapo kwenye mipasho umemuonea tu,
Mkuu kimsboy , we endelea tuu kucheka sana kwasababu kucheka ni Afya, you will live long!, mashoga wa kucheka ni "ncheke ninenepe"!.

JF tumemsaidia sana JK na JPM, sasa ni zamu ya kumsaidia Mama!, huko unakodhani nimemuonea tuu, ndiko kumsaidia kwenyewe.

Mtu yoyote akiwa rais, automatically ana asume dualism, yaani anakuwa na dual personality. Personally ya kwanza ni ile personality ya human being, hivyo Samia is a human being, she can speak anything as a human being. Personality ya pili ni personality ya presidential personality. Kwenye personality hii the president is a super human, she is perfect, hawezi kukosea na haulizwi na yeyote, na hata kuongea Samia kama Samia yuko huru, kuongea lolote na kutumia maneno yoyote as a human being, lakini Samia as a president, lazima aongee ki presidential, lazima atumie maneno ya ki presidential only!.

Kwenye hili, enzi za JPM, niliwahi kuuliza Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?
kiukweli tulimsaidia sana, hivyo nimeuliza Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

Sisi watu wa msaada, tumeisha anza kumsaidia kwenye hili.
mwanamke yoyote lazima awe na hulka ya mipasho angalia hata kina doroth Gwajima
Not necessarily, the biggest difference between a man and a woman is not zile organs!, it's the brain!. Women feels, men thinks. Kwenye kazi kuna kazi zinazowahitaji watu wanao feels kuliko wanaothink, hivyo ni kazi za femininity na feminism hivyo zina accommodates mipasho!.

President is job used to be men's job that requires thinking, hivyo hata Mwanamke feminists akiukwa urais, she has to think like men!. There is no room for mipasho kwenye urais. Hili kiukweli kabisa Mama needs kusaidiwa na mimi kiukweli nimeanza kusaidia saidia!. Mofano ni hii - Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?
- Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.
P
 
JPM hakuunga unga kwenda University?
Haujui kuwa alikuwa mwalimu wa sekondari kabla ya kuingia UD?

Jakaya alipasua tena digrii ya mwaka 1974, ilikuwa ni kwa top cream ya nchi. Wachache sana enzi hizo walikuwa wanapata degree.
 
JPM hakuunga unga kwenda University?
Haujui kuwa alikuwa mwalimu wa sekondari kabla ya kuingia UD?

Jakaya alipasua tena digrii ya mwaka 1974, ilikuwa ni kwa top cream ya nchi. Wachache sana enzi hizo walikuwa wanapata degree.
Mtetezi wa mafisadi unahangaika sana.
 
HAO WOTE NI DINI MOJA ROMAN CATHOLIC NDIO WALIANZISHA UISLAMU KWA LENGO LA KUTAWALA DUNIA.

HAKUNA RAIS ATAKAYEKUJA KUTOKEA TANZANIA LAZIMA AWE ROMAN AU ISLAMIC.

INGIA HATA chat GTP uone padre wa RC ALIYEANZISHA UISLAMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…