Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

If is not by percentage, does IQs are Qualitative data or quantitative data?
Acha siasa we dada
thats why tunasema una IQ ndogo
kama kwa umri wako na elim yako hujawahi kujiuliza how does IQ measured bas utakuwa mvivu wa kufikiri. Kama vp ingia goggle maktaba ya dunia ujisomee kila kitu kimewekwa wazi
 
Acha siasa we dada
thats why tunasema una IQ ndogo
kama kwa umri wako na elim yako hujawahi kujiuliza how does IQ measured bas utakuwa mvivu wa kufikiri. Kama vp ingia goggle maktaba ya dunia ujisomee kila kitu kimewekwa wazi
Kama huna jibu maana yake hujui unapiga porojo tu.
 
If is not by percentage, does IQs are Qualitative data or quantitative data?

I might be wrong on this one. I think it's a mix of both in the sense that your individual score is quantitative data. However, the classification in which your score belongs is qualitative data. For example if you are score is 160, you will take that as you quantitative score and you would be qualified as a genius the same as an individual who scored 150.

Now if we come back to the topic at hand and then apply qualitative and quantitative analysis, Sukuma could score slightly higher than Warangi or Zaramo. However, in terms of IQ classification, they will definitely belong in the same group. A 10 point advantage doesn't change anything significantly. If somebody is above you by 10 points, you have other avenues to make up the deficit.
 
Which tool used to measure IQ scores? Please be honest if you don't know say, I don't know.
How does qualitative information can be quantified into number? as you said 160(kg, cm ,N, Watts etc)
Can you tell me which procedures used to make a conclusion this is a real IQ of a person?
Also I want you to explain which errors may occur during the process of finding IQ score?
Tell me, measuring IQ is Scientific or empirical?

Karibu nakuomba twende taratibu.
 
Wasukuma wana low IQ kwa sababu japo ni wafugaji hawali nyama hadi huyo mnyama afe au augue. Wanaishi ki maskini sana, hawapati madini joto ya kutosha ktk Siku mia za mwanzo wa maisha yao. Ndiyo maana ukichunguza PhD zote za wasukuma ni fake.
 
Kbs yn....na tunakimbiza sio poa
 
Umenena vemaa..mm nimeelewa thgh s wa kigoma
 
 
No offense but wasukuma ni kabila lenye watu went IQ ndogo sana.
Yes wapo walo soma lakini when it comes to intelligence these guys would get an award for the lowest intelligence in a human being.
Mbaya zaidi wapo wengi sana nchini....
Therefore kuna link ipo kati ya makabila na Ievel ya IQ.
Kwa Tz in no particular order kabila hizi ndizo zenye population kubwa ya watu wenye IQ ndogo.
Wagogo
Wasukuma
Wazaramo
Wamakonde
Wasambaa
Wadigo
Warangi
Wapogoro
 

Mikoa mitano yaongoza kwa umaskini nchini
 

The culprit is the original poster (OP). The central argument of this thread is solely based on prejudices and stereotypes, rather than facts and figures.
 
Hakuna facts zozote kwenye upimaji wa IQ, is Just a political measurement but not scientific measurement.
 
Na muda mwingine tunawewza tukawa tunajadili kitu by our own point of view,jinsi gani tuna mregard mtu aliye fanikiwa,kama anavyosema socrate kuwa hakuna kitu kibaya au kizuri zaidi ni wewe tu utapenda uki judge vipi,hata hao waadzabe nk wana kipimo chao cha kum judge mtu aliye elimika au kustaarabika,jinsi gani ana ithamini jamii yake,uungwana wake katika jamii nk,kwa hiyo unaweza ukasema wewe umefanikiwa ki hivi lakini ki vile we bado hujafanikiwa
Sasa labda tufanye assumption kwa kile unachokiwaza wewe
Hakuna uhusiano wa IQ ya mtu na kabila lake nk,wala umasikini au mafanikio ya kipato nk aliyo nayo mtu
Hii Tanzania au Afrika,uwepo wa wakoloni ndio umeendelea ku determine hadi leo maendeleo na hali ya maisha ya Tanzania ya leo na itakayo kuja,kuna jamii aidha kwa makusudi au na kwa bahati nzuri zilifanywa ziwepo hivi zilivyo leo,ubaguzi katika elimu,maendeleo nk kwa hiyo hali ya jamii ya leo ni muitikio wa hali iliyotokea huko nyuma,na hakuna njia za makusudi za kuliondoa hilo,kama barabara,miji mbalimbali nk iliyoachwa na wakoloni ndio hyo hyo ipo mpaka leo,tena ukija mfano bara bara yaani barabara aliyoiacha mkoloni ilikuwa ina ubora mkubwa sana mara mia ya ile ya mkoloni iliyojengwa upya na Serikali zetu baada ya uhuru,hiyo mikoa inayosadikiwa kuwa ni ya wasomi nayo haina tofauti hata kidogo na hiiya hawa wenye IQ ''ndogo'',kila mtu anaweza kuwa yoyote hakuna uhusiano wa yeye alivyo kiakili na jamii au kabila analo toka
 

Bandiko la mleta mada halina ukweli wowote na hakufanya utafiti ili kupata ukweli. Kwa mfano, takwimu za umaskini na utapiamlo kimkoa hapa nchini zipo. Kwa nini hakuzitumia? No research no right to speak!
 

Ninapata shida kuunganisha 'poverty level' na 'IQ Level'. Nimekuwa naangalia programu za wenzetu zikiwahusisha blacks na watoto wako vizuri tu. Wana ukokomavu (sio kwa sababu ya shibe, la hasha) unaotokana na malezi yenye msisitizo wa kujiamini! Nawaza zaidi, mimi nilitoka kwenye familia maskini kweli, tulilalia ngozi za ngombe baada ya kutandika majani makavu ya migomba, lakini kwenda shule haikuwa na mbadala. Wazazi walituhimiza sana kwenda shule ili tuje kuwa viongozi wa kesho. Walikuwa hawana uwezo zaidi ya kuhimiza. Nakumbuka jambo moja kubwa- mtoto ukisikika unatukana ni lazima Wazazi wako waitwe shuleni upate viboko mbele ya wenzako. Tusi kubwa kabisa ni 'K...Ya Mama Yako'. Maadili nadhani yana uhusiano mkubwa na makuzi ya IQ!

Niliposafiri kuja Dar yaani kila mtu hata wazazi wanatukana matusi, wanawaaminisha watoto elimu sio chochote. Tumewachukua vijana wawili ambao kwa maadili ya sasa ni 'watukutu' 'hawafai' ni 'wahuni'. Hawa wanatoka familia maskini kweli na maadili yao yalikwisha haribika. Wanaendelea vizuri na tuwaombee waendelee hivyo wamalize kidato cha nne. Sidhani umaskini wa wazazi wao una uhusiano na wanachofanya sasa hivi(IQ) yao. Ila nikiri sijawahi kusoma IQ related stuff kwa hivyo I stand to be corrected.

Ila huyu Mheshimiwa nadhani ana shida ya kuwa exposed, wapo viongozi wengine wanabebwa mgongoni na wanaona starehe mbele kule na ukiwaachia, IQs zao zitapanda mara moja.
 
I.Q ya mtu inatokana na malezi uliyompatia mtoto,kama unamlea mtoto kwa vichapo,mtoto huyo atakua na IQ ndogo na maamuzi ya kukurukapa, maamuzi kibabe..

Mfumo wa Elimu wa Zanzibar uko tafauti na wa Tanganyika,mfumo wa "Division" uko sana Tanganyika

wakati nasoma kule Zanzibar kulikuwa hakuna darasa la Saba,ilikuwa ukitoka daraa la sita unakwenda "Form 1" wakati Tanganyika kuna darasa la saba mpaka sasa

Ufukara na umasikini wa Zanzibar ni wakujitakia...wanasiasa wa Zanzibar I.Q zao ndogo,mtu mwenye IQ ndogo ni rahisi kumtia kasumba(manipulate).

Wanasiasa wa Zanzibar wametiwa kasumba za kuwa mwarabu atarudi,ili kufanya mwarabu asirudi lazima washirikane na Tanzangyika,hayo tumeyasikia kutoka kwa Lukuvi na wanasiasa wengine wa Tanganyika na Zanzibar..

Kwa wanasisa wa Zanzibar hata kama nchi inakuwa masikini,wazanzibari wanakufa njaa wao hawajali kwani hiyo sio agenda yao,ajenda yao ni kuuenzi Mungano kwa hali na mali ili mwarabu asirudi...

Tumewasika akina Mohamed Aboud akisema kuwa hata kama wazanzibari watakufa njaa lakini CUF hawezi kukaa madarakani,Wanachama wa CUF ni wazanzibari kama wazanzibari wengine tafauti yao wao wana falsafa tafauti ya kuiongoza Zanzibar..

Mambo kama hayo tunayaona Tanganyika vyama vya upinzani kama CHADEMA na vyengine ni vyama vinavyoundwa na watanzania sema wao wana muono tafauti wa kuingongoza Tanganyika.....lakini tunaona vipi upinzani unapigwa vita,inafikia hadi mpaka tunaanza kuona mauaji ya kisiasa

IQ za wafrika ni ndogo sana,na itakuwa ndogo kama hatujabadilisha vipi tunawalea watoto wetu,waswahili wanasema "Kambare mkunje angali mpichi",kama hatutaacha kuwapiga na kuwasulubu watoto wetu IQ zetu zitakuwa hivi hivi..

Mtoto akizaliwa anakuwa hajui chochote akili yake iko tupu,ubongo wake hauna kitu ni jukumu la mzazi kumfundisha mtoto na kumpa "Knowledge" ya maisha...,kumpiga hasaidii kitu,makabila yanayotesa na kuwapiga watoto wao ndio makabila yenye IQ ndogo.....
 
Baba wa Taifa nae alikuwa Mchagga ama mnyakyusa ama mhaya ....maana wakati akistruggle kudai Uhuru kidiplomasia hayo makabila yako yenye IQ kubwa yalikuwepo tu utumwani na viji PhD vyao.
Hujui Historia kaa kimya.

Unadhani Uhuru unadaiwa na mtu Mmoja?
 
Kosa kubwa linalofanyika ni kudhania kuwa maendeleo ya kielimu ya jamii fulani moja kwa moja inafanya jamii hiyo kuwa na IQ kubwa.Vilevile kuwa na idadi ndogo ya watu waliopata formal education kutoka jamii fulani hakuifanyi jami hiyo kuwa na akili ndogo(low IQ).

Kuna watu wengi sana wamepata elimu formal ya juu kabisa lakini uwezo wao wa kiakili ni mdogo sana .Uwezo wao a kupambanua mambo ni mdogo kuliko mbegu ya haradali.Akili nzuri inasababishwa kwa kiasi kikubwa na genetic factor.Then lishe,mazingira,elimu viko responsible kuikuza inteligency ambayo mtu tayari yupo nayo.Watu wawili wenye intelligency sawa na wakakulia mazingira tofauti,wakapata chakula tofauti na elimu tofauti ni more likely wataonekana wapo tofauti kiakili hata kama ni wa kabila moja.Kwahiyo sio sahihi kufikia hitimisho kuwa kabila linafanya mtu kuwa na IQ kubwa ama ndogo.Kwa mfano wanaoitwa wachaga wangekuwa wanaishi Dodoma na wanaoitwa wagogo wangekuwa wanatokea Kilimanjaro,je kungefanya kabila la wagogo kuonekana wana IQ kubwa kuliko wachaga?Kama jibu ni ndio basi tunakubaliana kuwa sio kabila linalofanya watu kuwa na low IQ.Zipo factors zingine kama zilivyoainishwa pale jjuu.Kama huna akili ni huna tu whether ni mchaga au mgogo.Hata ukipelekwa shule na kupewa chakula kizuri utaonekana kilaza tu.

Hiyo ni kwa kifupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…