Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Ni vizuri kujiuliza kama binadamu. Uko sahihi. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya IQ na kabila. Ila kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya IQ na makuzi/malezi na pia vinasaba kwa maana ya lishe na mambo mengine yanayozunguka. Lishe ni muhimu sana! Kuna watu wanahusisha umaskini, lakini nadhani ni pale umaskini unapoutafsiri kwa maana ya mjini. Yaani kuwa na gari, nyumba kubwa, nk. Hiyo hapana.

Angalia wale jamaa wa kale ka-kisiwa ka ziwa victoria Ukerewe (Siyo dhambi kuwataja, tuvumiliane) wanavyojulikana kwa IQ kubwa, lakini siyo matajili. IQ yao inachangiwa na lishe! Samaki kwa wiiingi, ugali kidogo. Kwa mwanakijiji wa kisiwani kula samaki siyo utajili! Ni sehemu ya maisha yake. Hapo sasa ndo kabila linaingia maana ukiwa kabila lako liko maeneo ambao mulo ni tatizo, jamii nzima hujikuta kichwani ni patupu!

Kuna makabila yanaonyesha kitu kama IQ kumbe siyo! Kwa sababu tu ya kuweza kuingia mashuleni kwa uwezo wa kifedha, wamejikuta sehemu muhimu, ila kiukweli siyo IQ, ni shida! Tutofautishe IQ na shule.
 
Kwahiyo wewe umepima IQ yangu umeiona ni Low? How? Au ni mtazamo wako tu? Tusichoshane bana.
Through comments, shows your ability to apply knowledge & skills is very low, specified amount of quality is very low, therefore your mind has got low IQ!
Sawa mkuu!?
 
Naandika nikiwa usingizini baada ya kusoma uchambuzi wenye hoja nyepesi na harufu ya trumph nilizoziona usingizini.

Sitaki kujadili IQs ingawa nitazitaja kwa uchache. Napenda nitoe mchango wa hili jinamizi nililoliona na mchambuzi wetu maarufu. ni jinamizi lenye chembe chembe za ubaguzi wenye chuki.

Si Mara ya kwanza kwa wana-jf kupoteza muda kwa kutaka kuaminisha jamii upofu huu.

kwanza walisema teuzi za viongozi hutokana na elimu, weledi, uadilifu. Matokeo ya ubaguzi huu ni kuwa tabaka moja ndani ya nchi limeshika hatamu ya uongozi. Kwa maana jamii imeaminishwa kuwa kuna jamii hadi awamu hii ya 5 idadi yao wenye elimu, weledi nanuadilifu hawazidi 10 ukilinganisha nafasi 50 za uuteuzi zilizopo kwa idara ndani ya nchi hii.
Tofauti na nchi ndogo kama Rwanda ambayo kwayo ni mfano WA kuigwa. Nchi kama Rwanda pamoja na kuangalia elimi, weledi, uaminifu na uadilifu lkn wameongeza na makundi tambuzi, hii ni baada ya ngojera kama hizi za miaka mingi jamii kuzichoka na matokeo yake ni kuzuka kwa vurugu zilizoleta maafa makubwa. Na baada ya vurugu zile na sasa wanaheshimiana ingawa ubaguzi na chuki ipo kwa uchache lkn haitungiwi ngonjera kama hizi.

2. Sasa ngonjera mpya zinawalenga wale wale kuwa baadhi ya maeneo hawana IQ kubwa hivyo hawapaswi kuchaguliwa wala kuteuliwa unless wale wateuzi wawe na IQ ndogo kama wateuliwa.


3. Pamoja kuongozwa kwa 90% na wenye IQ kubwa bali nchi kama nchi imebaki kuwa tatu bora kwa umasikini duniani.

Kwanini?

Watanzania hatuna elimu hiyo itakayo tufanya tubagu kwa misingi yyt. Rejea mkuu WA mkoa aliyekuwa na doctorate lkn siku ulipotenguliwa uteuzi wake alilia kama mtoto eti hajui atafanya nini pamoja na kuwa na cheti vikubwa na vilivyopendeza.

Nirejee tu fact mojawapo niliyoiona kwenye kukwaa hili letu la taifa jf.

Maneno yaliyoandikwa kwenye geti la kuingia Chuo Kikuu cha Cape Town, yana funzo kubwa!

Kwenye geti la chuo kikuu cha Cape Town nchini Afrika kusini kuna maandishi yasemayo
  1. "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. Ruhusu "mbumbumbu" waonekane wamefaulu na wasonge mbele. Matokeo yake yatajionesha baada ya muda, "mbumbumbu" hao wakishahitimu. Wagonjwa watafia mikononi mwa madaktari, majengo yataanguka mikononi mwa wahandisi, pesa zitapotelea mikononi mwa wachumi, utu utapotea mikononi mwa viongozi wa dini, na haki itapotelea mikononi mwa mahakimu. Kalamu za waandishi nazo zitachongasha. Kuchezea elimu ni kuangamiza taifa.


  2. Kama tunataka kulinganisha IQ kwann tusitumie kichina, kiarabu au kihindi kwa wale waliosoma masomo na kuhitimu kwa lugha hizo na matokeo yake unataka kuona mwenye iq ni yule anaejua kiingereza.


Pitia tena hapa tuone orodha ndefu then compare and contrasts.
24 Politician and Celebrity IQs That Will Leave You Shocked | HyperActivz

Tuache chuki hazijenge nchi
 
The culprit is the original poster (OP). The central argument of this thread is solely based on prejudices and stereotypes, rather than facts and figures.

That's what I have seen in thread so far. Since the beggining I have tried to ask the average IQ score of each tribe or region in question, nobody seems to have. So how are they going to make a convincing argument is they don't have data?
 
Hakuna facts zozote kwenye upimaji wa IQ, is Just a political measurement but not scientific measurement.

Whether is a political or scientific measurement, it doesn't really matter. What matters most is the correct use of the measurement. I am a grown up man and if you correctly say and show me that I have low IQ, I will take it.

However, it very disturbing when somebody tries to make an argument when he doesn't apply the fact.
 
Soma zaidi: The connection between race and intelligence has been a subject of debate in both popular science and academic research since the inception of IQ testing in the early 20th century. While tests have broadly shown differences in average scores based on self-identified race or ethnicity, there is considerable debate as to whether and to what extent those differences reflect environmental factors as opposed to genetic ones, as well as to the definitions of what "race" and "intelligence" are, and whether they can be objectively defined at all. Currently, there is no non-circumstantial evidence that these differences in test scores have a genetic component, although some researchers believe that the existing circumstantial evidence makes it at least plausible that hard evidence for a genetic component will eventually be found.

The first test showing differences in IQ test results between different population groups in the US was the tests of United States Army recruits in World War I. In the 1920s groups of eugenics lobbyists argued that this demonstrated that African-Americans and certain immigrant groups were of inferior intellect to Anglo-Saxon whites due to innate biological differences, using this as an argument for policies of racial segregation. Soon, other studies appeared, contesting these conclusions and arguing instead that the Army tests had not adequately controlled for the environmental factors such as socio-economic and educational inequality between African-Americans and Whites.

The debate reemerged again in 1969, when Arthur Jensen championed the view that for genetic reasons Africans were less intelligent than whites and that compensatory education for African-American children was therefore doomed to be ineffective. In 1994, the book The Bell Curve argued that social inequality in the United States could largely be explained as a result of IQ differences between races and individuals rather than being their cause, and rekindled the public and scholarly debate with renewed force. During the debates following the book's publication, the American Anthropological Association and the American Psychological Association (APA) published official statements regarding the issue, both highly skeptical of some of the book's claims, although the APA report called for more empirical research on the issue.

Soma zaidi: Race and intelligence - Wikipedia
 
Nikisoma mwanzo, katikati na mwisho, sio connection ya mada tajwa, pia unauliza swali au unataka utufundishe? Na mambo ya magufuli kushinda sijui upinzani, me sijakuelewa au ndo IQ yangu ndogo! Maana ww ni mwandishi maarufu lkn unaandikaga utumbo, Ninamashaka na IQ yako pia
 
H
Watu wanaokulia ktk maeneo yenye lishe duni, ukame wa mara kwa mara na kiwango kikubwa cha utapia mlo au kutoka familia masikini zisizo na uwezo wa kupata milo angalau miwili husababisha udumavu wa akili na low IQ.

Vv
Hiyo sidhani , mbona watu wa singida na wapare wako maeneo kame lakini wana akili sana , infact hao jamaa wako smart kuliko hata hayo makabila mnayoyasifia, mkoa mwingine ambao watu wako smart ni mara
 
Umesema kweli mkuu
 
Mkuu uko vizuri saana
 
Hivi mtu ambaye hakufaulu form four akaanzisha biashara na mtu aliyefauru na kusoma na kupata kazi mfano uhasibu/ ualimu , baada ya miaka kumi au zaidi huyu aliyefeli form four amekuwa na pesa nyingi kuliko yule mwalimu, infact mwalimu anategemea ajira ( mshahara) , sasa hapo nani mwenye IQ kubwa kuliko mwenzake ?
 
 
Hapa nnachokiona wengi tunachanganya kwenda shule na kuwa na akili. Wachaga, wanyakyusa na makabila mengine walipata fursa ya kuhudhuria darasani kwa wingi.


Niongezee kwenye hii hoja hapo kwenye ukabila au ukanda, kitu gani kinafanya watu wa eneo flani kuwa wazuri katika baadhi ya shughuli? Mfano, mchaga biashara ipo kwenye damu ahudhurie darasa au asiende lakini atafanya chochote hata kama kupiga kiwi viatu.
 
Azarel nakupa big up ni kweli athari za ukoloni ndio zilichangia makabila flani kuwa mbali kielimu na kiuchumi.Kenya wakikuyu,Uganda Wabaganda,Tanzania wachaga,wahaya,wanyakyusa.
Mkoloni hakuwa mjinga kuwekeza sehemu hizo kutokana na hali ya hewa rafiki kwake na ardhi yenye ruhusa
 
Kwanza IQ ni nn
 
Super mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…