Environmental factors are across the board. Wherever you came from, see which one applies to you.Sir, how is that out of topic when the entire thread is about IQ comparison? How can you associate the environmental factors with the average low or high IQ score of a particular region when you don't have IQ data set to make an argument?
Wewe umeelewa, shukran kwa kujaribu kumuelewesha zaidi ndugu MzuvendiMkuu stick on the argument on a healthy "lishe" and its effect on brain development , especially in the young.
You might just see the point.
Hili la kabila is a secondary issue.
Prove the first primary issue and the rest falls into place.
Mkuu stick on the argument on a healthy "lishe" and its effect on brain development , especially in the young.
You might just see the point.
Hili la kabila is a secondary issue.
Prove the first primary issue and the rest falls into place.
Environmental factors are across the board. Wherever you came from, see which one applies to you.
On the psychology, you might need a bit of a “brush up” on the subject.
Or maybe there’s a gross misunderstanding.
“I don’t wear my heart or emotions on the sleeve”Jmushi1;
Put your emotions aside. Some people have decided to use the IQ concept in this thread to support their claims. That's fine with me and my question to them where is the data. They can't just say these groups of people have higher than those ones.
“I don’t wear my heart or emotions on the sleeve”
Out of your five fingers, one you’re pointing at me, the other four are facing you.
I would rather you ask “those people”
I base my assumptions on psychology point of views plus researches.No worry, I have asked you persistently because you take efforts to answer my questions. Otherwise, our positions converge in the sense that while, I try to dispel the myth by pointing out the nonexistence of IQ data in Tanzania, you and others have added the environmental factors into the mix.
IQ is a very controversial yardstick and if somebody wants to use it to make a point, the individual should try to connect the dots correctly.
With regard to "those people", I have tried to ask and will continue to do. But, here's the thing. They will not come up with the data.
Pascal Mayalla nimeikumbuka hii ili nicheke kidogo.. .Wanabodi,
Usingizi umekata kutokana na mawazo ya huku kukaza kwa vyuma!, mtu unalala hujui kesho siku itaanza vipi, ukiwa totally empty!. Hivyo faraja yangu pekee ni JF. Nimesoma uzi fulani, nikaanza kuwaza na kujiuliza maswali huku mengine nikijijibu mwenyewe.
Huu ni uzi wa swali kuhusu I.Q za baadhi ya wanasiasa wetu wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, wakiwemo mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa, na vigogo wengine wengi, hivyo nikajiuliza kwanza jee ni kweli hawa wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, jee ni kweli wana low I.Q, au ni mtu tuu ametoa mawazo tofauti, wewe huyapendi, ndio unamtukana ana low I.Q?.
Ndipo nikaanza kujiuliza, jee kuna uwezekano watu wenye I.Q ndogo ni kutokana na makabila yao, kiwango chao umasikini kwenye makuzi, au pia heights zao have something to do with low I.Q, yaani mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi?.
Naomba kukiri zaidi ya kukosa usingizi, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na hoja za mwana jf huyu, jidu-la-mabambasi, katika bandiko lake hili
Juma Nkamia ana tatizo la msingi!
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.
Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wahadzabe, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!.
Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari zingejaa Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila wasingegusa secondari!.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwasomesha kwa nguvu watoto 4 wa kabila la Wahadzabe, wote walifeli darasa la saba, lakini akalazimisha waende sekondari kwa lazima. Wakasomea pale Pugu, na wote wanne walipata Divisheni Zero!.
Niliwahi kuuliza swali hili, sikupata jibu
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ni Div IV na Div Zero Tuu?!.
Ila pia kuna uhusiano kati ya heigh ya mtu na akili zake, mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi!' Anza kuwa observe heights za waropokaji bungeni, utaniambia!'
Hili la watu wafupi, nililizungumza hapa, wanafanya vitu vya ajabu kutafuta recognition ili ku compensate inferiority complex yao inayosababishwa na height!.
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?
Hili la poverty level na low I.Q lina athari kubwa kisiasa, angalia levels za umasikini kwenye maeneo watu waliochagua upinzani, ulinganishe na ngome za CCM, utakuta kwenye umasikini uliotopea ndizo ngome za CCM, na kule kwenye ehueni, ndio wamewachagua wapinzani, angalia Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Tanga, Iringa, Mbeya etc, mkoa kama Dodoma hauwezi kuchagua upinzani, they are just too poor to understand wanachagua nini!. Hata Singida, Lissu is an exceptional case. Hivyo hii situation ya I.Q level ina effects kwenye siasa zetu, hivyo kuendelea kushinda kwa CCM, has something to do with this na nilisema hapa
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Hoja zote hizo zinauhusiano na I.Q, na kitu cha ajabu kabisa, kwa kadri vyuma vinavyobana, ndivyo CCM inavyoimarika, mtashuhudia 2020, karibu majimbo yote ya upinzani kama sio yote kabisa huku bara, yatairejesha CCM, upinzani utaanza tena 2025 baada ya rais Magufuli kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati, na kuumaliza umasikini.
NB. Kwenye every general rules, there is always exceptional to the case, hivyo hivyo kuna watu wa makabila masikini wenye high I.Q, na kuna watu wafupi wenye akili ndefu na kuna mijitu mibonge yenye akili fupi and vice versa!.
Paskali
Rejea
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
------------
Mdau field marshall1 amepanua wigo wa mjadala huu. Unaweza kusoma hoja zake na kushiriki mjadala >> Tatizo la ufukara kwa baadhi ya makabila ni mfumo wa maisha (Lifestyles)
I base on the psychology point of views plus researches.
All that has nothing to do with IQ data from different tribes.
You can use the findings from the research to reach into a few conclusions on the subject matter.
Mfano swali la mleta mada lilihusu pia IQ za short people. Researches hazijaonyesha hilo, zaidi ya low self esteem.
Sasa huwezi kuniambia nikuletee data za watu wote wafupi, zinazoonyesha kwamba wana low self esteem.
Huwezi kuniambia nikuletee data za watanzania wote waliopima IQ, ili nifanye comparison na wapi?
Again, either a gross misunderstanding, or maybe something else, I don’t know.
Those are my two cents for now.
Wanabodi,

Mimi tofauti na wewe ninajadili jinsi gani nchi yetu ilianza kuingia ktk ustaarabu wa kizungu. Licha ya matatizo ya hapa na pale bado maeneo haya yanaendelea kuongoza ktk elimu na maisha bora kiafya,malazi na chakula.Samahani mkuu, usinichukie kwa nitakachokuambia. Kwakuwa bado sijajua ni nini hasa maana ya hiyo IQ, ila kama ikimaanisha "akili by nature" wewe ni miongoni mwa wenye IQ ndogo kabisa, mada ni IQ wewe Unazungumzia tawala na watawala na namna walivyotawala.
Kila kitu ni sawia kama kitatendeka ktk wakati wake muafaka, ndo mana hata utumwa ulihalalishwa ktk nyakati fulanifulani kidini na kimungu pia.
Hapa mada ni IQ, inawezekana mleta Uzi aliuleta kwa malengo na mrengo kama wako, ila mjadala ni je hiyo iitwayo IQ hutegemeana na vigezo alivyovitaja? Ndo maana wengine wakahitaji kujua hata hiyo IQ ni nini? Rudi kwenye mstari. Nilishatanguliza samahani hapo awali.
Mada hapa ilikuwa ni IQ na hoja zake, bado hatujapewa tafasiri sahihi ya IQ mimi napenda kuihusisha zaidi na akili. Kama ndivyo, basi akili si jambo la kujifunza darasani. Ni kitu mtu anazaliwa nacho tu. Na kama ni hivyo, hoja za zilizotolewa humu na ndugu Pascal, zipimwe kwa kuzingatia maisha ya awali kabisa kabla ya ujio wa wageni nchini.Mimi tofauti na wewe ninajadili jinsi gani nchi yetu ilianza kuingia ktk ustaarabu wa kizungu. Licha ya matatizo ya hapa na pale bado maeneo haya yanaendelea kuongoza ktk elimu na maisha bora kiafya,malazi na chakula.
Katika awamu ya kwanza Mwalimu Nyerere alitaka kuinua maeneo yaliyo kuwa nyuma kwa kuwachukua watoto wao wakiwa na alama ndogo za ufaulu na kuwapeleka ktk mikoa iliyo kuwa imetangulia. Bahati mbaya karibia wote hawakurudi vijijini kwao. Lakini wakaskazini walizi kuongeza fursa na hiyo gap inazidi kuongezeka.
Fanya tafiti uje na majibu. Hapa utapewa personal feeling. lakini ukifanya tafiti itasaidia kuja na logical answers related to the matter.Many Low IQs Are Just Bad Luck. ... The researchers say their finding is one of the first steps in understanding the underlying causes of this condition (also known as mental retardation), which is marked by having an IQ below 70, and is — perhaps surprisingly — the costliest of all health problems .
Explain what you mean by “The entire IQ concept is data driven”Jmushi1;
There's no short cuts. The entire IQ concept is data driven and it hasn't been used in Tanzania. So using it to make bold conclusion about particular demographic in Tanzania is being very irresponsible.
Furthermore, you don't need the data set of the entire nation to draw a conclusion. A statistical sample can do the trick.
fact broSio kweli kuwa IQ ya mtu inakuwa influenced na Kabila.
" Kabila " has nothing to do with IQ.
Kuna wengine kujua tu lugha ndio kunamfanya awe wa kabila alilo nalo baas.
Ila nutrition au Diet inaweza kuinfluence IQ ya mtu hasa mtoto.
Kwa ulaya, karne nyingi za zamani ndizo zilizotoa geniuses wengi maarufu duniani na waliofanya gunduzi mbalimbali. Kama akina Michael Faraday, Albert Einstein, Aristotle, Alexander Bell, Isac Newton, Macnon na wanafalsafa mbalimbali wakubwa.
Miaka hii ambayo kwa ulaya na Amerika chakula kimeboreshwa sana kiubora hatuoni watu wenye IQ kubwa kama zamani.
Wajapan wana IQ kubwa mno na wanasema sababu ni kuwa wanakula sana raw marine organisms
Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kuwepo katika kabila lolote lile kiasili ila anaweza asije kujulikana kwasababu ya mazingira yanayomzunguka na jamii anayoishi nayo.
Suala la Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa kuwa wengi katika nyanja za elimu linatokana na suala la kihistoria ambalo ni
Uanzishwaji wa makanisa,hospitali, shule, na taasisi nyingi za kielimu katika ardhi yao, uliofanywa na wakoloni
Na ndio maana kuna idadi kubwa sana ya Wakristo walio wasomi kuliko Waislam tangu enzi hizo kwasababu taasisi hizo za elimu, dini na afya zilianzishwa katika mikoa yao, mfano Kilimanjaro, Mbeya, Kagera na hata Arusha pia kuna taasisi nyingi za elimu za wakoloni.
Mikoa yenye waislam wengi (kasoro wagogo tu) ndiyo uliyoiorodhesha katika list ya wenye IQ ndogo kama Mtwara, Lindi, Kondoa(kwa warangi), Wanyaturu.
Pia ingekuwa ni suala la chakula pekee iongezayo IQ basi wasukuma, wahehe na watu wa morogoro wenye vyakula haswa nao wangekuwa wengi vyuoni ila sivyo ilivyo mpaka sasa.
This case is mainly based on historical matter.
Jina lako tu NKOLLOLO. Kijiji kilichopo mashariki mwa wilaya ya bariadi.Basi kuanzia leo jua kuwa wasukuma wana IQ KUBWA sana , walechelewa kusoma kwasababu ya ufugaji ila kwasasa n moja ya kabila linalokuja juu sana kielemu nchini, we nenda vyuon ukaone idadi ya wasukuma na wako vizr kimasoma balaa , by da way nowdays kuna wasukuma wengi tu wasomi nchini ukilinganisha na makabila mengne na kufikia mwaka 2025 utaniambia idadi yao, mfano wakazi wa mkoa wa simiyu wako vzr sana kielimu hata kiuchumi , wakazi wake wana kipato cha kati:
Wanabodi,
Usingizi umekata kutokana na mawazo ya huku kukaza kwa vyuma!, mtu unalala hujui kesho siku itaanza vipi, ukiwa totally empty!. Hivyo faraja yangu pekee ni JF. Nimesoma uzi fulani, nikaanza kuwaza na kujiuliza maswali huku mengine nikijijibu mwenyewe.
Huu ni uzi wa swali kuhusu I.Q za baadhi ya wanasiasa wetu wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, wakiwemo mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa, na vigogo wengine wengi, hivyo nikajiuliza kwanza jee ni kweli hawa wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, jee ni kweli wana low I.Q, au ni mtu tuu ametoa mawazo tofauti, wewe huyapendi, ndio unamtukana ana low I.Q?.
Ndipo nikaanza kujiuliza, jee kuna uwezekano watu wenye I.Q ndogo ni kutokana na makabila yao, kiwango chao umasikini kwenye makuzi, au pia heights zao have something to do with low I.Q, yaani mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi?.
Naomba kukiri zaidi ya kukosa usingizi, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na hoja za mwana jf huyu, jidu-la-mabambasi, katika bandiko lake hili
Juma Nkamia ana tatizo la msingi!
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.
Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wahadzabe, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!.
Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari zingejaa Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila wasingegusa secondari!.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwasomesha kwa nguvu watoto 4 wa kabila la Wahadzabe, wote walifeli darasa la saba, lakini akalazimisha waende sekondari kwa lazima. Wakasomea pale Pugu, na wote wanne walipata Divisheni Zero!.
Niliwahi kuuliza swali hili, sikupata jibu
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ni Div IV na Div Zero Tuu?!.
Ila pia kuna uhusiano kati ya heigh ya mtu na akili zake, mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi!' Anza kuwa observe heights za waropokaji bungeni, utaniambia!'
Hili la watu wafupi, nililizungumza hapa, wanafanya vitu vya ajabu kutafuta recognition ili ku compensate inferiority complex yao inayosababishwa na height!.
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?
Hili la poverty level na low I.Q lina athari kubwa kisiasa, angalia levels za umasikini kwenye maeneo watu waliochagua upinzani, ulinganishe na ngome za CCM, utakuta kwenye umasikini uliotopea ndizo ngome za CCM, na kule kwenye ehueni, ndio wamewachagua wapinzani, angalia Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Tanga, Iringa, Mbeya etc, mkoa kama Dodoma hauwezi kuchagua upinzani, they are just too poor to understand wanachagua nini!. Hata Singida, Lissu is an exceptional case. Hivyo hii situation ya I.Q level ina effects kwenye siasa zetu, hivyo kuendelea kushinda kwa CCM, has something to do with this na nilisema hapa
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Hoja zote hizo zinauhusiano na I.Q, na kitu cha ajabu kabisa, kwa kadri vyuma vinavyobana, ndivyo CCM inavyoimarika, mtashuhudia 2020, karibu majimbo yote ya upinzani kama sio yote kabisa huku bara, yatairejesha CCM, upinzani utaanza tena 2025 baada ya rais Magufuli kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati, na kuumaliza umasikini.
NB. Kwenye every general rules, there is always exceptional to the case, hivyo hivyo kuna watu wa makabila masikini wenye high I.Q, na kuna watu wafupi wenye akili ndefu na kuna mijitu mibonge yenye akili fupi and vice versa!.
Paskali
Rejea
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
------------
Mdau field marshall1 amepanua wigo wa mjadala huu. Unaweza kusoma hoja zake na kushiriki mjadala >> Tatizo la ufukara kwa baadhi ya makabila ni mfumo wa maisha (Lifestyles)
Nadhani wewe umeweza kuelezea kwa urahisi zaidi. Big up.Pascal mimi najua IQ tunazaliwa nazo.
Kuna vitu viwili tunakuwa programmed genetical na environmental.
Unaweza kuwa na IQ nzuri toka kwa wazazi wako au koo zote mbili kwa mama au baba (ndugu zako).
Lakini mazingira unayokulia toka mdogo mpaka ukubwani ndio tatizo kubwa. Yanaweza kuongeza uwezo wako wa IQ au kupunguza. KABILA linaingia kwenye mazingira, Wachaga, Wahaya Nk... wanawalea watoto wao ktk mazingira ya elimu, na yasio na mkusanyiko wa watu negative, sababu wao wamesoma, ndio maana wanachangia kuboresha IQ ambazo watoto wananazo. Wazaramu mtoto anaweza kuwa na IQ nzuri lakini inapotea kutokana na uswahili mwingi.....