Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii ni journalistic work wala si scientific documentary...waandishi wa habari kuwa bias inaruhusiwa...
Journalistic work that is meaningless? You can't be serious and I doubt you even understood what was being talked about and as a result you hide your lack of understanding behind dismissal.
Wapi nimekuachia burden of proof? Ndo maana toka jana nikakwambia wewe huna uwezo wa ku process nuance - hujui hata tofauti ya swali na kauli. Sasa hapa wapi nimekuachia burden of proof?
Really? Wewe huyu usiyeweza hata ku process simple nuance u-discuss PhD thesis ya mtu? Good grief!
Siatashangaa kabisa kama hata ulikuwa humwelewi maana kama huwezi kutofautisha kati ya kauli na swali hayo mengine utayaweza kweli? Sidhani.
Hapa ndo unazidi kuonyesha kwamba hujui mambo mengi.
Unadai mwandishi wa habari anaruhusiwa kuwa biased? Ni miiko ipi hiyo ya tasnia ya uandishi wa habari inayoruhusu waandishi kuwa biased?
Yaani unatoa kauli za ajabu ajabu tu ambazo haziendani kabisa na madai yako.
Moja ya tenets za journalism ni objectivity. Sasa wewe unadai eti waandishi wa habari wanaruhusiwa kuwa biased? Unasikitisha.
Ni kawaida ya watu wa type yako kukimbilia kwenye personal attacks...nimeshawazoea...te te te...labda utafute strategy mpya...huwezi ku ni 'belittle' kirahisi...te te te...huna huwezo wa ku argu bila ku maintain objectivity na substance...lazima umshambulie mtu...hizo ni character za watu wa aina gani? (kama hata unafahamu)
Ni kawaida ya watu wa type yako kukimbilia kwenye personal attacks...nimeshawazoea...te te te...labda utafute strategy mpya...huwezi ku ni 'belittle' kirahisi...te te te...huna huwezo wa ku argu bila ku maintain objectivity na substance...lazima umshambulie mtu...hizo ni character za watu wa aina gani? (kama hata unafahamu)
Sidhani hata kama unasoma magazeti wewe..kwa hiyo wewe journalists wako objective? sana sana wanatoa viashiria vya wapi kuna uwezekano wa kufanyika research...
But anyway...have a nice Friday...naona tumeshindwa kubishana kama adults...
Ila nyumba kubwa umedhibitisha kauli ya wale wanaodai kuwa nchi yetu ipo hapa ilipo kwa sababu ya wanawake.
Yaani mtakuwa vilaza kwa kuzaa wanaume vilaza wanaotawala hii nchi wapendavyo.
Unless useme watoto wanadesa intellgence tuu kwa mama zao na ukilaza kwa baba zao, acheni kuzaa vilaza.
Hehehehe !!!! .......embu futa kauli kabla sijaandamana humu yaani ukilaza wa nchi hii sababu ni wanawake,uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!
Na unatumia vibaya neno kuwa nuanced...
Yani unataka tukubali chocote in the name of being nuanced? kuwa nuanced ni kuangalia all possibilities na kuja na conclusion ambayo jibu linaweza lisiwe very certain...lakini umetoa clear premise za kukuwezesha kuchagua conclusion ulokuja nayo...
sasa wewe unatumia neno nuanced kama kichaka cha kuficha mapungufu ya kushindwa kuwa na premise ya conclusion?
Hiyo documentary haijasema chochote kuhusu hao wamama...imekuja na conclusion in a linear way...hakuna hata waliposema limitations; errors sijui precision etc.. afu uiite scientific work au journalist report?
Ngoja nikusaidie kidogo - ni 'cramming'.
Swali, hivi mtu mwenye uwezo wa ku cram vitu na akavikumbuka kwa usahihi wa hali ya juu, uwezo wake huo si ishara ya uwezo wa akili yake?
Hahahaa ndo maana yake. Kwa sababu kama watoto wanarithi akili za mama zao no wonder why nchi ipo kwenye hali iliyopo.
Ukilaza mwanzo mwisho. Hata toilet paper hatujawahi kugundua.
Hii sikubaliani nalo kabisa......duh!! sasahivi mtu yeyote akionekana kilaza lawama kwa mama,makubwa haya!!! Ila hata Biblia imesema mwana mwenye hekima humfurahisha babaye bali mwana mpumbavu ni mzigo kwa mamaye...loh! Wanawake tuna kazi.!!!!!
Hehehehe !!!! .......embu futa kauli kabla sijaandamana humu yaani ukilaza wa nchi hii sababu ni wanawake,uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!
Unaambiwa zaa mtoto mwenye akili wewe unakaidi unazaa kilaza, wakati unajua kabisa kuwa watoto wanarithi akili za mama zao kwa asilimia 100, unataka tafanyeje?
Tena nasema watakaoandamana humu wapigwe tuu na nasema muwapige tuu.
Maana tumechoka sasa.
Kwa wanaodai mtoto hurithi akili toka kwa mama basi pia hawana budi kukubali kuwa wanawake, hususan wa Kitanzania, wengi wao ni vilaza kwa sababu wanazaa watoto vilaza.
Kwa sababu, kama wako tayari kukubali tena kwa bashasha kwamba mtoto akiwa na akili darasani ni kwa sababu yao, basi pia wakubali mtoto akiwa kilaza ni kwa sababu yao.
Unamkumbuka yule binti wa Kikwete...yule Mwanaasha sijui...form four nadhani alipataga divisheni ziro. Si kosa lake, karithi ukilaza toka kwa mama yake, Salma Kikwete.
Unaambiwa zaa mtoto mwenye akili wewe unakaidi unazaa kilaza, wakati unajua kabisa kuwa watoto wanarithi akili za mama zao kwa asilimia 100, unataka tafanyeje?
Tena watakaoandamana humu wapigwe tuu na nasema muwapige tuu.
Maana tumechoka sasa kuwa na vilaza nchini.
Yule Mulugo naye si kosa lake. Ukilaza wake karithi tu toka kwa mama'ake.
Na kuna yule mama mmoja waziri/ mbunge (jina limenitoka kidogo..sijui anaitwa Sada..).
Naye alivyo kilaza vile watoto wake nao huenda ni vilaza.