Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hii ni journalistic work wala si scientific documentary...waandishi wa habari kuwa bias inaruhusiwa...
Hapa ndo unazidi kuonyesha kwamba hujui mambo mengi.
Unadai mwandishi wa habari anaruhusiwa kuwa biased? Ni miiko ipi hiyo ya tasnia ya uandishi wa habari inayoruhusu waandishi kuwa biased?
Yaani unatoa kauli za ajabu ajabu tu ambazo haziendani kabisa na madai yako.
Moja ya tenets za journalism ni objectivity. Sasa wewe unadai eti waandishi wa habari wanaruhusiwa kuwa biased? Unasikitisha.