Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

Hii ni journalistic work wala si scientific documentary...waandishi wa habari kuwa bias inaruhusiwa...

Hapa ndo unazidi kuonyesha kwamba hujui mambo mengi.

Unadai mwandishi wa habari anaruhusiwa kuwa biased? Ni miiko ipi hiyo ya tasnia ya uandishi wa habari inayoruhusu waandishi kuwa biased?

Yaani unatoa kauli za ajabu ajabu tu ambazo haziendani kabisa na madai yako.

Moja ya tenets za journalism ni objectivity. Sasa wewe unadai eti waandishi wa habari wanaruhusiwa kuwa biased? Unasikitisha.
 
Ni kawaida ya watu wa type yako kukimbilia kwenye personal attacks...nimeshawazoea...te te te...labda utafute strategy mpya...huwezi ku ni 'belittle' kirahisi...te te te...huna huwezo wa ku argu bila ku maintain objectivity na substance...lazima umshambulie mtu...hizo ni character za watu wa aina gani? (kama hata unafahamu)
Journalistic work that is meaningless? You can't be serious and I doubt you even understood what was being talked about and as a result you hide your lack of understanding behind dismissal.

Wapi nimekuachia burden of proof? Ndo maana toka jana nikakwambia wewe huna uwezo wa ku process nuance - hujui hata tofauti ya swali na kauli. Sasa hapa wapi nimekuachia burden of proof?

Really? Wewe huyu usiyeweza hata ku process simple nuance u-discuss PhD thesis ya mtu? Good grief!

Siatashangaa kabisa kama hata ulikuwa humwelewi maana kama huwezi kutofautisha kati ya kauli na swali hayo mengine utayaweza kweli? Sidhani.
 
Sidhani hata kama unasoma magazeti wewe..kwa hiyo wewe journalists wako objective? sana sana wanatoa viashiria vya wapi kuna uwezekano wa kufanyika research...

But anyway...have a nice Friday...naona tumeshindwa kubishana kama adults...

Hapa ndo unazidi kuonyesha kwamba hujui mambo mengi.

Unadai mwandishi wa habari anaruhusiwa kuwa biased? Ni miiko ipi hiyo ya tasnia ya uandishi wa habari inayoruhusu waandishi kuwa biased?

Yaani unatoa kauli za ajabu ajabu tu ambazo haziendani kabisa na madai yako.

Moja ya tenets za journalism ni objectivity. Sasa wewe unadai eti waandishi wa habari wanaruhusiwa kuwa biased? Unasikitisha.
 
Ni kawaida ya watu wa type yako kukimbilia kwenye personal attacks...nimeshawazoea...te te te...labda utafute strategy mpya...huwezi ku ni 'belittle' kirahisi...te te te...huna huwezo wa ku argu bila ku maintain objectivity na substance...lazima umshambulie mtu...hizo ni character za watu wa aina gani? (kama hata unafahamu)

Umesema nimekuachia burden of proof? Ni wapi nilipokuachia burden of proof?

Umesema hiyo docu ni journalistic work ambayo ni meaningless - huja delineate how is it meaningless.

Unadismiss vitu wholesale na unatoa madai ya ajabu. Unataka nihitimishe nini sasa?

Haya, tu stick kwenye substance - jibu hayo maswali yangu basi.
 
Na unatumia vibaya neno kuwa nuanced...

Yani unataka tukubali chocote in the name of being nuanced? kuwa nuanced ni kuangalia all possibilities na kuja na conclusion ambayo jibu linaweza lisiwe very certain...lakini umetoa clear premise za kukuwezesha kuchagua conclusion ulokuja nayo...

sasa wewe unatumia neno nuanced kama kichaka cha kuficha mapungufu ya kushindwa kuwa na premise ya conclusion?

Hiyo documentary haijasema chochote kuhusu hao wamama...imekuja na conclusion in a linear way...hakuna hata waliposema limitations; errors sijui precision etc.. afu uiite scientific work au journalist report?
 
Ni kawaida ya watu wa type yako kukimbilia kwenye personal attacks...nimeshawazoea...te te te...labda utafute strategy mpya...huwezi ku ni 'belittle' kirahisi...te te te...huna huwezo wa ku argu bila ku maintain objectivity na substance...lazima umshambulie mtu...hizo ni character za watu wa aina gani? (kama hata unafahamu)

Ila nyumba kubwa umedhibitisha kauli ya wale wanaodai kuwa nchi yetu ipo hapa ilipo kwa sababu ya wanawake.

Yaani mtakuwa vilaza kwa kuzaa wanaume vilaza wanaotawala hii nchi wapendavyo.

Unless useme watoto wanadesa intellgence tuu kwa mama zao na ukilaza kwa baba zao, acheni kuzaa vilaza please.

We need intellgent leaders kutuondoa hapa tulipo.

Hata kama ni kutumia madawa kuzaa watoto wenye akili tumieni maana tumechoka sasa.

Unaambiwa zaa mtoto mwenye akili wewe unazaa kilaza, wakati unajua watoto wanarithi akili za mama zao kwa asilimia 100, unataka tafanyeje?
 
Last edited by a moderator:
Sidhani hata kama unasoma magazeti wewe..kwa hiyo wewe journalists wako objective? sana sana wanatoa viashiria vya wapi kuna uwezekano wa kufanyika research...

Hahahaaa ndo maana nakuambia hujui mambo lakini unaandika kama vile unajua. Kwenye tasnia nzima ya habari kuna viji-sekta kadhaa. Kuna Op-ed, kuna commentary, kuna reportage na kadhalika.

Sasa wewe hapa nadhani unachoongelea ni vitu kama op-ed (opinion-editorial). Na kama jina lilivyo, hizo ni opinions za mtu (mwandishi) ambazo zinakuwa opposite na editorial page.

Journalists wanatakiwa wawe objective katika reportage. Hawatakiwi wa inject opinions zao. Wanatikiwa waripoti facts. They report, you decide.

Op-eds siyo new reporting. Hao wanaoandika op-eds si lazima wawe objective. After all, they are writing opinions. Sasa wewe ukiona op-eds na commentary unadhani ndo news zenyewe hizo? Come on now, I expected you to at least know this.

But anyway...have a nice Friday...naona tumeshindwa kubishana kama adults...

Ni ngumu kujadili kama adults kama mtu hujui hata tofauti ya op-ed na news reporting!

And just an FYI, I was a staff writer for my college's student run newspaper.
 
Ila nyumba kubwa umedhibitisha kauli ya wale wanaodai kuwa nchi yetu ipo hapa ilipo kwa sababu ya wanawake.

Yaani mtakuwa vilaza kwa kuzaa wanaume vilaza wanaotawala hii nchi wapendavyo.

Unless useme watoto wanadesa intellgence tuu kwa mama zao na ukilaza kwa baba zao, acheni kuzaa vilaza.

Hehehehe !!!! .......embu futa kauli kabla sijaandamana humu yaani ukilaza wa nchi hii sababu ni wanawake,uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe !!!! .......embu futa kauli kabla sijaandamana humu yaani ukilaza wa nchi hii sababu ni wanawake,uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!

Hahahaa ndo maana yake. Kwa sababu kama watoto wanarithi akili za mama zao no wonder why nchi ipo kwenye hali iliyopo.

Ukilaza mwanzo mwisho. Hata toilet paper hatujawahi kugundua.
 
Na unatumia vibaya neno kuwa nuanced...

Yani unataka tukubali chocote in the name of being nuanced? kuwa nuanced ni kuangalia all possibilities na kuja na conclusion ambayo jibu linaweza lisiwe very certain...lakini umetoa clear premise za kukuwezesha kuchagua conclusion ulokuja nayo...

sasa wewe unatumia neno nuanced kama kichaka cha kuficha mapungufu ya kushindwa kuwa na premise ya conclusion?

Hiyo documentary haijasema chochote kuhusu hao wamama...imekuja na conclusion in a linear way...hakuna hata waliposema limitations; errors sijui precision etc.. afu uiite scientific work au journalist report?

Hayo mambo ya nuance nimeyaleta baada ya wewe kushindwa kutofautisha kati ya kauli na swali uliposema (ulipoandika) kwamba mimi nimesema (nimeandika) kwamba wanawake hawapendi masomo ya sayansi.

Au ushasahau mara hii?
 
Kukariri au ku cram au kujifunza kipurure ni jia kujifunga kwa kukumbuka neno kwa neno sentenso kwa sentenso aya kwa aya nk nk. Njia hii ina kasoro moja kubwa kuwa ni rahisi kusahau kwa muda mfupi mambo uliyojifunza. Ukibadilishiwa kidogo sio rahisi kujua. Ni nija nzuri kwa mambo usiyohitaji kuyakumbuka kwa muda mrefu
Ngoja nikusaidie kidogo - ni 'cramming'.

Swali, hivi mtu mwenye uwezo wa ku cram vitu na akavikumbuka kwa usahihi wa hali ya juu, uwezo wake huo si ishara ya uwezo wa akili yake?
 
Hahahaa ndo maana yake. Kwa sababu kama watoto wanarithi akili za mama zao no wonder why nchi ipo kwenye hali iliyopo.

Ukilaza mwanzo mwisho. Hata toilet paper hatujawahi kugundua.

Hapana mimi toka mwanzo nilikataa hii kitu akili kila mtu ana zake bana ila tabia kweli wamama wengi wanao uwezo mkubwa wa kurithisha watoto wao.

Hii sikubaliani nalo kabisa......duh!! sasahivi mtu yeyote akionekana kilaza lawama kwa mama,makubwa haya!!! Ila hata Biblia imesema mwana mwenye hekima humfurahisha babaye bali mwana mpumbavu ni mzigo kwa mamaye...loh! Wanawake tuna kazi.!!!!!
 
Kwa wanaodai mtoto hurithi akili toka kwa mama basi pia hawana budi kukubali kuwa wanawake, hususan wa Kitanzania, wengi wao ni vilaza kwa sababu wanazaa watoto vilaza.

Kwa sababu, kama wako tayari kukubali tena kwa bashasha kwamba mtoto akiwa na akili darasani ni kwa sababu yao, basi pia wakubali mtoto akiwa kilaza ni kwa sababu yao.

Unamkumbuka yule binti wa Kikwete...yule Mwanaasha sijui...form four nadhani alipataga divisheni ziro. Si kosa lake, karithi ukilaza toka kwa mama yake, Salma Kikwete.
 
Hehehehe !!!! .......embu futa kauli kabla sijaandamana humu yaani ukilaza wa nchi hii sababu ni wanawake,uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!

Unaambiwa zaa mtoto mwenye akili wewe unakaidi unazaa kilaza, wakati unajua kabisa kuwa watoto wanarithi akili za mama zao kwa asilimia 100, unataka tafanyeje?

Tena watakaoandamana humu wapigwe tuu na nasema muwapige tuu.

Maana tumechoka sasa kuwa na vilaza nchini.
 
Tena nasema watakaoandamana humu wapigwe tuu na nasema muwapige tuu.

Maana tumechoka sasa.

Yule Mulugo naye si kosa lake. Ukilaza wake karithi tu toka kwa mama'ake.

Na kuna yule mama mmoja waziri/ mbunge (jina limenitoka kidogo..sijui anaitwa Sada..).

Naye alivyo kilaza vile watoto wake nao huenda ni vilaza.
 
Kwa wanaodai mtoto hurithi akili toka kwa mama basi pia hawana budi kukubali kuwa wanawake, hususan wa Kitanzania, wengi wao ni vilaza kwa sababu wanazaa watoto vilaza.

Kwa sababu, kama wako tayari kukubali tena kwa bashasha kwamba mtoto akiwa na akili darasani ni kwa sababu yao, basi pia wakubali mtoto akiwa kilaza ni kwa sababu yao.

Unamkumbuka yule binti wa Kikwete...yule Mwanaasha sijui...form four nadhani alipataga divisheni ziro. Si kosa lake, karithi ukilaza toka kwa mama yake, Salma Kikwete.

Hahahahah!! Loh! Udhaifu wa kikwete mama yake pia anahusika,kuliakulia kwa Pinda sababu mama,Asumpta Mshana mama yake anahusika,duh!! Kazi ipo. Kwakweli kwa wanaokubali hii research wakubali na matokeo.... Mimi siamini hii research kwakweli hainihusu sijarithi kwa mama kabisaa!!!
 
Unaambiwa zaa mtoto mwenye akili wewe unakaidi unazaa kilaza, wakati unajua kabisa kuwa watoto wanarithi akili za mama zao kwa asilimia 100, unataka tafanyeje?

Tena watakaoandamana humu wapigwe tuu na nasema muwapige tuu.

Maana tumechoka sasa kuwa na vilaza nchini.

Hahahahah!! Sasa kama mimi kilaza ntazaaje genius mtajuta kuoa wanawake vilaza...
EMT mimi binafsi sikubaliani na hili mtoto hatoi akili kwa mama,kila mtu ana akili yake aliyojaliwa na mwenyezi Mungu ni jinsi tu ya kuitumia.
 
Last edited by a moderator:
Yule Mulugo naye si kosa lake. Ukilaza wake karithi tu toka kwa mama'ake.

Na kuna yule mama mmoja waziri/ mbunge (jina limenitoka kidogo..sijui anaitwa Sada..).

Naye alivyo kilaza vile watoto wake nao huenda ni vilaza.

Halafu unawezamkuta mama ana watoto wawili mmoja kipanga na mwingine kilaza wa kutupa.

Kama wote wanapata huo ukipanga na ukilaza wa asilimia 100 toka kwa mama yao, basi huyo mama itabidi akapimwe genes zake.
 
kwenye series ya prison break Michael Scolfield alikuwa intelligence sana ikaelezea kuwa hizo akili nyingi alirithi kwa mama yake bi. Christinarose Scolfield.
 
Mazingira kwa Maana ya malezi ndio vina Impact kubwa sana kwenye IQ mtoto

Hata kama mama ni kichwa kama mtoto hatolelewa kwenye mazingira ya kukuza upeo wake basi atakuwa kilaza

Hii ina Maana kwamba mama anaweza kuwa kilaza lakini mtoto akaja kuwa vizuri kichwani. Nina mifano mingi ya uswahilini kwetu ambapo unaona kabisa bimkubwa kilaza lkn mtoto wake kila term anachukua nafasi ya kwanza Kwasababu ya bidii yake ya kujisomea ambayo inakuza upeo wake
 
Back
Top Bottom