Je, kuna ukweli kuhusu dunia kwenda kasi?

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
2,044
Reaction score
4,558
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.

Je, kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?

Ma astrologists na wenye kuliona hili leteni experiences.
 
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.

Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?

Jua linachomoza saa ngapi na kutuama saa ngapi?
Masaa ya kazi yamebadilika?
 
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.

Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?

Ma astrologists na wenye kuliona hili leteni experiences.
Ukiwa huna kazi dunia iko too slow lakini Kama ni mtu busy dunia yetu inazunguka kwa Kasi sana
 
Kunakucha haraka kwa wenye madeni
 
Nazifahamu hizo, sijabaze kwenye ukaribu na umbali wa jua, nimebase kwenye speed ya rotation na revolution regardless ya hizo concepts.
Then kama unajua hilo ,basi pia nadhani utakuwa unajua kuwa ...
  • Speed ya rotation ya planet inaongezeka directly proportional na Ukaribu wake na jua.....
  • Speed ya Revolution ya object around a point ni directly proportional na distance from the point...principle ya circular motion
  • Jua kuwahi kuchomoza na kuwahi kuzama ni matokeo ya hizo term mbili...
  • Pia perception of time huwa affected na Gravity, kadri unavyokuwa Nyanda za juu,ndipo una perceive time tofauti....pitia Newton's law of relativity.
NOTE:
mwaka haunaga idadi constant ya siku na masaa,huwa yanaongezeka au kupungua...

Athirika la hapo chini,lina fanta kazi ya kuhakikisha saa za duniani, hazipotezi majors.
International Earth Rotation Service
 
Hkuna kilichobafikika ila wingi wa majukumu unasababisha kuto kukamilisha kwa wakati ndio maana unaona siku saa na miezi inaenda!
Hivi juzi tu tukisherehekea mwaka mpya lakini sio mbali sana tunaugawa mwaka.
 
Kulingana na physics miaka inavyozid kusogea wataalamu wanasema speed ya Dunia inapungua Kwa kiasi kidogo saaaaaana muda unavozidi kwenda. Haiongezeki inapungua kulingana na factors mbali mbali
Mbona kama unakimbia mkuu, uthibitisho ni upi?
 
Then kama unajua hilo ,basi pia nadhani utakuwa unajua kuwa ...
  • Speed ya rotation ya planet inaongezeka directly proportional na Ukaribu wake na jua.....
  • Speed ya Revolution ya object around a point ni directly proportional na distance from the point...principle ya circular motion
  • Jua kuwahi kuchomoza na kuwahi kuzama ni matokeo ya hizo term mbili...
  • Pia perception of time huwa affected na Gravity, kadri unavyokuwa Nyanda za juu,ndipo una perceive time tofauti....pitia Newton's law of relativity.
NOTE:
mwaka haunaga idadi constant ya siku na masaa,huwa yanaongezeka au kupungua...

Athirika la hapo chini,lina fanta kazi ya kuhakikisha saa za duniani, hazipotezi majors.
International Earth Rotation Service
Nazielewa vizuri hizo concepts.
 
Hkuna kilichobafikika ila wingi wa majukumu unasababisha kuto kukamilisha kwa wakati ndio maana unaona siku saa na miezi inaenda!
Hivi juzi tu tukisherehekea mwaka mpya lakini sio mbali sana tunaugawa mwaka.
Tyr March soon tunaukata mwaka nusu. Uzee huu hapa🤣
 
Ukiwa huna kazi dunia iko too slow lakini Kama ni mtu busy dunia yetu inazunguka kwa Kasi sana
Yah.
Ukijiona uko kwenye state kama ya mleta mada bas jua kuwa

  • unaishi kwa malengo na unakimbizana sana kuona malengo yanatimia
  • una ratiba yenye mambo mengi sana, yan unaanza siku ukijua unatakiwa kuwa wapi saa ngap kufanya jambo gani. Mara nyingi ukiwa kwenye hali hii unajikuta hata dakika 5 kwako ni muda wa thaman sana.
 
Back
Top Bottom