Je, kuna ukweli kuhusu dunia kwenda kasi?

Yah.
Ukijiona uko kwenye state kama ya mleta mada bas jua kuwa

  • unaishi kwa malengo na unakimbizana sana kuona malengo yanatimia
  • una ratiba yenye mambo mengi sana, yan unaanza siku ukijua unatakiwa kuwa wapi saa ngap kufanya jambo gani. Mara nyingi ukiwa kwenye hali hii unajikuta hata dakika 5 kwako ni muda wa thaman sana.
NNaam" mkuu
 
Hebu tumsikilize Prof. Yesu anasemaje;
Screenshot_20240503-103308.jpg
 
Ililitabiriwa kwenye kitabu kutakatifu, kiama kikikaribia muda utakuwa unaenda mbio sana. Itafika kipindi Mwezi utakuwa kama wiki na wiki kama siku. Personally mwaka 2014 ndo nlianza kuona masaa yanaenda chap na sku moja nkaskia kwenye radio wanajadili kuwa mbna huu mwaka unaenda kasi sana.
 
Sijaelewa, saa zenu sekunde zinaruka au inakuwa vipi?
 
Ililitabiriwa kwenye kitabu kutakatifu, kiama kikikaribia muda utakuwa unaenda mbio sana. Itafika kipindi Mwezi utakuwa kama wiki na wiki kama siku. Personally mwaka 2014 ndo nlianza kuona masaa yanaenda chap na sku moja nkaskia kwenye radio wanajadili kuwa mbna huu mwaka unaenda kasi sana.
Kuna ukweli hapo, tatizo watu wanahisi kwasababu masaa yako vilevile masaa ndio hayabadiliki ila wakati unakimbia vilivyo.
 
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.

Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?

Ma astrologists na wenye kuliona hili leteni experiences.
Unavyozidi kuishi ndivyo muda ule ule kama sehemu ya maisha yako unavyoonekana kupita kwa kasi zaidi, kisaikolojia.

Kwa mfano, kwa mtoto wa miaka miwili, mwaka mmoja ni nusu ya umri wake.

Kwa mtu mwenye miaka 100, mwaka mmoja ni asilimia moja tu ya umri wake.

Hivyo, mwaka mmoja unaweza kuonekana unapita kwa kasi sana kwa mtu mwenye miaka 100 ukilinganishwa na muda huo huo utakavyoonekana kwa mtoto wa miaka miwili.
 
So unataka kusema, perception of time is directly proportional to age?
 
Mostly.

Ukiwa na miaka 100 mwaka mmoja ni 1% tu ya uzoefu wako wote wa muda. Ukiwa na miaka miwili mwaka mmoja ni 50%.

It's psychological.

Katika uhalisia wa kupita muda, hakuna kinachobadilika.

Kuna topic nyingine tofauti kabisa ya time dilation, but that is relativistic physics and totally outside the scope of the original question here.
 
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.

Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?

Ma astrologists na wenye kuliona hili leteni experiences.
njaa njaa njaa lazma uone spidi ya dunia iko kasi sana
 
Mostly.

Ukiwa na miaka 100 mwaka mmoja ni 1% tu ya uzoefu wako wote wa muda. Ukiwa na miaka miwili mwaka mmoja ni 50%.

It's psychological.

Katika uhalisia wa kupita muda, hakuna kinachobadilika.

Kuna topic nyingine tofauti kabisa ya time dilation, but that is relativistic physics and totally outside the scope of the original question here.
Emb elezea kwa ufupi time dilation mkuu, ukute ndo nachotafuta!
 
SI unit ya time ni second. Je second inapatikana vipi?
Tunaona miaka mingi imepita hadi leo kwa mujibu wa sayansi cesium 133 ndo inatumika kupima a pulse of second sawa na 9,192,631,770 Hertz.

Hizo namba ni matokeo ya microwave energy ziki sweep backward and forward na each cycle ina complete exactly kwenye hizo number za frequency.

Kwa mantiki hiyo muda ni ule ule, kinachobadilika ni vile kadri umri unaongezeka tunapunguza mambo ya kutunza as image tofauti na mtoto, na vile vile technology imekuwa hivyo mambo ni mengi inapelekea kukosa focus ndipo tunaona kuwa muda unakwenda kasi sababu ya distraction, mtu anayeishi kwenye msongamano wa watu na anayeishi kwenye utulivu wana experience tofauti ya muda.
 
Back
Top Bottom