Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo scenario ya The Flash ipo katika quantum physics ya many worlds interpretation ya Everett.Exactly mkuu, japo hii scenario haihusiani na ishu niliyodiscuss kwenye uzi ila tyr nimepata concepts kuhusu muda. Kuna movie nilicheki inaitwa the flash by marvels. wamegusia hio point ya velocity kuwa if you accelerate beyong the speed of light unaweza kufikia hatua ya traverse dimensions za mda, ukarudi na kubadilisha matukio, japo walikuja kugundua dimension ya muda iko multidimensional yaan ukibadilisha a tiny speck of it unaweza jikuta umeingia dimension nyngine tofauti kabis na ile uliyopo. Japo hizi zinaonekana kama fictions ila ukiangalia kwa jicho la physics zina make sense japo kwa mbali sana.
Point zako zote zipo sawa(variations of time based on velocity, gravity, and reference point)sema, kwa inshu yangu itakuwa psychological kama ulivyo eleza.
Kwangu vina make sense, vina relate na majambo fulani fulani niliyojifunza kwenye imani, nikijaribu kulinganisha naona kuna jambo hapa.Exactly mkuu, japo hii scenario haihusiani na ishu niliyodiscuss kwenye uzi ila tyr nimepata concepts kuhusu muda. Kuna movie nilicheki inaitwa the flash by marvels. wamegusia hio point ya velocity kuwa if you accelerate beyong the speed of light unaweza kufikia hatua ya traverse dimensions za mda, ukarudi na kubadilisha matukio, japo walikuja kugundua dimension ya muda iko multidimensional yaan ukibadilisha a tiny speck of it unaweza jikuta umeingia dimension nyngine tofauti kabis na ile uliyopo. Japo hizi zinaonekana kama fictions ila ukiangalia kwa jicho la physics zina make sense japo kwa mbali sana.
Point zako zote zipo sawa(variations of time based on velocity, gravity, and reference point)sema, kwa inshu yangu itakuwa psychological kama ulivyo eleza.
OK nitaipitia hizo info.Hiyo scenario ya The Flash ipo katika quantum physics ya many worlds interpretation ya Everett.
![]()
Many-worlds interpretation - Wikipedia
en.wikipedia.org
Sure, there's something going on in other realms bado havijagunduliwa na wakati unakimbia like never before sema bcoz hakuna vivid explanation ndo maana wengine wana insist kwenye perception sijui majukumu na ukuwaji.Nimekuelewa mkuu, hili suala limenichanganya lakini kwa kuwa dini yangu iliongelea nimebaki kukubali kiIMANI, mtume s.a.w alisema katika dalili za kiama ni muda kwenda haraka, inafika hatua mwaka ni kama miezi kadhaa tu, mwezi ni kama wiki(naona hatujafikia huko ila tunaelekea)
Siku zinapukutika fasta mkuu, unaamka unashangaa, jua tayari, yaani calculations zake zinaumiza kichwa saa ni ile ile dk 60 lakini ni zinapukutika hatari.
Ni juzi tu hapa ilikuwa mwaka mpya, muda si mrefu unasikia mwaka umeisha.
Nilijaribu kurelate na TIME RELATIVITY, hii nayo imeongelewa kiasi kwenye dini.
Nikaishia kukubali.