Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
NNaam" mkuuYah.
Ukijiona uko kwenye state kama ya mleta mada bas jua kuwa
- unaishi kwa malengo na unakimbizana sana kuona malengo yanatimia
- una ratiba yenye mambo mengi sana, yan unaanza siku ukijua unatakiwa kuwa wapi saa ngap kufanya jambo gani. Mara nyingi ukiwa kwenye hali hii unajikuta hata dakika 5 kwako ni muda wa thaman sana.
Kwa hiyo wateule tu ndo tunaona siku kifupishwa? Au nimeelewa vibaya? Maana maandiko nayo huishiHebu tumsikilize Prof. Yesu anasemaje;
View attachment 2979587
Zinafupishwa kwa wote . Yaani anazifupisha kadri dunia inavyoelekea ukingoni. Lakini ni kwa faida ya wateule pekeeKwa hiyo wateule tu ndo tunaona siku kifupishwa? Au nimeelewa vibaya? Maana maandiko nayo huishi
Sijaelewa, saa zenu sekunde zinaruka au inakuwa vipi?Ililitabiriwa kwenye kitabu kutakatifu, kiama kikikaribia muda utakuwa unaenda mbio sana. Itafika kipindi Mwezi utakuwa kama wiki na wiki kama siku. Personally mwaka 2014 ndo nlianza kuona masaa yanaenda chap na sku moja nkaskia kwenye radio wanajadili kuwa mbna huu mwaka unaenda kasi sana.
Kuna ukweli hapo, tatizo watu wanahisi kwasababu masaa yako vilevile masaa ndio hayabadiliki ila wakati unakimbia vilivyo.Ililitabiriwa kwenye kitabu kutakatifu, kiama kikikaribia muda utakuwa unaenda mbio sana. Itafika kipindi Mwezi utakuwa kama wiki na wiki kama siku. Personally mwaka 2014 ndo nlianza kuona masaa yanaenda chap na sku moja nkaskia kwenye radio wanajadili kuwa mbna huu mwaka unaenda kasi sana.
° Ukiwauliza waliochukua mkopo OYA manakwambia dunia inapaa.
° Ukiwauliza walioahidiwa tunda kimasihara kwa pisi kali wikiendi hii wanakwambia dunia inatembea kama kinyonga.
Unavyozidi kuishi ndivyo muda ule ule kama sehemu ya maisha yako unavyoonekana kupita kwa kasi zaidi, kisaikolojia.Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.
Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?
Ma astrologists na wenye kuliona hili leteni experiences.
So unataka kusema, perception of time is directly proportional to age?Unavyozidi kuishi ndivyo muda ule ule kama sehemu ya maisha yako unavyoonekana kupita kwa kasi zaidi, kisaikolojia.
Kwa mfano, kwa mtoto wa miaka miwili, mwaka mmoja ni nusu ya umri wake.
Kwa mtu mwenye miaka 100, mwaka mmoja ni asilimia moja tu ya umri wake.
Hivyo, mwaka mmoja unaweza kuonekana unapita kwa kasi sana kwa mtu mwenye miaka 100 ukilinganishwa na muda huo huo utakavyoonekana kwa mtoto wa miaka miwili.
Mostly.So unataka kusema, perception of time is directly proportional to age?
Una hoja nzuriUkiwa huna kazi dunia iko too slow lakini Kama ni mtu busy dunia yetu inazunguka kwa Kasi sana
njaa njaa njaa lazma uone spidi ya dunia iko kasi sanaKadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.
Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?
Ma astrologists na wenye kuliona hili leteni experiences.
Emb elezea kwa ufupi time dilation mkuu, ukute ndo nachotafuta!Mostly.
Ukiwa na miaka 100 mwaka mmoja ni 1% tu ya uzoefu wako wote wa muda. Ukiwa na miaka miwili mwaka mmoja ni 50%.
It's psychological.
Katika uhalisia wa kupita muda, hakuna kinachobadilika.
Kuna topic nyingine tofauti kabisa ya time dilation, but that is relativistic physics and totally outside the scope of the original question here.