Je, kuna ukweli kuhusu dunia kwenda kasi?

Hiyo scenario ya The Flash ipo katika quantum physics ya many worlds interpretation ya Everett.

 
Nimekuelewa mkuu, hili suala limenichanganya lakini kwa kuwa dini yangu iliongelea nimebaki kukubali kiIMANI, mtume s.a.w alisema katika dalili za kiama ni muda kwenda haraka, inafika hatua mwaka ni kama miezi kadhaa tu, mwezi ni kama wiki(naona hatujafikia huko ila tunaelekea)
Siku zinapukutika fasta mkuu, unaamka unashangaa, jua tayari, yaani calculations zake zinaumiza kichwa saa ni ile ile dk 60 lakini ni zinapukutika hatari.
Ni juzi tu hapa ilikuwa mwaka mpya, muda si mrefu unasikia mwaka umeisha.

Nilijaribu kurelate na TIME RELATIVITY, hii nayo imeongelewa kiasi kwenye dini.
Nikaishia kukubali.
 
Kwangu vina make sense, vina relate na majambo fulani fulani niliyojifunza kwenye imani, nikijaribu kulinganisha naona kuna jambo hapa.
 
Sure, there's something going on in other realms bado havijagunduliwa na wakati unakimbia like never before sema bcoz hakuna vivid explanation ndo maana wengine wana insist kwenye perception sijui majukumu na ukuwaji.
 
Deadline ya kodi ya nyumba +luku+maji+ada+marejesho+madeni+malengo++++

Yaani siku utaona zinakimbia utafikiri zimefungwa mota
 
Deadline ya kodi ya nyumba +luku+maji+ada+marejesho+madeni+malengo++++

Yaani siku utaona zinakimbia utafikiri zimefungwa mota
Hakika mkuu, 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…