Wengine wanasema ni jalala, like kuanzia vitu processed tunavyo kula viko chini ya viwango... Hatuna culture yetu mama, tunalishwa upuuzi na tunaiga tu, hata uzalendo ni shida kwa sisi wenyewe tu hadi ngazi ya familia watu wanachukiana kama wanyamaAfrica ni bara la giza kwenye mambo yote
Sisi tunachoweza ni majungu tuu, mpira tuwaachie wazunguKwa kinacho tokea world cup kuna namna kama huo msemo una coleration flani na reality
Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanainhiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi..
Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi nyeusi ina gundu? Au maturity ya decisions ndo chanzo..?
Hapana, coz hao ni high class players.. Sasa linabaki swali nini shida?
Hata tukiangalia soka la vilabu pia, wanao chukua back to back huwa ni waarabu tu, na ukiangalia vikosi vyao ndo mwafrika mweusi unakuta mmoja wawili..
Juzi tu hapa tulipongezana eti kati ya timu kumi zimeenda 9 Hatu ya 32, haya kikowapi? Shida iko wapi? Juzi kipindi Ivory Coast wanatolewa ilikua kama utani vile, haya leo hawa Senegal wenye kikosi kipana na kizuri kabisa, wanaongoza mbili mpaka dakika ya 85 imagine, wanarudishiwa na kushindwa kweli?? Just 5 min za kukaza Daah sisi lini tutakuwa smart kujua nini tunatafuta na kulinda kile kidogo tumepata..
This is enough, kumbe ni bora ile Ghana ya kina Asamouh Gyann leo mpira umebaki maonesho tu, wachezaji ubinafsi na kukosa link up nzuri kwa ajili ya ushindi wanabaki kutaka kuonesha uwezo wakati these is once in 4 years..
Sasa ndo utasikia morroco wana Sema walikua sawa kutokujumuika nasi weusi
Kuna timu za Ulaya wamejaa wachezaji weusi na wanakupa concentration ya zaidi ya DK 90. Mfano Ufaransa.Kuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Umeshasema timu za Ulaya.Kuna timu za Ulaya wamejaa wachezaji weusi na wanakupa concentration ya zaidi ya DK 90. Mfano Ufaransa.
wanajituma shida ni zile dakika 10 za mwisho. mfano senegel mane alikuwa anatembea kabisa hata hakabi mpaka lukaku anakuja kufunga kulikuwa hakuna mabeki zaidi ya wa 4 golini. Ni displini imekosekana kwa sisi waafrika na kuridhika mapema kama kawaida yeetu.Sio laana ni kutojituma. Angalia Africa Kusini , DRC na Senegal
Isinge kuwa rahisi kwa wote ila nasemea ile come back pamoja na kufungwa kutolewa ni kama trendi sasa... Na hata kusema timu zijazo zichukue funzo kwa zilizo toka hakuna.Tajiri kwa iyo ulikuwa umeamini kabisa kwamba Ubelgiji wanafungwa? 😊
Pole sana.