Leseni zao zinakuja hai Kwa muda Gani?Wahasibu wana bodi pia,na wanasajiliwa,Enginers wana bodi na wanasajiliwa pia..lakini interview za kazi wanafanya..wewe ni nani usifanye?
Mawakili wanahuisha leseni Kila Mwaka na Moja ya sifa ili kuhuisha leseni ni lazima uwe ulikuwa Active lakini wanafanya usaili Kila siku na hawajawahi kulialiaWaajirwa wa afya Kuna bodi zetu husika Kama pharmacy council, Kila mwanataaluma ana leseni yake ya kazi, Kila mwaka anailipia na pia hufanya CME/CPD Ili kushikilia leseni yake. Hivyo yoyote mwenye leseni hai ni mwanataaluma mwenye ujuzi na Yuko vizuri.
Kifanya mtihani ni upotevu wa muda na pesa ya taifa
Interview ndio nzuri ili tufuane kwa kuotea na kujielezea na mwenye bahati apite sio kutupa jiwe gizani na kusubiri pata potea bila kujua process gani zinafanyika huko gizaniLeta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Toa sababu za msingi ni kwann msifanye usailiNchi hii haikujengwa Kwa misingi ya uoga na kusema ndio kiongozi. Hautushi Kwa uoga na kuogopa, Kama jambo halijakaa sawa Kwa Nini mtu asihoji?
Kuhoji so Dhambi, fungua akili.
Mkuu, yn utalalamika sana, ila usaili lazima ufanyeLeseni zao zinakuja hai Kwa muda Gani?
Unahitaji kuelewa kua Kila mwaka Kuna CPD (Continuous medical/Pharmaceutical education na CME zinafanywa) na wanataaluma hupimwa ujuzi wao na kama wako below wanafutiwa leseni zao.
Kama wako assessed Kila mwaka na bodi husika ya Nini USAILI. Mwajiri anahitaji kujua Nini kwenye interview wakati mamlaka husika inafajama
GPA, MATOKEO YA 4/6 SIMPLE LIKE THATIkiwa kila mtu ana sifa kama unavyosema na nafasi za kazi ni chache huku idadi ya wenye sifa ikiendelea kuongezeka kila mwaka, unadhani njia gani inaweza kutumika ili kuleta usawa kati ya wale watakaopewa kazi na wale watakaokosa kazi?"
Usahili ni mzuri ila umekaa kukomoana hasa wenye vipato visivyoeleka.Leta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Huku ni kudhihirisha kuwa CCM imeishiwa mbinu. Ukiwaambia wawachie wengine hawatakuelewa hata na badala yake wanarukaruka tu kama maharage. CCM inakera Sana, nasema CCM Kwa sababu ndiyo inayounda serikali hii inayofanya vitu vya ajabu. Mnaudhi nyie kina mkenda, Mungu anawaona.Leta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Mkuu leta hoja kwanza ndio tuanze kuilaumu ccm au tuipongezeHuku ni kudhihirisha kuwa CCM imeishiwa mbinu. Ukiwaambia wawachie wengine hawatakuelewa hata na badala yake wanarukaruka tu kama maharage. CCM inakera Sana, nasema CCM Kwa sababu ndiyo inayounda serikali hii inayofanya vitu vya ajabu. Mnaudhi nyie kina mkenda, Mungu anawaona.
Kwahy baada ya kuwepo kwa hizi usaili ndo umejua ubaya wa ccm, ila kipindi cha nyuma hawakuwa na ubaya?Huku ni kudhihirisha kuwa CCM imeishiwa mbinu. Ukiwaambia wawachie wengine hawatakuelewa hata na badala yake wanarukaruka tu kama maharage. CCM inakera Sana, nasema CCM Kwa sababu ndiyo inayounda serikali hii inayofanya vitu vya ajabu. Mnaudhi nyie kina mkenda, Mungu anawaona.
Nimesema kudhihirisha. Sijuwi kama umenielewa/umeelewaKwahy baada ya kuwepo kwa hizi usaili ndo umejua ubaya wa ccm, ila kipindi cha nyuma hawakuwa na ubaya?
Hakuna hata sababu ya msingi ya kufanya usaili tofauti na kukwepa lawama za majoblessMkuu leta hoja kwanza ndio tuanze kuilaumu ccm au tuipongeze
Kwann msifanye usaili?Hakuna hata sababu ya msingi ya kufanya usaili tofauti na kukwepa lawama za majobless
Huo ni usumbufu tu. Eti usaili wa mahojiano ufanyikie mkoa ulioomba ukafanye kazi( Kwa afya). Si mngesema tu utafanya kazi huko huko unakoishi ili uombe huko huko na usaili ufanyikie huko huko. Alafu Kaa ukijua chimbuko la usaili ni kukwepa lawama tu hakuna kingine. Mfano wewe umesoma uhasibu sijuwi astashahada, stashahada au shahada Kwa kuwa serikali Haina uwezo au hata ubunifu, ikafanya pawe na usaili ili hata ukiendelea kuwa jobless ibainike wewe uli fail paper la interview au kingine kinachofanana na interview.Kwann msifanye usaili?
Mbona hizi kelele zimeanzia kwenu waalimu wakat tangu kitambo watu wa kada zngn walikuwa wanafanya usaili na hawajawahi kulalamika?Huo ni usumbufu tu. Eti usaili wa mahojiano ufanyikie mkoa ulioomba ukafanye kazi( Kwa afya). Si mngesema tu utafanya kazi huko huko unakoishi ili uombe huko huko na usaili ufanyikie huko huko. Alafu Kaa ukijua chimbuko la usaili ni kukwepa lawama tu hakuna kingine. Mfano wewe umesoma uhasibu sijuwi astashahada, stashahada au shahada Kwa kuwa serikali Haina uwezo au hata ubunifu, ikafanya pawe na usaili ili hata ukiendelea kuwa jobless ibainike wewe uli fail paper la interview au kingine kinachofanana na interview.
Usaili lazima Ili kuondoa majiti ya hovyo yasiyoweza kujali jamii Kwa malezi Bora(Walimu) na Huduma Bora Kwa Wagonjwa (Afya)Leta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Umejuaje kama hawakulalamika huko nyuma kipindi utaratibu unaanza? Au wewe ndiye muasisi wa mambo haya ya usaili?Mbona hizi kelele zimeanzia kwenu waalimu wakat tangu kitambo watu wa kada zngn walikuwa wanafanya usaili na hawajawahi kulalamika?