Mkuu, chimbuko la usaili huu ni kupata namna ya kukwepa lawama za watu/wahitimu kukosa ajira. Wanashindwa kuwa wabunifu wa kuwatafutia connection hata nje ya nchi. Watafute nchi zenye uhitaji wa walimu mfano Somo la kiswahiliBinafsi usaili nauunga mkono ila sio wa multiple choice ya dk 40 at least mahojiano ya mdomo na practical
Huwezi kupima umahili wa mtu kwa kutumia formative assessment huo ni uwongo
Wakusubirie mpaka matazamio ya nini tena wakati serikali inataka kuajiri na wenye sifa ni wengi wanataka nafasi hiyo hiyo?Sasa Kama ni kukidhi, si Kuna kipindi Cha matazamio??
Mimi nilitegemea mfano kada za Afya wangefanyia Usaili kwa Mgonjwa maana ndiyo kazi yake ya kila siku..
Au mwalimu angeenda kutanishwa na wanafunzi..
Kama ni kweli hoja Ilikua ni usaili kwanini wanatumja njia hii ya maswali tu?
Ukiangalia kwa uharaka zoezi hili.. ni kuwa watu wanapaswa waanze kuingia kwenye vituo vya kazi kabla ya mwezi wa 9 haujaisha yaani mwezi wa 10 mwanzoni wawe wameshafika na kuchukua barua zao..
Hivyo wameona urahisi ni kutumia maswali hayo waanze kupunguza watu ikiwa wengi watafaulu sana written/ computer wachukua hata wenye scores ya 70 kuendelea itategemea na ufaulu ..
Mimi nadhani usaili huu haukulenga Moja kwa Moja kumpima.mtu anajua nini ila umelenga kupunguza Idadi kubwa ya watu ili wapate wachache kwa ajili ya kwenda kwenye oral
Kijana kasoma miaka 3 au 5
Kakutana na wagonjwa amefanya mitihani amefaulu miaka yote ameenda kufanya mtihani wa board/ council za taaluma aliyosomea amefaulu na amepewa leseni bado tena unampima ili iweje? Unampima nini? unampima ubora wake kwa maswali? Hiyo leseni kapewa vipi? Kwamba hamziamini hizo board? Na vipi hayo maswali mnayouliza akikosa mnamnyanganya leseni? Mtasema hana ujuzi?
Kama ni usaili kwanini msiwapeleke wakakutanishwa na wagonjwa. ?
Nakama ni waalimu kwanini wasikutanishwe na wanafunzi.?
Hapa utagundua ni Muda.. Wana muda mchache na wafanyakazi wanahitajika kazini.
Mkifata utaaratibu wa usaili hili zoezi lingetumia miezi hata 2 au 3.
Ila wameamua kufanya assessment kwa njia ambayo haukubaliki na wanataaluma wa afya na ualimu
Tatizo la kuchanganya siasa na taaluma
Na nawasikitikia sana wasimamizi wa haya mambo sio wataalumu wa Afya hivyo hawajui ni namna gani wanainajisi Taaluma Hizi za Afya.
Afya na ualimu ni tofauti na kada zingine kabisa @Masculinity
Sasa mtu kama amesahau mambo ya taaluma yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu sana tangu ahitimu, sasa serikali imuajiri ili akafanye kazi gani? Yaani mtu hana ufahamu wowote, ana vyeti tu, apewe ajira ya nini?We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?
Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.
😂😂😂
Mbaga jr na ligi zake anaelewa haya ila kaamua kukaza fuvu analeta kada superiorityyes formative assement et unamfanyia mwalimu na watu wa afya unasema unataka watu bora tuko serious kwelii??? au ndo kutaka taifa liwe la kitapelitapeli tu?? sababu kinachofata hapo ni rushwa na sio kufanya usaili
Ndio maana kazini Huwa tuna "On the job training"Sasa mtu kama amesahau mambo ya taaluma yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu sana tangu ahitimu, sasa serikali imuajiri ili akafanye kazi gani? Yaani mtu hana ufahamu wowote, ana vyeti tu, apewe ajira ya nini?
hao ndo wanapata madaraka ili watese wengne sio wawatete wengi au ndo wale wakitoboa wanazani wenzao hawapambaniiMkuu huyo jamaa sio kuwa haelewi ila analeta ligi za kada na kujimwambafai na kujiona kada yake ni bora kuliko za wengine analeta ushabiki na sio kujadili kwa hoja
Labda wanaogopa kugundulika kuwa hawana sifa.Hawa waalimu na watu wa afya wana matatizo ya akili aisee, cjui wanajiona wao n akina nani mpaka wasifanye usaili 😂
Huyo Kijana anaharibu mada Sana, kwenye Ile thread ya utumishi Huwa naona analialia amekosa kazi lakini kwa namna alivyo unasita hata kumsaidiaMbaga jr na ligi zake anaelewa haya ila kaamua kukaza fuvu analeta kada superiority
Kulingana na aina ya usaili wanaoufanya hauna tija ni dhahiri kuwa usahili huo haupaswi kuwepo nahisi umepata connection ya hoja yanguHiyo ni hoja nyingine, tofauti na hii.
Hapa tunazungumzia kama kuna ulazima wa usaili ili kuajiriwa na sio usaili upi unafaa.
Hoja yako ni tofauti kabisa na hili la mleta mada. Mleta mada anaona hakuna haja kabisa ya usaili, wewe unazungumzia namna usaili ungepaswa kufanyika. Tunapishana hapo.Mimi nilitegemea mfano kada za Afya wangefanyia Usaili kwa Mgonjwa maana ndiyo kazi yake ya kila siku..
Au mwalimu angeenda kutanishwa na wanafunzi..
Kama ni kweli hoja Ilikua ni usaili kwanini wanatumja njia hii ya maswali tu?
Ukiangalia kwa uharaka zoezi hili.. ni kuwa watu wanapaswa waanze kuingia kwenye vituo vya kazi kabla ya mwezi wa 9 haujaisha yaani mwezi wa 10 mwanzoni wawe wameshafika na kuchukua barua zao..
Hivyo wameona urahisi ni kutumia maswali hayo waanze kupunguza watu ikiwa wengi watafaulu sana written/ computer wachukua hata wenye scores ya 70 kuendelea itategemea na ufaulu ..
Mimi nadhani usaili huu haukulenga Moja kwa Moja kumpima.mtu anajua nini ila umelenga kupunguza Idadi kubwa ya watu ili wapate wachache kwa ajili ya kwenda kwenye oral
Kijana kasoma miaka 3 au 5
Kakutana na wagonjwa amefanya mitihani amefaulu miaka yote ameenda kufanya mtihani wa board/ council za taaluma aliyosomea amefaulu na amepewa leseni bado tena unampima ili iweje? Unampima nini? unampima ubora wake kwa maswali? Hiyo leseni kapewa vipi? Kwamba hamziamini hizo board? Na vipi hayo maswali mnayouliza akikosa mnamnyanganya leseni? Mtasema hana ujuzi?
Kama ni usaili kwanini msiwapeleke wakakutanishwa na wagonjwa. ?
Nakama ni waalimu kwanini wasikutanishwe na wanafunzi.?
Hapa utagundua ni Muda.. Wana muda mchache na wafanyakazi wanahitajika kazini.
Mkifata utaaratibu wa usaili hili zoezi lingetumia miezi hata 2 au 3.
Ila wameamua kufanya assessment kwa njia ambayo haukubaliki na wanataaluma wa afya na ualimu
Tatizo la kuchanganya siasa na taaluma
Na nawasikitikia sana wasimamizi wa haya mambo sio wataalumu wa Afya hivyo hawajui ni namna gani wanainajisi Taaluma Hizi za Afya.
Afya ni tofauti na kada zingine kabisa
Labda anaogopa kugundulika kuwa hawana sifa.
Mtu uliyesomea kwa msuli wako, ukafaulu kihalali, cheti ukapata bila makando kando, na elimu bado ipo kichwani, kwanini uogope usaili?
Mkuu umetoa maelezo ya kujitosheleza kabisa ambae hajaelewa na aendelee kukaza fuvuMimi nilitegemea mfano kada za Afya wangefanyia Usaili kwa Mgonjwa maana ndiyo kazi yake ya kila siku..
Au mwalimu angeenda kutanishwa na wanafunzi..
Kama ni kweli hoja Ilikua ni usaili kwanini wanatumja njia hii ya maswali tu?
Ukiangalia kwa uharaka zoezi hili.. ni kuwa watu wanapaswa waanze kuingia kwenye vituo vya kazi kabla ya mwezi wa 9 haujaisha yaani mwezi wa 10 mwanzoni wawe wameshafika na kuchukua barua zao..
Hivyo wameona urahisi ni kutumia maswali hayo waanze kupunguza watu ikiwa wengi watafaulu sana written/ computer wachukua hata wenye scores ya 70 kuendelea itategemea na ufaulu ..
Mimi nadhani usaili huu haukulenga Moja kwa Moja kumpima.mtu anajua nini ila umelenga kupunguza Idadi kubwa ya watu ili wapate wachache kwa ajili ya kwenda kwenye oral
Kijana kasoma miaka 3 au 5
Kakutana na wagonjwa amefanya mitihani amefaulu miaka yote ameenda kufanya mtihani wa board/ council za taaluma aliyosomea amefaulu na amepewa leseni bado tena unampima ili iweje? Unampima nini? unampima ubora wake kwa maswali? Hiyo leseni kapewa vipi? Kwamba hamziamini hizo board? Na vipi hayo maswali mnayouliza akikosa mnamnyanganya leseni? Mtasema hana ujuzi?
Kama ni usaili kwanini msiwapeleke wakakutanishwa na wagonjwa. ?
Nakama ni waalimu kwanini wasikutanishwe na wanafunzi.?
Hapa utagundua ni Muda.. Wana muda mchache na wafanyakazi wanahitajika kazini.
Mkifata utaaratibu wa usaili hili zoezi lingetumia miezi hata 2 au 3.
Ila wameamua kufanya assessment kwa njia ambayo haukubaliki na wanataaluma wa afya na ualimu
Tatizo la kuchanganya siasa na taaluma
Na nawasikitikia sana wasimamizi wa haya mambo sio wataalumu wa Afya hivyo hawajui ni namna gani wanainajisi Taaluma Hizi za Afya.
Afya ni tofauti na kada zingine kabisa
Unaamini kusahau ndio ufahamu?Sasa mtu kama amesahau mambo ya taaluma yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu sana tangu ahitimu, sasa serikali imuajiri ili akafanye kazi gani? Yaani mtu hana ufahamu wowote, ana vyeti tu, apewe ajira ya nini?
On job training ni kitu tofauti kabisa na hili la kuomba ajira.Ndio maana kazini Huwa tuna "On the job training"
Nimekuelewa. Haupingi usaili. Ila unapinga aina ya usaili. Hapo hata mimi sina shida na hoja yako.Alisomea taaluma ya Engineering usaili wake ni wa karatasi?
Alisomea taaluma ya urubani usaili wake ni wa karatasi tu?
Kinachodaliwa hapa ikiwa unahitaji usaili uwepo usaili uwe ni wa Vitendo kulingana na taaluma
Kama ni afya akutanishwe na mgonjwa
Kama ni mwalimu akutanishwe na wanafunzi
Usaili tofauti na huo ni batili
Maana unajuaa hauna lengo la kumpima mtu.
kosa la utumishi ni muda mchache waliopewa na Idadi kubwa ya wahitimu ndio sababu haya unayaona September hii watu watapangiwa maeneo ya kazi October kazi inaanza
Utumishi kuna saili tatu. Written, practical na Oral, h unajua maana ya hizo saili?Alisomea taaluma ya Engineering usaili wake ni wa karatasi?
Alisomea taaluma ya urubani usaili wake ni wa karatasi tu?
Kinachodaliwa hapa ikiwa unahitaji usaili uwepo usaili uwe ni wa Vitendo kulingana na taaluma
Kama ni afya akutanishwe na mgonjwa
Kama ni mwalimu akutanishwe na wanafunzi
Usaili tofauti na huo ni batili
Maana unajuaa hauna lengo la kumpima mtu.
kosa la utumishi ni muda mchache waliopewa na Idadi kubwa ya wahitimu ndio sababu haya unayaona September hii watu watapangiwa maeneo ya kazi October kazi inaanza
Sawa mkuu, naomba unisamehe.Huyo Kijana anaharibu mada Sana, kwenye Ile thread ya utumishi Huwa naona analialia amekosa kazi lakini kwa namna alivyo unasita hata kumsaidia
Mambo muhimu analeta ushabiki na anajua kabisa sio kipimo sahihi Cha Taaluma
Kama msomi wa fani fulani unasema umesahau kile ulichowahi kujifunza na kufaulu darasani, halafu hapo hapo unataka upewe ajira ya kwenda kufanya kazi ya kitu kile kile ulichokisahau, nini maana yake?Unaamini kusahau ndio ufahamu?
Kweli elimu ya wakaririji inaendeshwa kwa kukariri
Kwaiyo huyo aliekariri na hajasahau kwakuwa katoka juzi chuo ndio mahili sana kuliko aliesahau?