Je, kuna ushahidi Hayati Magufuli alimuua nani, aliiba nini na alimpora nani hela?

Majibu utakayo pewa ni haya hapa
  • hujui kitu
  • huna uelewa wa kutosha
  • hayajakukuta
  • mkombozi wetu lissu kapigwa risasi 16
  • taarifa ya CAG
  • kimbunga cha sijui wapi, bukoba uko
ni points ambazo wamewekwa nazo wanazirudia rudia, wanarudia kwa sababu hakuna nyingine walizonazo
 
Kwahiyo hapo ni nyumbani kwake eti?you're brain less!!
 
Baada ya kuutangazia umma hayo amechukua jatua gani hadi sasa?
 
Itachukua mda sana chato team kurudi madarakani, inabidi tuzoee,, binafsi nazimis sana hotuba machachari za jpm,, maana nilikua nacheka sana,,
Kiufupi hapa duniani marais wote wana mamlaka ya kuua, hata marais wa nchi kama marekani, etc, ukionekana unatishia usalama wa nchi, Rais anaweza kusaini uwe Termed,,
Hayo ni mamlaka wanayo,, sawa huwa inatokea misuse,,
Ila kiufupi mtu anaeitwa Rais, usimchukulie poa,
Leo hii Rais anaweza kuamua mfano mwanza aigawe au aiuze kwa kenya,
Mfano kuna Rais wa urusi aligawa crimea kwa ukraine,, mwingine aliuza hawaii kwa marekani, etc.
Uhuru kenyata ameua waislamu wengi sana huko mombasa, mtu unakuwa Termed kwa amri ya Rais, Extra Judicial Termination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…