Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,122
- 2,445
Sio kweli mzee..utofauti ni ushushu na ufisadi tu vinginevyo tungeshawapiga bao kitambo sana..wametuwin mindset tuTofauti ipo, hasa kwenye mambo ya maendeleo twakosa ubunifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli mzee..utofauti ni ushushu na ufisadi tu vinginevyo tungeshawapiga bao kitambo sana..wametuwin mindset tuTofauti ipo, hasa kwenye mambo ya maendeleo twakosa ubunifu
Hata wazungu hufanya makosa..africa haiendelei sababu ya uongozi mbovu..viongozi wetu wengi wanapachikwa na mabepari...mzungu hana akili nyingi kutuzidi sote ni sawaMkuu simple things mwafrika hawezi kufanya
Mpaka unashangaa mbona ni jambo rahisi hivi
Hebu angalia hata mafundi, unamkuta mzoefu lakini anafanya makosa ya kijinga sana
Lingine hivi msomi anawezaje kunywa juice akasema imetoka Madagascar na inatibu covid ?
Utofauti upo mkubwa sana. Ulishawahi kusikia viongozi wasio waafrica wameibia hela nchi zao wakaja kuficha huku Africa kwa watu weusi?Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?
Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?
Maxence Melo ni Mwafrikalkn kwa nini umejitoa kwenye waafrika unaowasema tuna uwezo mdogo?
Uongozi mbovu ndio hiyo akili wanayotuzidi sasaHata wazungu hufanya makosa..africa haiendelei sababu ya uongozi mbovu..viongozi wetu wengi wanapachikwa na mabepari...mzungu hana akili nyingi kutuzidi sote ni sawa
Tukienda na ukweli ndugu raia wa kawaida kuiba transormer haiingii akilini....hizo ni michoro ya wakubwa tena huenda ni mambo ya kisiasa tu....alafu watu kuiba mpaka pesa za soko ni umaskini sasa je umaskini unatokana na nini kama sio uongozi mbovu???Uongozi mbovu ndio hiyo akili wanayotuzidi sasa
Wamepita tunakopita leo
Iliwachukua miaka kuacha tunayofanya leo
Sio tu uongozi bali hata wafanyakazi wa chini pia wanachangia kudorora kwa maendeleo nchi nyingi masikini
Na umasikini ni wa kujitakia
Imagine wafanyakazi wanashirikiana kuiba Transfoma 80
Hapo kuna akili kweli yaani unahujumu nchi yako kwa manufaa ya wote
Wanaiba hela za Soko
Sasa hapo tuna usawa nao kivipi
Rushwa, Wizi, utapeli umetamalaki nchi nzima kila unakoenda sasa hizo akili ni zipi hapo
Wenzetu wamejua na hata vita hawapigani kwao tena na sio hawajihusishi bali wamo kila kona kwa maslahi yao ila wao wanajua vita ni kuporomoka kwa uchumi
Sisi tunafurahia vita na kuiomba kila leo
Hapo ndio tofauti zetu
Ndio. Na Hela zipo Zimefichwa katika mabenki ya baadhi ya Visiwa vilivyopo Afrika.Ulishawahi kusikia viongozi wasio waafrica wameibia hela nchi zao wakaja kuficha africa
nadhani unaendelea kunisaidia kuibua utofauti wa kifikra baina ya weusi na weupe right?Unaposema watu weupe "wanafikiri ushoga ni haki yao ya msingi" wakina nani hao weupe zaidi ya wazungu, japo sio wote! Ulishawahi kusikia ushoga umebarikiwa uarabuni? Zaidi nchi za kikafiri
Mkuu kuiba ni hulka ya mtu, kuna watu nawajua hawana kitu lakini ukimtuma chochote haibi hata sentiTukienda na ukweli ndugu raia wa kawaida kuiba transormer haiingii akilini....hizo ni michoro ya wakubwa tena huenda ni mambo ya kisiasa tu....alafu watu kuiba mpaka pesa za soko ni umaskini sasa je umaskini unatokana na nini kama sio uongozi mbovu???
Waafrika wengi ni wa binafsi Hawana uwono wa kizazi na kizazi wao wapo na uono wa wake mwenyewe binafsi tu. Hii ndio sababu kuu tukawa hatuna maendeleo.Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?
Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?
Kwa msingi huo hapa chini hawa walikuwa wanafanya nini Mbugani?Waafrika ni jamii ya wanyama wanaofanana na binadamu.
Mkuu Allen Kilewella salam kwako.Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?
Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.
Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?
Sijui wenyeweKwa msingi huo hapa chini hawa walikuwa wanafanya nini Mbugani?![]()
![]()
Kwani utafirimbwa kwa lazima??Mimi nadhani bora tu kufikiri kwetu kuko chini kuliko Ushoga. Bora kunya maporini na vichakani kuliko ushoga.
Hapo sasa...Kwani utafirimbwa kwa lazima??