Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

Mkuu simple things mwafrika hawezi kufanya
Mpaka unashangaa mbona ni jambo rahisi hivi
Hebu angalia hata mafundi, unamkuta mzoefu lakini anafanya makosa ya kijinga sana
Lingine hivi msomi anawezaje kunywa juice akasema imetoka Madagascar na inatibu covid ?
Hata wazungu hufanya makosa..africa haiendelei sababu ya uongozi mbovu..viongozi wetu wengi wanapachikwa na mabepari...mzungu hana akili nyingi kutuzidi sote ni sawa
 
Nini maana ya neno fikiri?

~ waza kwa kutumia akili ili kuelewa kitu, kufanya uamuzi au kutatua tatizo.

Sasa kwa nini wazungu na mataifa mengine hudhani ya kwamba Waafrika hawana uwezo mkubwa wa kufikiri, jibu ni kwamba tupo goigoi kwenye kufikia uamuzi wenye kutatua matatizo tuliyo nayo kiasi kwamba tumebaki kuwa tegemezi wa maamuzi ya mataifa mengine juu ya matatizo yetu...
 
Kiufupi wao wanafikiria kinyume na sisi. Ndio maana sisi pisi mbovu nyeusi nyembamba iko rough wao wanaona ndio type zao. Pisi tunazoona visu wao ni kinyume. Kiufupi akili zao ni kama naturally wamevuta bangi ndio maana wanaendana sana na ma-ras ndio wanaona wanaakili zinaendana
 
Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?

Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.

Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?
Utofauti upo mkubwa sana. Ulishawahi kusikia viongozi wasio waafrica wameibia hela nchi zao wakaja kuficha huku Africa kwa watu weusi?
 
lkn kwa nini umejitoa kwenye waafrika unaowasema tuna uwezo mdogo?
Maxence Melo ni Mwafrika

Watendaji wake hawa ni Wazungu au weupe
img_20240204_170605_048-jpg.2894122
, unafikiri walikuwa wakifikiri nini kuhusu uwezo wa Mwafrika huyo?

Mleta mada anakimbia mada yake, anaanza kuzua mambo mengine yasiyokuwa na uhusiano wowote ule na mada husika.

...sio tu anajiondoa kwamba yeye ni mwafrika, sasa anajiondoa kwenye mada husika.
 
Hata wazungu hufanya makosa..africa haiendelei sababu ya uongozi mbovu..viongozi wetu wengi wanapachikwa na mabepari...mzungu hana akili nyingi kutuzidi sote ni sawa
Uongozi mbovu ndio hiyo akili wanayotuzidi sasa
Wamepita tunakopita leo
Iliwachukua miaka kuacha tunayofanya leo
Sio tu uongozi bali hata wafanyakazi wa chini pia wanachangia kudorora kwa maendeleo nchi nyingi masikini
Na umasikini ni wa kujitakia
Imagine wafanyakazi wanashirikiana kuiba Transfoma 80
Hapo kuna akili kweli yaani unahujumu nchi yako kwa manufaa ya wote
Wanaiba hela za Soko
Sasa hapo tuna usawa nao kivipi
Rushwa, Wizi, utapeli umetamalaki nchi nzima kila unakoenda sasa hizo akili ni zipi hapo
Wenzetu wamejua na hata vita hawapigani kwao tena na sio hawajihusishi bali wamo kila kona kwa maslahi yao ila wao wanajua vita ni kuporomoka kwa uchumi
Sisi tunafurahia vita na kuiomba kila leo

Hapo ndio tofauti zetu
 
Kuna kitu wazungu wanaita “paradox of plenty au resource curse” na labda kiswahili tuseme “penye miti hakuna wajenzi”
Kuwa na rasilimali nyingi sana kunapunguza ulazima wa kutumia akili tofauti na watu wanaoishi katika mazingira ambayo survival yao inategemea kitu kimoja tu, mfano nchi za uarabuni ambako ni jangwa, mafuta ndicho kitu pekee kinachowapa uhai wa kiuchumi.
Afrika tuna kila kitu na hiyo ndiyo sababu inayopelekea matumizi ya akili kuwa madogo sana kwani uhai wetu hauko hatarini na hatulazimiki kutumia akili sana ili tuishi
 
Uongozi mbovu ndio hiyo akili wanayotuzidi sasa
Wamepita tunakopita leo
Iliwachukua miaka kuacha tunayofanya leo
Sio tu uongozi bali hata wafanyakazi wa chini pia wanachangia kudorora kwa maendeleo nchi nyingi masikini
Na umasikini ni wa kujitakia
Imagine wafanyakazi wanashirikiana kuiba Transfoma 80
Hapo kuna akili kweli yaani unahujumu nchi yako kwa manufaa ya wote
Wanaiba hela za Soko
Sasa hapo tuna usawa nao kivipi
Rushwa, Wizi, utapeli umetamalaki nchi nzima kila unakoenda sasa hizo akili ni zipi hapo
Wenzetu wamejua na hata vita hawapigani kwao tena na sio hawajihusishi bali wamo kila kona kwa maslahi yao ila wao wanajua vita ni kuporomoka kwa uchumi
Sisi tunafurahia vita na kuiomba kila leo

Hapo ndio tofauti zetu
Tukienda na ukweli ndugu raia wa kawaida kuiba transormer haiingii akilini....hizo ni michoro ya wakubwa tena huenda ni mambo ya kisiasa tu....alafu watu kuiba mpaka pesa za soko ni umaskini sasa je umaskini unatokana na nini kama sio uongozi mbovu???
 
Ulishawahi kusikia viongozi wasio waafrica wameibia hela nchi zao wakaja kuficha africa
Ndio. Na Hela zipo Zimefichwa katika mabenki ya baadhi ya Visiwa vilivyopo Afrika.

Ila hoja haihusu wizi wa hela.
 
Unaposema watu weupe "wanafikiri ushoga ni haki yao ya msingi" wakina nani hao weupe zaidi ya wazungu, japo sio wote! Ulishawahi kusikia ushoga umebarikiwa uarabuni? Zaidi nchi za kikafiri
nadhani unaendelea kunisaidia kuibua utofauti wa kifikra baina ya weusi na weupe right?

maana sehemu unapopataja hakuna visungura wanafikiri hiyo ni haramu na ni dhambi, lakini kwa weusi ni kiburudisho mujarabu sana 🐒

R.I.P Laigwanani comrade ENL
 
Tukienda na ukweli ndugu raia wa kawaida kuiba transormer haiingii akilini....hizo ni michoro ya wakubwa tena huenda ni mambo ya kisiasa tu....alafu watu kuiba mpaka pesa za soko ni umaskini sasa je umaskini unatokana na nini kama sio uongozi mbovu???
Mkuu kuiba ni hulka ya mtu, kuna watu nawajua hawana kitu lakini ukimtuma chochote haibi hata senti
Ila kuna watu akianza kuomba kazi hata hajaitwa ofisini anaanza kuuliza wenzie vipi kuna maslahi hapa hata ya michongo
Yaani anawaza kuiba kabla hajaajiriwa, hii imetokea kwenye shughuli zetu na alikosa kazi huyo bila hata kuitwa ndani kwani mmoja wa.vijana alimsikia akiwaza kuiba kabla hajapata hata kazi

Huo uongozi ndio hawa hawa wanaotoka kwenye jamii
Mtoto anaanza shule anarudi na kalamu au daftari sio lake na mzazi wala hahangaiki kuuliza

Mtoto muhula wote haulizi kalamu na mzazi hajiulizi huyu mtoto anapewa kalamu na nani?
Tunalea majambazi yajayo na hayo hayo ndio yanafanya kazi TRA, Maji, Airport, Madini, kila sehemu wamo tena zaidi ya nusu
Hao viongozi wamekulia huko huko walikokulia majizi mengine

Hakuna kiongozi anaekemea na kusema ntakomesha Rushwa lakini badala yake mnaambiwa kuleni KIASI
 
Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?

Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.

Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?
Waafrika wengi ni wa binafsi Hawana uwono wa kizazi na kizazi wao wapo na uono wa wake mwenyewe binafsi tu. Hii ndio sababu kuu tukawa hatuna maendeleo.
 
Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki?

Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani.

Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko watu toka mabara mengine?
Mkuu Allen Kilewella salam kwako.
Tatizo kubwa la waafrika ni kufikiria tu jinsi ya kuibia nchi na sio kuiendeleza nchi. Hebu angalia hapa JF mizizamo ya wengi kuhusu maana ya kazi nzuri.
Wako wapi akina Mandela, Nkrumah, Tolibati, Lumumba wa leo hapa Afrika.
Ahsante
 
Siyo kwa wazungu tu. Hata tajiri na masikini wanafikiri tofauti. Mawazo ya Manji siyo sawa na Abdalah Mwinyimkuu wa Mchamba wima.
Kwa wazungu, wanachotuzidi ktk kifikiri ni kwamba wao wakifiri jambo fulani sawasawa na likawa na umuhimu mkubwa Wana asilimia karibia 80 ya kuli implement sisi unaweza kuwaza jambo na ukaingia nalo kaburini.

Kwa mfano, tuna vijana wa kitanzania wamegundua kifaa Cha ku detect cancer in early stage lakini hawako Tanzania wako USA. Hapa nyumbani mazingira yangewabana sana.

Mpemba wa Tanga aligundua maji ya moto yanaganda haraka kuliko yabaridi ila kwa kuwa aliishi Tanga miaka yote imeishia hapo hapo na sidhani kama kuna income yyte anayoipata kwa hilo.

Niliwahi msikia mtu akiwaza kwanini asiweze kubadilisha image ya maandishi iliyopiga kwa simu kuwa word au Pdf miaka 10 nyuma leo naona wazungu wanauza hizo app mtandaoni.

Je ni waafrika wangapi Wana mawazo yanabaki kaburini?

Zamani kama 96 huko tulikuwa tunaangalia movie za star wars zile za majeshi ya resistance on ITV walitumia light saber. Hii mpaka sasa Star wars bado wanatumia hizi light saber. Mwaka juzi kwa mara ya kwanza USA army wakatuonesha bunduki ya laser light. Baadaye tukaona kumbe hata Russia anazo nyingi tu akizitumia ku jam ma satellite huko angani.

Kwa hiyo, hatufikiri sawa. Na hata kama tuko sawa wao Wana nyezo za kufanikisha ufikiri wao.

Kuna mtu kataja ushoga hapo. Wazungu ndiyo wakawanza kuandika kuwa mtu akiwa hivyo ni mgonjwa wa akili. Yaani wanajua kabisaa ni unnatural. Sema wanachofanya ni makusudi kuaminisha watu kuwa ni sawa. Ila siyo kuwa hawajui kuwa ni upotofu. Wanajua fika ni wameamua. Siyo kuwa hawana ufikiri sahihi ktk hilo.

Juzi Eron Mask mzaliwa wa SA kapandikiza akili bandia. Sasa mwafrika anatakiwa awaze kuhusu kufeli na kufauli mitihani. Maana yake akili itakuja kununuliwa huko mbeleni. Sasa huyu Eron angebaki hapo kwa madiba si angekuwa anawaza ugomvi wa wazuru na wageni hapo.

So inshu unawazi gani? Na unafanyaje ktk hilo wazo
 
Back
Top Bottom