Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

Graxsam

Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
83
Reaction score
94
Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )

swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.

NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
 
Hii misukule iko Tanza giza tu?
 
Nimewahi kuona watu wawili ambao inasemekana walishafariki ila wakaonekana kitaa wakiwa kama wamechanganyikiwa,ila sababu za kurudi kwao hazikuwahi jilikana.Ndugu pia walikua wanawaogopa basi wakawa street tu wanazurura kama machizi.Mmoja alikua ananikubali kinyama sijui kama bado yupo mana niliondoka hiyo sehemu yapata miaka kama 8 iliyopita
 
Naweza pata mawasiliano ya hilo eneo mkuu nijue mm nitafanya nn?
 
Zamaniiii sana nilipo kuwa naishi kijiji X kulikuwa na hzo story nyingi na vifo vingi.. sasa jinsi ya kuthibitisha kama kweli mtu Wenu kachukuliwa msukule walikuwa wakifanya hivi

1. Katika watu wake wa karibu ambaye marehem alikuwa anamkubali anaenda porini sehem yenye miti mikavu anakaa kimya kwa dakika 5 ukisikia mti mkavu unavunjwa karibu yako basi ujue ni kweli amechukuliwa hizo ni kwa siku 15 za mwanzo.

2. Siku ya msiba unakaa karibu na mtu unaye muhisi ni mchawi wenu ikiwezekana mumkamate kabisa ndani ya masaa 24 kwasababu wanaamini msukule hatoki ndani anakuwa nyuma ya mlango na atatolewa na mchawi wake tu Akikaa muda mrefu ataleta noma na dawa zao zitafeli

3. Huwa wanarudi nyumbani kwao usiku ndani ya siku saba huenda ukasikia unaitwa kwa jina lako alafu mtu humuoni huyo ni kwa mtu wake wa Karibu aliye kuwa anamkubali mwanae sana

Vijiji vyenye wachawi jitahidi sana kuwa na adabu au ukishindwa kula visimati vikuka uwe umewaka muda wote au sali sana
 
Maombi ya watu wacha Mungu walokole walioko duniani wakifanya maombi yao kupitia jina la YESU ,kwa kufunga ,na kuomba inawezekana kabisa.

Mganga wa kienyeji haweze kumrudisha for real ila anaweza kufanya mazingara/kiini macho/mazingaombwe kwa kutumia ushirikina nguvu za giza ambazo wacahwi nao wanatumia ushirikina huo huo na akamleta jini lililovaa sura ya huyo msukule likirudi litakaa muda mchache hata mwaka halafu litakufa tena,halafu litarudi zake kuzimu.Mchawi na mganga wa kienyeji ni kitu kimoja na bosi wao ni mmoja kesi ya nyani haiwezi kitatuliwa na ngedere.Hata kwenye maombi napo ni pa kuwa makini kupata kanisa la kilokole la kweli na walokole halisi sio wasanii waliojiita mitume na manabii na wanatumia vitu vya upako kama maji mafuta ya upako..huo nao ni ushirikina unatoka huko huko kuzimu.

SULUHISHO PEKEE NI YESU.
 
Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )

swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.

NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
MTafuteni mtaalam chap ilo swala dogo
 
Waganga huwa wanacheza na saikolojia za wateja wao na kupita humohumo.

Kitendo cha kwenda kwake kuhusu issue yenu tayari anajua mnataka kusikia nini ndiyo maana wote 7 majibu yamefanana.

Mtapoteza muda na pesa bure si ajabu mkapewa masharti ya ajabu mkalikuta hamuyawezi au mko mikononi mwa vyombo vya dola!

Ndiyo ndugu yenu wa kwanza kufa? Mshafukia story imeishia hapo,kupingana na ukweli ni kupoteza muda tu.
 
Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze kumtumia kwa matumizi yao( MSUKULE )

swali langu ni hili hivi inawezekana mtu kama huyo kumtoa huko alikohifadhiwa na kurudi ulimwengu wa kawaida maana tumeenda zaidi ya sehemu 7 tofauti wote jibu ni moja kuwa hakufa kawaida ila amechukuliwa kichawi kama kuna mtu anaweza hilo au unamjua mtu anaeweza hilo naomba mawasiliano tafadhari msaada wenu katika hili.

NB; hao tulioenda wote ni mmoja kasema analiweza hilo ila hatuwez kuweka imani yote kwa huyo hvy ni muhimu tuzidi kupata na uwezo wa wengine. Natanguliza shukrani
Uwezekano wa kurudi upo, ila muwahi kabla hajakatwa ulimi, Kuna wataalam walio na uwezo huo, mtaalamu moja wapo yupo Sengerema( Buchosa) maeneo ya Nyehunge,anaweza kukurudishia mtu wako.
 
Back
Top Bottom