haukumpiga pumbuh?Mimi sijawai kuwa na ndoto ya kuoa mwanasheria kabisa namuona mwanasheria mmoja ni mdada ni mjuaji af anajiona yeye ndio amesoma af anajiona mkubwaa makilio yulee
Nani amtongoze jitu refu kama mzimu wa kipalehaukumpiga pumbuh?
Kwamba umemcheat anawahi mahakamaniKizazi chetu sasahivi nikazi sana kuishi miaka mitano namwenza bila kugombana, kudumu inategemea na reaction za kila mmoja dhidi ya magomvi and vice versa is true.
Mimi binafsi kuna baadhi ya maamuzi napenda kuyafanya kama MWANAUME, nikisema nimesema.
Kwa huu udhaifu sidhani kama nitawezana na mwanasheria.
Naamini anaweza ishi kama mke ila siku tukigombana atahitaji atumie sheria kwenye maanuzi niliofanya kama Mwanaume
Changamoto na hapo sheria inataka mwanamke aliekufuma nae amlipe fidia atayoitaka.Kwamba umemcheat anawahi mahakamani