Je kuoa mwanamke aliyesoma sheria linaweza kuniletea madhara siku Za mbeleni?

SIKUJUI ILA CHUKUA HII TOKA KWANGU USITHUBUTU.Niliwahi kushauriwa ila nikatia kiburi nikajichanganya kwa kuamini kila mtu ana njia yake Alooo sitasahau.Najutia
Wanajua kila kitu,wanapenda haki sawa
Wajuaji mnooooo atakusumbua tu ila mwanzoni hutaona
 
Mkuu ni kweli wanawake wengi wenye hiyo elimu ya sheria ni wajuaji, lakini bado sheria sio roho anaweza akakufaa cha msingi fanya uchunguzi kuona tabia zake kama nzuri kisha ukijiridhisha unaweza kuowa kwani elimu sio roho.
 
Mwanamke ni mtaliwa, ukiona huna uwezo wa kumtala achana nae, atakutawala yeye
 
With all due respect usijaribu unachotaka kufanya. Hao wadada wanasheria inafaa kudate nao tu na sio kuoa, wengi mawakili ninaowajua wakike ni single mother nazani 80% ya ninaowajua mimi....hawapendi kupelekeshwa, kila kitu unachofanya utaulizwa maswali na utaona kero kwako,

Atlest akiolewa na Mwanasheria mwenzake inaweza kuwa sawa ila sasa hata sisi hatuwataki bora nioe Mwalimu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…