kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #41
Tena juzi saa5 usiku nimesikia miguno miguno kwa mbaliii😂😂sawa 🙂 ila jirani upunguze umbea, unapenda kutuchungulia majirani zako.
Inasikitisha sana.
Mwee unaona mwenzio anafaidi mgegedo🤣🤣🤣🤣NRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
SexKwan kitu gn kinachokutofautisha ww na dada yake?
😀 dah inabidi mkuu upate mtu akupe burudani, uwe sawa!Tena juzi saa5 usiku nimesikia miguno miguno kwa mbaliii
Nakusubir pm boss 😎Inasikitisha sana😂😂
Nikikaa nikiwaangaliaga naonaga kama wanachakazana na hivi hawajaoana, inasikitisha sanaMwee unaona mwenzio anafaidi mgegedo🤣🤣🤣🤣
Wee sii uliamuakuwa sista pambana na hali yako wacha wenzio wale tunda la hiv na uti
Kwani hizo sehemu tofauti na kutanuka huwa zina expiry date?Nyinyi wanaume si ndiyo mnaongoza kwa kupenda sana ngono, unakuta mwanamke akija kwako kukaa hata siku tatu hizo siku zote unataka uwe unaipiga tu
Tafuta Dume akukeep busyNRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Yule demu wako wa CCM kashakucheki😂😂Na nitapewa kweli.
Mola aninusuru.
Bc peaneni sex mana ndio jambo la msingi kabla ya yote na ndicho kinachowaweka pamoja mkifurahi na kuburudika 😎
ZinachokaKwani hizo sehemu tofauti na kutanuka huwa zina expiry date?
Mm ndo dume wake, huu n muda wake wa kupumzika.Tafuta Dume akukeep busy
Iwe kwa kiasi siyo sanaBc peaneni sex mana ndio jambo la msingi kabla ya yote na ndicho kinachowaweka pamoja mkifurahi na kuburudika 😎
Binafsi muda mwingi napenda kuwa peke yangu Hata Wana tu sitaki, hata kuna muda nataka kulewa peke yangu ila ndio ngumu sababu vijiwe vyangu vyote Kuna watu nijaowafahamu inakata kishenziNRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Sahau hiyo habari!!Nikikaa nikiwaangaliaga naonaga kama wanachakazana na hivi hawajaoana, inasikitisha sana
Sawa mzee wa kanisa Setfree Kuna MUME mwema hapaMm sio mhuni, n mtu mwenye heshima zake mjini hapa, kanisani kwetu Nimepewa cheo cha kukusanya sadaka kuonyesha n kwa namna gani naaminika
Sawa mkuuTafuta Dume akukeep busy
Too much is harmful ndegeSahau hiyo habari!!
Utamu utamu!!
Pelekeaneni moto mpaka moto uzimwe kwa motoIwe kwa kiasi siyo sana