Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Habari za Sabato!

Harakati na siasa ni kama mchezo wa Draft au wale wakulungwa wanacheza Chess games.

Mtu yeyote anayejua kucheza Draft kikamilifu basi harakati na siasa hazitamsumbua.

Kwenye Chess au Draft watu wengi huziona Kete.
Lakini sisi wabobevu hatuishui kuziona Kete kama kete.

Bali tunaona zaidi ya kete; tunaona
a) Kete
b) Njia zitakazopita kete.
c) mfumo utakaitumika..

Siasa nazo zipo hivyohivyo. Watu ndio Kete. Kwenye kete katika Draft au Chess kuna aina ya za kete ingawaje kete yoyote inapofanikiwa kufika mstari wa mwisho wa mpinzani wake hugeuka Mfalme/king.
Kuna King, malkia, farasi, kuhani na askari. Huo ni mchezo wa Chess.na kila kete inakazi na nguvu yake.

Sasa mlisema hamtaki kuchoshwa.

MO29 ilifanikiwa kwa asilimia 20% kutokana na muunganiko wa Team JPM na Chadema na kundi dogo la wanaharakati.

Tumesikia 7/7 yametangazwa mengine.
Lakini katika ubao wa Draft/Chess nikitazama kuna kete zisioni. Zimerudi nyuma au kuangushwa au kupunwa.

Team jpm ni kama imerudi nyuma. Au tunasema wapo inactive. Hii inafanya hamasa ya 7/7 kuwa chini.

Hata hivyo naona serikali kuna wakati inacheza au kusogeza kete za wanaoandaa 7/7 kwa kuisema sema kwani hiyo inaongeza awareness,kutoa taarifa kwa ambao hawakuwa wanajua au sio wafuatiliaji.

Katika Chess kuna kanuni isemayo unaruhusiwa kuangalia kete za mwenzako lakini ni mwiko kuzicheza.

Mimi sina jipya. Nimemaliza.
Nimetoka church hapa Mbezi Mwisho, sabato ilikuwa nzuri.

TaikonMaster
Kwa sasa Mbezi luis, Dar es salaam
 
Niko makini na kusoma maoni ya wadau. Nitachuja maoni yao na kisha kutoa maoni yangu kutokana na maoni yao.

Msije mkasema nafanya ubwakuaji 😎.
 
Niko makini na kusoma maoni ya wadau. Nitachuja maoni yao na kisha kutoa maoni yangu kutokana na maoni yao.

Msije mkasema nafanya ubwakuaji 😎.
CCM walibweteka wakaona zama zote ni za kutumia maguvu na kuwatisha watu na vikosi vya ulinzi na usalama.

Wakasahau kama zama zinabadilika kwamba kuna vita ya teknolojia yaani social media/social network.

Sasaivi wanahaha kila wanalofanya linaanikwa kwa nguvu kubwa mno + propaganda zinazopikwa juu yao.

CCM wangejua kama hii mbegu wameipanda wenyewe maana mlango mmoja ukifungwa mlango mwingine hufunguliwa.
 
Sasa watu tumetoa utando machoni, tunaona Kila kibaya kinachofanywa na serikali, kilichobaki ni kuiangusha CCM madarakani.
 
We kajamaa huwa una nyuzi za kisengesenge sana....!!, hebu tuambia hiyo timu jpm hata mmoja aliyekamatwa kwenye oct29!!. Au unaleta nyuzi kiquma hapa!
Bwashee umekumbwa na nini
 
We kajamaa huwa una nyuzi za kisengesenge sana....!!, hebu tuambia hiyo timu jpm hata mmoja aliyekamatwa kwenye oct29!!. Au unaleta nyuzi kiquma hapa!

Acha mihemko. Angalau hiyo itakusaidia kutoa maoni yako kwa heshima.

Ulikuwa unasemaje?
 
Back
Top Bottom