Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

Kuna vimtu visenge sana, yaani analeta mambo ya timu jpm hapa wakati watu tuliona waliouwawa hakuna hata huyo mmoja ya hao timu jpm!!.

Uliona wewe na nani? Wapi?
Mbona unachanganya madesa mkuu.

Kama ningekuwa mshauri wako ningekushauri punguza mihemko.

Usijifanye unauchungu kuliko wengine. Sawa mkuu
 
Wew ni kajinga .... Unaleta vipost vya kijingakijinga ili iwe nini?, wewe si ulikuwa upo ndani na dada zako mimi nipo front afu unauliza utumbo gani!!. Mbona leo hujaandika namba!.
 
Kasema eti haumuwezi kipesa wala kingumi bwashee
 
Wew ni kajinga .... Unaleta vipost vya kijingakijinga ili iwe nini?, wewe si ulikuwa upo ndani na dada zako mimi nipo front afu unauliza utumbo gani!!. Mbona leo hujaandika namba!.

😄😄😄😀
Mkuu hasira za nini?

Sitaki nikutibue😆. Hapa nimeandika mada yangu. Umejileta. Sijakutibua. Vipi nikiamua kukutibua sasa. Sukari siitakuua?

Ushauri wangu nimekupa hapo juu.
 
Back
Top Bottom