secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Naangalia upepo kwanza.😃😀
Toa yako kwanza
Naangalia upepo kwanza.😃😀
Toa yako kwanza
😂😂😂Mwenyekiti wako tu wa mtaa huwezi kumng`oa utaitoa CCM serikalini kweli?
Yes, huwa wanasubiri watu wote waongee ili wajipatie points na udhaifu katika kile kilichosemwa na wengine.Watu makini sana huwa wanafanya hivyo ya kuchambua maoni bila kukurupukia kujibu
Pasha pasha ya chadema hii sio mchezo
unazingua mkuu, neno punwa umetoa wapi au umesoma mkwawa na ifunda au tosa
Kwa hiyo ya October 2025 yanaihusu CCM yenyewe na ijisafishe.CCM walibweteka wakaona zama zote ni za kutumia maguvu na kuwatisha watu na vikosi vya ulinzi na usalama.
Wakasahau kama zama zinabadilika kwamba kuna vita ya teknolojia yaani social media/social network.
Sasaivi wanahaha kila wanalofanya linaanikwa kwa nguvu kubwa mno + propaganda zinazopikwa juu yao.
CCM wangejua kama hii mbegu wameipanda wenyewe maana mlango mmoja ukifungwa mlango mwingine hufunguliwa.
Ni honey traps ....iendee kwa tahadhari kubwa sana.0707
Kwa kifupi kama ilishindikana 9 dec.2025! Sijui kama 0707 itawezekana!
Sukuma gang au mwendo wa kimagufuli hawawezi kabisa kua kitu kimoja na wale wanajiita wanaharakati kwa sababu wanaharakari lao ni tofauti na wanafadhiliwa na nchi za kibeberu.Oooh! Sasa nimeanza kukuelewa.
Hii inamaanisha Sukuma Gang na Wanaharakati hawatakuja kuwahi kuwa team moja?