Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

Nenda kkatafute waathirika wenye matatzo ndio wape ushauri... Punguza kuleta nyuzi za kipumbavu ...

Utapata tabu sana kijana. Kujiingiza sehemu zisizo kuhusu wala usizozipenda. Lazima haya yatokee.

Tayari huku thawabu nimepata kwa kile nilichokufanyia
 
Acha ukabila kajinga... 😜 Punguza kupost mambo ya kipumbavu asee!!. Jpm jpm...toka lina timu jpm wakapamban kwaajili ya Taifa hili?.

Nani sasa wanapambana kwaajili ya taifa hili? Husianisha na mada iliyomezani
 
Hao unawaita sukuma gang hawapo na kina mange kimambi wala chadema wenye kutaka demokrasia ya kiliberali. Uliberali ni hatari kwa uhuru wa taifa kwani unatoa mwanya mabeberu kuweka watu wao kuongoza taifa kwa manufaa yao. Hao unawaita sukuma gang ni wanaccm wazalendo. Ni kundi la wanaccm wanamapinduizi. Hawapo tayari kuiondoa ccm madarakani bali wametega mitego waweze kuweka tena wazalendo kuongoza nchi kufuatana na itikadi ya chama cha mapinduzi ya ujamaa na kujitegemea.
 

Oooh! Sasa nimeanza kukuelewa.
Hii inamaanisha Sukuma Gang na Wanaharakati hawatakuja kuwahi kuwa team moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…